technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Hivi chanjo inapatikana hospital gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madalali wachumia tumbo wakiongozwa na Tony Blair ndio wanaleta hizi shida, ila hakika nawaambia, hakuna atakaechoma hizo chanjo za majaribio , penye nia pana njia, tutatafuta namna ya kufanyaJapo kwa sasa wanasema chanjo ni hiyari, lakini ninapenda kuwahakikishia huko mbeleni hakuna ofisi yoyote ya Serikali utakayoweza kuingia bila ya kuwa na kibali cha chanjo.
Kwa namna moja au nyingine itatulazimu na sisi tusiotaka kuchanjwa tuchanje bila kupenda maana hatutakuwa na jinsi.
Kwa kifupi huyu mama ametuharibia sana nchi ndani ya kipindi kifupi sana.
Hili suala la korona tulikuwa tumeshalisahau kitambo, watu wachache wenye maslahi yao binafsi wamemshika masikio matokeo yake anaturudisha kule kule tulipotoka.
ndugu we acha tu jpm alikuwa na uchungu sana na hii nchi na akawa anaeleza kabisa ubaya wa hizo chanjo maskini watu wakambeza wakamtukana mpaka mzee wa watu kajiondokea kwa baba lakini alishawahi kusema kuwa MTANIKUMBUKA TENA MTANIKUMBUKA KWA MAZURI SIYO KWA MABAYA yaani bado asubuhiiiii tyushaanza kumkumbuka tunasahau matusi yote watu walikuwa wana mtukana Mungu amrehemu huko aliko ampe pumziko la mileleJapo kwa sasa wanasema chanjo ni hiyari, lakini ninapenda kuwahakikishia huko mbeleni hakuna ofisi yoyote ya Serikali utakayoweza kuingia bila ya kuwa na kibali cha chanjo.
Kwa namna moja au nyingine itatulazimu na sisi tusiotaka kuchanjwa tuchanje bila kupenda maana hatutakuwa na jinsi.
Kwa kifupi huyu mama ametuharibia sana nchi ndani ya kipindi kifupi sana.
Hili suala la korona tulikuwa tumeshalisahau kitambo, watu wachache wenye maslahi yao binafsi wamemshika masikio matokeo yake anaturudisha kule kule tulipotoka.
Haitofika huko labda wewe kama dalali umekuja na hii gia kupata wateja...Japo kwa sasa wanasema chanjo ni hiyari, lakini ninapenda kuwahakikishia huko mbeleni hakuna ofisi yoyote ya Serikali utakayoweza kuingia bila ya kuwa na kibali cha chanjo.
Kwa namna moja au nyingine itatulazimu na sisi tusiotaka kuchanjwa tuchanje bila kupenda maana hatutakuwa na jinsi.
Kwa kifupi huyu mama ametuharibia sana nchi ndani ya kipindi kifupi sana.
Hili suala la korona tulikuwa tumeshalisahau kitambo, watu wachache wenye maslahi yao binafsi wamemshika masikio matokeo yake anaturudisha kule kule tulipotoka.
Ndio ushangaeDunia imepigwa upofu walahi,
Mtu amechanja lakini bado ana hofu ya kuambukizwa??
Issue hata sio kuchanja watu, issue ni pesa watakayotengeneza kwenye zoezi la kuchanja, kuna madalali wameshajiweka standby kupiga pesa ndefu, yaani uchanje, usichanje wala hawajali sana, cha msingi wanaandika tu kwamba tumechanja watu milioni 10 hata kama hakuna aliechanja, na watalipwa pesa yote kwa kazi hiyo, na wewe ukitaka hata cheti original cha kuchanja bila hata kuchanjwa watakupa ili mradi una pesa ya kuwahonga, kwahiyo wanakula huku na huku, pesa achaneni nayo nyie...Kama watu wameweza kufoji hela hata kadi za chanjo watafoji tu
Kwanini hakuna passport za malaria na Ukimwi, umeshawahi kujiuliza hilo?mkuu kuna nchi zinataka kuanza kuenroll covid passport tayari
Japo kwa sasa wanasema chanjo ni hiyari, lakini ninapenda kuwahakikishia huko mbeleni hakuna ofisi yoyote ya Serikali utakayoweza kuingia bila ya kuwa na kibali cha chanjo.
Kwa namna moja au nyingine itatulazimu na sisi tusiotaka kuchanjwa tuchanje bila kupenda maana hatutakuwa na jinsi.
Kwa kifupi huyu mama ametuharibia sana nchi ndani ya kipindi kifupi sana.
Hili suala la korona tulikuwa tumeshalisahau kitambo, watu wachache wenye maslahi yao binafsi wamemshika masikio matokeo yake anaturudisha kule kule tulipotoka.
Ya majaribio? Au ipi..Gwajima anawapotosha sana.
Nendeni mkachome chanjo acheni ujinga
Usikute naye kashachanja siku nyingi, hili jitu ni la kulikamata na kulifungulia mashtaka ya kukusudia kuuwa!!Gwajima anawapotosha sana.
Nendeni mkachome chanjo acheni ujinga
Daah, nahisi hadi credit card wataziunganisha na database ya covid vaccine, kama hujachanja pesa hazitoki kwenye kadi, tutaanza kutembea na pesa mfukoni tu, hakuna namnaHutanunua wala kuuza mpaka ukubali chapa ya mnyama
Kwa mbali namuona Michael Jackson na ule wimbo wake aliouimba kiasi ya majitu ya ajabu kufufuka na kucheza pamoja naye.666 at work
Daah hawa wahuni sio watu wazuriDaah, nahisi hadi credit card wataziunganisha na database ya covid vaccine, kama hujachanja pesa hazitoki kwenye kadi, tutaanza kutembea na pesa mfukoni tu, hakuna namna
HojaJapo kwa sasa wanasema chanjo ni hiyari, lakini ninapenda kuwahakikishia huko mbeleni hakuna ofisi yoyote ya Serikali utakayoweza kuingia bila ya kuwa na kibali cha chanjo.
Kwa namna moja au nyingine itatulazimu na sisi tusiotaka kuchanjwa tuchanje bila kupenda maana hatutakuwa na jinsi.
Kwa kifupi huyu mama ametuharibia sana nchi ndani ya kipindi kifupi sana.
Hili suala la korona tulikuwa tumeshalisahau kitambo, watu wachache wenye maslahi yao binafsi wamemshika masikio matokeo yake anaturudisha kule kule tulipotoka.
Sasa hivi kila kukicha wanatumia mbinu mpya kutisha watu, ukienda hospitali pengune wakakukuta na malaria ama ugonjwa mwengine... Watalazimisha ulazwe na ndugu zako watapewa taarifa kuwa una matatizo ya kupumua.... Nasema hivyo Nina mtu wa karibu namfahamu.... Anasumbuliwa na maralia tumempeleka hospitality kubwa tu... Ndugu wamefika getini wanaambiwa ana matatizo ya kupumua kaeni mbali.....Madalali wachumia tumbo wakiongozwa na Tony Blair ndio wanaleta hizi shida, ila hakika nawaambia, hakuna atakaechoma hizo chanjo za majaribio , penye nia pana njia, tutatafuta namna ya kufanya
Duh sadSasa hivi kila kukicha wanatumia mbinu mpya kutisha watu, ukienda hospitali pengune wakakukuta na malaria ama ugonjwa mwengine... Watalazimisha ulazwe na ndugu zako watapewa taarifa kuwa una matatizo ya kupumua.... Nasema hivyo Nina mtu wa karibu namfahamu.... Anasumbuliwa na maralia tumempeleka hospitality kubwa tu... Ndugu wamefika getini wanaambiwa ana matatizo ya kupumua kaeni mbali.....
Nikasema duuh! Mungu wa mbinguni atawajibu tu.... Wamepewa dhamana ya kuwaljnda wa tz afu wanataka kuwaangamiza kwanguvu......