#COVID19 Ofisi nyingi hazitaruhusu watu kuingia bila kuwa na chanjo

Kuna waliochanjwa, wameambukizwa na kufa, kuna haja gani kuchanjwa kama ngoma ni droo
Tatizo siyi kuchanjwa mkuu.

Lipo hapa, kupata huduma muhimu mfano, unatakiwa kwenda nchi za ulaya kusaini mkataba au jambo lolote muhimu kwako.
 
Ukichanja tu,mkeo hutaweza kumpa mimba!
Subirini mtashuhudia mbeleni huko!
 
Damu ikiganda inamaanisha mwisho wa maisha, hivyo mimba utampaje mkeo?
 

Magu pia alikua anaipeleka pabaya hii nchi, ameipinga chanjo na kusababisha maelufu ya raia kupoteza maisha, ndugu jamaa wametutoka for covid-19. Uyu mama karuhusu ili kuokoa maisha ya watu, na sio lazima bali ni hiali.

Ukija swala la ajira, amefungia migodi and athers amewafilisi na kuperekea kufunga migodi, others amewabambikia makesi ya makodi na kutaifisha mali za wageni mfano wahindi n.k. Apo tayali ashasababisha maelufu ya watanzania wapoteze ajira na kujikuta wanazulula mijini.

So kuna mazuli na mabaya vile vile kayafanya.

Ivyo huwezi nishawishi jpm alikua raisi wa wanyonge/anaipereka nchi kwenye neema.Nooooo.

Huyu mama anatakiwa abadirike from now, asifuate nyayo za magu. Tozo za miamala, kodi n.k apunguze Katiba vile vile aipitishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…