Ofisi ya CAG ichunguzwe, NHIF inapataje faida ?

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
5,233
Reaction score
12,398
Mwaka 2020/21 NHIF ilipata hasara ya Bil 109 huku mfumo ulikuwa ukijiendesha kwa hasara kwa zaidi ya asilimia 49

2. Mwaka 2022 NHIF ilipata hasara ya Bil 204 huku taasisi ikijiendesha kwa hasara

3. Mwaka 2023 NHIF ilipata hasara ya Bil 269, huku taasisi ikijiendesha kwa hasara kwa asilimia 50, hii ikapelekea kuondolewa kwa huduma nyingi ikiwemo Toto Cards.

Aidha kwa mujibu wa Charles mwaka huo huo, NHIF ilijikopesha kupitia wafanyakazi wake zaidi ya Bil 41, mikopo ambayo haikuwa na tija na haikuwa inalipwa kwa mujibu wa sheria za mikopo kwa watumishi. Mkopo ambao mpaka leo bado wafanyakazi hawajalipa hilo deni.

Report hiyo hiyo ya mwaka 2023 Charles alituambia kuwa alibaini kuna upungufu wa ukwasi kwa zaidi ya asilimia 40 ndani ya Taasisi.kupitia Baketi yao

All of the sudden, mwaka 2024 yaani report yake ya juzi Charles anatuambia NHIF imepata faida?

1. Hakuna comeback kama hiyo kwenye health system especially kwa taasisi ambazo core function ni SERVICES na sio Business

2 kuna huduma nyingi sana za Afya hazipatikani chini ya NHIF , haijalishi umechangia muda gani, siku unayokuja kuumwa…. Kama ugonjwa wako haupo kwenye packages… hupati huduma…. Iyo faida inatoka wapi ?

3. Hosp nyingi za Private zimeachana na huduma za NHIF kwa sababu hawana hela za kulipa, hiyo faida inatoka wapi ?

4. Hosp za Referral ikiwemo MNH inaidai NHIF millions ikiwa ni limbikizo la deni lao, hiyo faida inatoka wapi ?

5. Bado huduma za NHIF zipo chini huku hadi kufikia mwaka 2023, asilimia 14 tu ya watanzania ndio wapo insured na NHIF, asilimia 1.5 Wana private insurance…. More than 80% ya watanzania wanaishi ishi kama kuku wa kienyeji …. Hawana bima….. hiyo faida inatoka wapi.

Kuna namna hizi TAARIFA zimepikwa na hii ni baada ya kuona wakuu wanapenda kusikia mazuri !

Yule CEO wa mwanzo alikuwa anatoa taarifa za kweli mkamla kichwa…huyu wa sasa hivi anadanganya Umma na hii ni JINAI maana wakubwa wanaona hali ipo shwari while huku nchini watanzania wanateseka.

Ofisi ya CAG inatakiwa kuchunguzwa….for real Kuna harufu ya Rushwa kwenye Ofisi ya CAG pamoja na NHIF. Aidha, NHIF ifanyiwe Special audit…. Haya mashirika ya Umma huwa wana cook sana data. Special audit ifanyike kubaini irregularities or else tutaua watanzania wengi, NHIF halipaswi kuwa shirika la siasa na uchawa
Hii faida inatoka wapi ?

NHIF kujiita wamepata faida maana yake ni watanzania hawajapa huduma au hawapati huduma stahiki.

Dr Megalodon Mushi, PhD Fellow
University of Ottawa
WHO Regional Office
Rue 52
Ottawa
Canada
 
Wakaguzi wa mashirika ni hawasaidii nchi wanasadia matumbo yao. Wanatakiwa kuchunguzwa wanatumia standards zipi. Inaonekana wanatumia standards za matumbo na sio auditing standards.
Badala ya kukagua wanaishia kupigwa misosi ya mabufee na bahasha kubwa. Wanaishia kuandika petty issues badala ya kufukua uozo
 
Mwaka 2020/21 NHIF ilipata hasara ya Bil 109 huku mfumo ulikuwa ukijiendesha kwa hasara kwa zaidi ya asilimia 49

2. Mwaka 2022 NHIF ilipata hasara ya Bil 204 huku taasisi ikijiendesha kwa hasara

3. Mwaka 2023 NHIF ilipata hasara ya Bil 269, huku taasisi ikijiendesha kwa hasara kwa asilimia 50, hii ikapelekea kuondolewa kwa huduma nyingi ikiwemo Toto Cards.

Aidha kwa mujibu wa Charles mwaka huo huo, NHIF ilijikopesha kupitia wafanyakazi wake zaidi ya Bil 41, mikopo ambayo haikuwa na tija na haikuwa inalipwa kwa mujibu wa sheria za mikopo kwa watumishi. Mkopo ambao mpaka leo bado wafanyakazi hawajalipa hilo deni.

Report hiyo hiyo ya mwaka 2023 Charles alituambia kuwa alibaini kuna upungufu wa ukwasi kwa zaidi ya asilimia 40 ndani ya Taasisi.kupitia Baketi yao

All of the sudden, mwaka 2024 yaani report yake ya juzi Charles anatuambia NHIF imepata faida?

1. Hakuna comeback kama hiyo kwenye health system especially kwa taasisi ambazo core function ni SERVICES na sio Business

2 kuna huduma nyingi sana za Afya hazipatikani chini ya NHIF , haijalishi umechangia muda gani, siku unayokuja kuumwa…. Kama ugonjwa wako haupo kwenye packages… hupati huduma…. Iyo faida inatoka wapi ?

3. Hosp nyingi za Private zimeachana na huduma za NHIF kwa sababu hawana hela za kulipa, hiyo faida inatoka wapi ?

4. Hosp za Referral ikiwemo MNH inaidai NHIF millions ikiwa ni limbikizo la deni lao, hiyo faida inatoka wapi ?

5. Bado huduma za NHIF zipo chini huku hadi kufikia mwaka 2023, asilimia 14 tu ya watanzania ndio wapo insured na NHIF, asilimia 1.5 Wana private insurance…. More than 80% ya watanzania wanaishi ishi kama kuku wa kienyeji …. Hawana bima….. hiyo faida inatoka wapi.

Kuna namna hizi TAARIFA zimepikwa na hii ni baada ya kuona wakuu wanapenda kusikia mazuri !

Yule CEO wa mwanzo alikuwa anatoa taarifa za kweli mkamla kichwa…huyu wa sasa hivi anadanganya Umma na hii ni JINAI maana wakubwa wanaona hali ipo shwari while huku nchini watanzania wanateseka.

Ofisi ya CAG inatakiwa kuchunguzwa….for real Kuna harufu ya Rushwa kwenye Ofisi ya CAG pamoja na NHIF. Aidha, NHIF ifanyiwe Special audit…. Haya mashirika ya Umma huwa wana cook sana data. Special audit ifanyike kubaini irregularities or else tutaua watanzania wengi, NHIF halipaswi kuwa shirika la siasa na uchawa
Hii faida inatoka wapi ?

NHIF kujiita wamepata faida maana yake ni watanzania hawajapa huduma au hawapati huduma stahiki.

Dr Megalodon Mushi, PhD Fellow
University of Ottawa
WHO Regional Office
Rue 52
Ottawa
Canada
Thumb Up..
NHIF Ina madeni chungu mzima na Bado mengine Haijalipa Faida Hiyo inatoka wapi?
 
Ikiwa utaimarisha community health watu wakaelewa then angalau kwa mwaka afya ya watu ikaimarika hawakuhudhuria hospitalini mara kwa mara wala na mfuko unaendelea kujusanya nichango bila kutumia kwasababu ya hakuna wagonjwa. Pia kupinguza baadhi ya huduma ambazo ni gharama kwao mbona saving inapatikana.
 
Mwaka 2020/21 NHIF ilipata hasara ya Bil 109 huku mfumo ulikuwa ukijiendesha kwa hasara kwa zaidi ya asilimia 49

2. Mwaka 2022 NHIF ilipata hasara ya Bil 204 huku taasisi ikijiendesha kwa hasara

3. Mwaka 2023 NHIF ilipata hasara ya Bil 269, huku taasisi ikijiendesha kwa hasara kwa asilimia 50, hii ikapelekea kuondolewa kwa huduma nyingi ikiwemo Toto Cards.

Aidha kwa mujibu wa Charles mwaka huo huo, NHIF ilijikopesha kupitia wafanyakazi wake zaidi ya Bil 41, mikopo ambayo haikuwa na tija na haikuwa inalipwa kwa mujibu wa sheria za mikopo kwa watumishi. Mkopo ambao mpaka leo bado wafanyakazi hawajalipa hilo deni.

Report hiyo hiyo ya mwaka 2023 Charles alituambia kuwa alibaini kuna upungufu wa ukwasi kwa zaidi ya asilimia 40 ndani ya Taasisi.kupitia Baketi yao

All of the sudden, mwaka 2024 yaani report yake ya juzi Charles anatuambia NHIF imepata faida?

1. Hakuna comeback kama hiyo kwenye health system especially kwa taasisi ambazo core function ni SERVICES na sio Business

2 kuna huduma nyingi sana za Afya hazipatikani chini ya NHIF , haijalishi umechangia muda gani, siku unayokuja kuumwa…. Kama ugonjwa wako haupo kwenye packages… hupati huduma…. Iyo faida inatoka wapi ?

3. Hosp nyingi za Private zimeachana na huduma za NHIF kwa sababu hawana hela za kulipa, hiyo faida inatoka wapi ?

4. Hosp za Referral ikiwemo MNH inaidai NHIF millions ikiwa ni limbikizo la deni lao, hiyo faida inatoka wapi ?

5. Bado huduma za NHIF zipo chini huku hadi kufikia mwaka 2023, asilimia 14 tu ya watanzania ndio wapo insured na NHIF, asilimia 1.5 Wana private insurance…. More than 80% ya watanzania wanaishi ishi kama kuku wa kienyeji …. Hawana bima….. hiyo faida inatoka wapi.

Kuna namna hizi TAARIFA zimepikwa na hii ni baada ya kuona wakuu wanapenda kusikia mazuri !

Yule CEO wa mwanzo alikuwa anatoa taarifa za kweli mkamla kichwa…huyu wa sasa hivi anadanganya Umma na hii ni JINAI maana wakubwa wanaona hali ipo shwari while huku nchini watanzania wanateseka.

Ofisi ya CAG inatakiwa kuchunguzwa….for real Kuna harufu ya Rushwa kwenye Ofisi ya CAG pamoja na NHIF. Aidha, NHIF ifanyiwe Special audit…. Haya mashirika ya Umma huwa wana cook sana data. Special audit ifanyike kubaini irregularities or else tutaua watanzania wengi, NHIF halipaswi kuwa shirika la siasa na uchawa
Hii faida inatoka wapi ?

NHIF kujiita wamepata faida maana yake ni watanzania hawajapa huduma au hawapati huduma stahiki.

Dr Megalodon Mushi, PhD Fellow
University of Ottawa
WHO Regional Office
Rue 52
Ottawa
Canada
Eti wao ziada wanaita faida
 
Ngoja nikaisome na mimi taarifa ya CAG
 
Eti wao ziada wanaita faida
Hakuna kitu ziada. CAG na NHIF wamedanganya Umma. Hata ziada NHIF hawapaswi kuwa nayo all of the sudden … hata retorms ikifanyika…. It will take time not less thon 10 yrs NHIF ikae kwa angalau 50% satisfaction

Ninaelewa vyema NHIF inavofanya kazi, moja ya Taasisi inayomadeni ni NHIF . Hivi unaweza kujiita umepata ziada huku una madeni……hakuna financial computation kama hiyo

yule Dg wa mwanzo alikuwa ni Accountant ndio maana alikuwa anatoa taarifa za kweli maana anajua impact yake. Huyu Mama wa sasa anadanganya Umma, and frankly anatakiwa kufanyiwa Special audit kwa hii Jinai or else ataua watanzania

Kuna mambo hatupaswi ku joke kabisa nayo. Nimekaa sana Hospital hasa pale Ocean road as Oncology Specialist, natambua namna watanzania wanavoathirika na hilo Ghost NHIF
UONGO wowote kwenye NHIF wewe ni muuaji na unahitaji death penalty

Kama umewahi kufanya kazi Hosp utanielewa
 
Mwaka 2020/21 NHIF ilipata hasara ya Bil 109 huku mfumo ulikuwa ukijiendesha kwa hasara kwa zaidi ya asilimia 49

2. Mwaka 2022 NHIF ilipata hasara ya Bil 204 huku taasisi ikijiendesha kwa hasara

3. Mwaka 2023 NHIF ilipata hasara ya Bil 269, huku taasisi ikijiendesha kwa hasara kwa asilimia 50, hii ikapelekea kuondolewa kwa huduma nyingi ikiwemo Toto Cards.

Aidha kwa mujibu wa Charles mwaka huo huo, NHIF ilijikopesha kupitia wafanyakazi wake zaidi ya Bil 41, mikopo ambayo haikuwa na tija na haikuwa inalipwa kwa mujibu wa sheria za mikopo kwa watumishi. Mkopo ambao mpaka leo bado wafanyakazi hawajalipa hilo deni.

Report hiyo hiyo ya mwaka 2023 Charles alituambia kuwa alibaini kuna upungufu wa ukwasi kwa zaidi ya asilimia 40 ndani ya Taasisi.kupitia Baketi yao

All of the sudden, mwaka 2024 yaani report yake ya juzi Charles anatuambia NHIF imepata faida?

1. Hakuna comeback kama hiyo kwenye health system especially kwa taasisi ambazo core function ni SERVICES na sio Business

2 kuna huduma nyingi sana za Afya hazipatikani chini ya NHIF , haijalishi umechangia muda gani, siku unayokuja kuumwa…. Kama ugonjwa wako haupo kwenye packages… hupati huduma…. Iyo faida inatoka wapi ?

3. Hosp nyingi za Private zimeachana na huduma za NHIF kwa sababu hawana hela za kulipa, hiyo faida inatoka wapi ?

4. Hosp za Referral ikiwemo MNH inaidai NHIF millions ikiwa ni limbikizo la deni lao, hiyo faida inatoka wapi ?

5. Bado huduma za NHIF zipo chini huku hadi kufikia mwaka 2023, asilimia 14 tu ya watanzania ndio wapo insured na NHIF, asilimia 1.5 Wana private insurance…. More than 80% ya watanzania wanaishi ishi kama kuku wa kienyeji …. Hawana bima….. hiyo faida inatoka wapi.

Kuna namna hizi TAARIFA zimepikwa na hii ni baada ya kuona wakuu wanapenda kusikia mazuri !

Yule CEO wa mwanzo alikuwa anatoa taarifa za kweli mkamla kichwa…huyu wa sasa hivi anadanganya Umma na hii ni JINAI maana wakubwa wanaona hali ipo shwari while huku nchini watanzania wanateseka.

Ofisi ya CAG inatakiwa kuchunguzwa….for real Kuna harufu ya Rushwa kwenye Ofisi ya CAG pamoja na NHIF. Aidha, NHIF ifanyiwe Special audit…. Haya mashirika ya Umma huwa wana cook sana data. Special audit ifanyike kubaini irregularities or else tutaua watanzania wengi, NHIF halipaswi kuwa shirika la siasa na uchawa
Hii faida inatoka wapi ?

NHIF kujiita wamepata faida maana yake ni watanzania hawajapa huduma au hawapati huduma stahiki.

Dr Megalodon Mushi, PhD Fellow
University of Ottawa
WHO Regional Office
Rue 52
Ottawa
Canada
Hoja Namba 2 na 3 Huenda ndiyo zinatupa sababu ya NHIF kupata faida.. Ina maana wanapokea michango ya wanachama lakini hawawajibiki kulipa gharama zao pindi wanapoumwa...

Hospitali nyingi za Binafsi wameanza kukwepa Kadi za NHIF... means burden Kwa NHIF imeanza kupungua. Hence, Wana Pesa Sasa...
 
Mkuu, unachanganya majukumu. Financial statements ni jukumu la management. Jukumu la CAG ni kutoa maoni ya kitaaluma juu ya hizo financial statements.

Kama NHIF imepata faida, maana yake financial statements zilizowasilishwa kwa CAG kwa ukaguzi zinaonesha hivyo. CAG hajatayarisha hizo financial statements. Baada ya ukaguzi, CAG atatoa hati inayoakisi ushahidi mbalimbali aliokusanya wakati wa ukaguzi wake. Aina ya hati atakayotoa haitegemei hisia zake.

Mwisho, financial audit na fraud examination ni vitu viwili tofauti (sio interchangeable). Kama kuna suspected fraud, financial audit sio hatua sahihi ya kuchukua, kwasababu objectives zake sio kufichua udanganyifu. Fraud examination ndiyo inayohitajika!
 
Mkuu kazi za CAG unazijua vizuri ?
 
Hoja Namba 2 na 3 Huenda ndiyo zinatupa sababu ya NHIF kupata faida.. Ina maana wanapokea michango ya wanachama lakini hawawajibiki kulipa gharama zao pindi wanapoumwa...

Hospitali nyingi za Binafsi wameanza kukwepa Kadi za NHIF... means burden Kwa NHIF imeanza kupungua. Hence, Wana Pesa Sasa...
Kama data ndio zinachakatwa hivi ni hatari sana

Kukwepa NHIF card ni kupungua burden kwa NHIF aisee

Unaweza kuwa na ziada hali ya kuwa unadaiwa ; kweli Veta ni muhimu
 
Kama ugonjwa wako haupo kwenye packages… hupati huduma…. Iyo faida inatoka wapi ?
Kama hawatoi huduma si ndio wanapata faida?
3. Hosp nyingi za Private zimeachana na huduma za NHIF kwa sababu hawana hela za kulipa, hiyo faida inatoka wapi ?
Kama hawatumii NHIF si ndio faida yenyewe inabaki maana hawatoi senti hivyo wanapunguza matumizi.
4. Hosp za Referral ikiwemo MNH inaidai NHIF millions ikiwa ni limbikizo la deni lao, hiyo faida inatoka wapi ?
Madeni na faida wapi na wapi? Faida ni pale mapato yakizidi matumizi. In fact hakuna kampuni haina madeni maana issue ni liquidity ya sasa sio mapato ya baadae.
Yule CEO wa mwanzo alikuwa anatoa taarifa za kweli mkamla kichwa
Taarifa ipi ya kweli? Hivi JPM si hadi alipokea gawio la TTCL wakasema inaingiza faida? Kumbe uongo
 
Kama hawatoi huduma si ndio wanapata faida?

Kama hawatumii NHIF si ndio faida yenyewe inabaki maana hawatoi senti hivyo wanapunguza matumizi.

Madeni na faida wapi na wapi? Faida ni pale mapato yakizidi matumizi. In fact hakuna kampuni haina madeni maana issue ni liquidity ya sasa sio mapato ya baadae.

Taarifa ipi ya kweli? Hivi JPM si hadi alipokea gawio la TTCL wakasema inaingiza faida? Kumbe uongo
Stop mambo ya JPM…

Tell me how do you calculate Annual Net Profit ?
2. HOSP kutotoq huduma kwa kukwepa Card za NHIF Je hiyo ni faida au hasara?

Anaeathirika ni nani?

Kwa mfano unashida na huduma yako inahitaji kumuona ENT specialist…..umeambiwa better equipment za kufanya diagnosis and labs ya shida yako zipo Regency… unafika Regency unaambia hatupokei NHIF….unless ulipie out of pocket yaani CASH, Hiyo kwako ni hasara au faida?

Also , kama huduma za NHIF hazitolewi , je return za NHIF zitarudi vipi ? Unafikiria kwa kutumia nin ?

Also , kama NHIF huduma zake hazitolewi, huoni burden itahamia kwa wananchi.

NHIF kuwa na ziada yoyote means kuna gap kwenye huduma na kuna namna wananchi wanateseka

It make sense NHIF kuwa na Hasara than kuwa na ziada kwa sababu NHIF ni mtoa huduma na sio mfanya biashara

Badilisheni sheria NHIF iingie kwenye business na watumishi wapewe uhuru wa kuchagua bima muone kama kuna Hosp itadeal na NHIF au kama kuna mtumishi ata deal nayo

Mwisho, huyo Mama wa NHIF kapika data na CAG hajafanya kazi yake vema au kuna HARUFU. Wachunguzwe hiyo ni JINAI na ni death penalty
 
Back
Top Bottom