Ofisi ya CAG ichunguzwe, NHIF inapataje faida ?

Kama hawatoi huduma si ndio wanapata faida?

Kama hawatumii NHIF si ndio faida yenyewe inabaki maana hawatoi senti hivyo wanapunguza matumizi.

Madeni na faida wapi na wapi? Faida ni pale mapato yakizidi matumizi. In fact hakuna kampuni haina madeni maana issue ni liquidity ya sasa sio mapato ya baadae.

Taarifa ipi ya kweli? Hivi JPM si hadi alipokea gawio la TTCL wakasema inaingiza faida? Kumbe uongo
Tatizo lako Upo Obssessed na JPM.

Kwenye Uzi huu hakuna popote JPM katajwa.

obsession zako ndio zimemleta JPM nje ya scope ya Mjadala

I think you should stop it na focus na core theme!!
Also
Liquidity ni uwezo wa kampuni ku acces its cash , how quickly you can convert your assets into cash kwa maana nyingine liquidity ni UKWASI …. Liquidity pia ni uwezo wa kampuni to meet its obligations….. , obligation ni pamoja na madeni

Huwez kuwa na madeni ukasema upo okay kwenye liquidity….. financial ratio kama Current Ratio or quick ratio zinakataa

Kajifunze namna ya kuchakata data usiwe unapanua kinywa bila ya kuthink
 
Hakuna kitu ziada. CAG na NHIF wamedanganya Umma. Hata ziada NHIF hawapaswi kuwa nayo all of the sudden … hata retorms ikifanyika…. It will take time not less thon 10 yrs NHIF ikae kwa angalau 50% satisfaction

Ninaelewa vyema NHIF inavofanya kazi, moja ya Taasisi inayomadeni ni NHIF . Hivi unaweza kujiita umepata ziada huku una madeni……hakuna financial computation kama hiyo

yule Dg wa mwanzo alikuwa ni Accountant ndio maana alikuwa anatoa taarifa za kweli maana anajua impact yake. Huyu Mama wa sasa anadanganya Umma, and frankly anatakiwa kufanyiwa Special audit kwa hii Jinai or else ataua watanzania

Kuna mambo hatupaswi ku joke kabisa nayo. Nimekaa sana Hospital hasa pale Ocean road as Oncology Specialist, natambua namna watanzania wanavoathirika na hilo Ghost NHIF
UONGO wowote kwenye NHIF wewe ni muuaji na unahitaji death penalty

Kama umewahi kufanya kazi Hosp utanielewa
Nakubaliana na wewe.
NHIF Walishindwa kuzilipa hata "Private Hospital" ila leo CAG anasema wana hati safi.
Disgusting
 
Mkuu, unachanganya majukumu. Financial statements ni jukumu la management. Jukumu la CAG ni kutoa maoni ya kitaaluma juu ya hizo financial statements.

Kama NHIF imepata faida, maana yake financial statements zilizowasilishwa kwa CAG kwa ukaguzi zinaonesha hivyo. CAG hajatayarisha hizo financial statements. Baada ya ukaguzi, CAG atatoa hati inayoakisi ushahidi mbalimbali aliokusanya wakati wa ukaguzi wake. Aina ya hati atakayotoa haitegemei hisia zake.

Mwisho, financial audit na fraud examination ni vitu viwili tofauti (sio interchangeable). Kama kuna suspected fraud, financial audit sio hatua sahihi ya kuchukua, kwasababu objectives zake sio kufichua udanganyifu. Fraud examination ndiyo inayohitajika!
Unachanganya mambo

Nipe Objective 4 za any Auditing ?

Kazi ya Audit ni kuonesha gap kwenye compliance na adherence with all evidence that provuded. Kupitia Audit uta reveal wekaness , corruption and rregularities…. Ndio maana CAG utamsikia akisema tumebaini kuna upotevu wa bili…,,, kadhaa…. That Is revealing…sasa Kama hiyo haina evidence au kuna incomplete evidence ….. itaingia kama querry and then …. TAKUKURU can intervene for investigation and all that
 
Mkuu, how much do you know about financial audits? Naona kama tunaingia kwenye debate ambayo haiwezi kutufikisha popote?
 
it's not forensic audit. it's just book audit. Try to enlighten yourself about auditing
Umeelewa nilichoandika? Mambo ya Forensic, fraud or legal issue yanatoka wapi?

Tatizo mkisoma uzi mnakuwq na mqjibu au mnajiandaa kujibu na sio kuelewa
 
wewe hauwezi ukakielewa ulichoandika kama haujajua nilivyokuandikia. Usiwe na pride omba uelekezwe na ufundishwe just overview of auditing then ndo uje uongee hapa
 
Huna cha kunifundisha kwenye auditing. Just make your mind up uelewe the point
 
CAG/PCCCCCCCCCCCCB wafanye uchunguzi wapinzani wanaenguliwaje?
 
Mwaka 2020/21 NHIF ilipata hasara ya Bil 109 huku mfumo ulikuwa ukijiendesha kwa hasara kwa zaidi ya asilimia 49

2. Mwaka 2022 NHIF ilipata hasara ya Bil 204 huku taasisi ikijiendesha kwa hasara

3. Mwaka 2023 NHIF ilipata hasara ya Bil 269, huku taasisi ikijiendesha kwa hasara kwa asilimia 50, hii ikapelekea kuondolewa kwa huduma nyingi ikiwemo Toto Cards.

Aidha kwa mujibu wa Charles mwaka huo huo, NHIF ilijikopesha kupitia wafanyakazi wake zaidi ya Bil 41, mikopo ambayo haikuwa na tija na haikuwa inalipwa kwa mujibu wa sheria za mikopo kwa watumishi. Mkopo ambao mpaka leo bado wafanyakazi hawajalipa hilo deni.

Report hiyo hiyo ya mwaka 2023 Charles alituambia kuwa alibaini kuna upungufu wa ukwasi kwa zaidi ya asilimia 40 ndani ya Taasisi.kupitia Baketi yao

All of the sudden, mwaka 2024 yaani report yake ya juzi Charles anatuambia NHIF imepata faida?

1. Hakuna comeback kama hiyo kwenye health system especially kwa taasisi ambazo core function ni SERVICES na sio Business

2 kuna huduma nyingi sana za Afya hazipatikani chini ya NHIF , haijalishi umechangia muda gani, siku unayokuja kuumwa…. Kama ugonjwa wako haupo kwenye packages… hupati huduma…. Iyo faida inatoka wapi ?

3. Hosp nyingi za Private zimeachana na huduma za NHIF kwa sababu hawana hela za kulipa, hiyo faida inatoka wapi ?

4. Hosp za Referral ikiwemo MNH inaidai NHIF millions ikiwa ni limbikizo la deni lao, hiyo faida inatoka wapi ?

5. Bado huduma za NHIF zipo chini huku hadi kufikia mwaka 2023, asilimia 14 tu ya watanzania ndio wapo insured na NHIF, asilimia 1.5 Wana private insurance…. More than 80% ya watanzania wanaishi ishi kama kuku wa kienyeji …. Hawana bima….. hiyo faida inatoka wapi.

Kuna namna hizi TAARIFA zimepikwa na hii ni baada ya kuona wakuu wanapenda kusikia mazuri !

Yule CEO wa mwanzo alikuwa anatoa taarifa za kweli mkamla kichwa…huyu wa sasa hivi anadanganya Umma na hii ni JINAI maana wakubwa wanaona hali ipo shwari while huku nchini watanzania wanateseka.

Ofisi ya CAG inatakiwa kuchunguzwa….for real Kuna harufu ya Rushwa kwenye Ofisi ya CAG pamoja na NHIF. Aidha, NHIF ifanyiwe Special audit…. Haya mashirika ya Umma huwa wana cook sana data. Special audit ifanyike kubaini irregularities or else tutaua watanzania wengi, NHIF halipaswi kuwa shirika la siasa na uchawa
Hii faida inatoka wapi ?

NHIF kujiita wamepata faida maana yake ni watanzania hawajapa huduma au hawapati huduma stahiki.

Dr Megalodon Mushi, PhD Fellow
University of Ottawa
WHO Regional Office
Rue 52
Ottawa
Canada
Mkuu, Shirika la Bima linapata faida kwa kufanya vitu vitatu, kuongeza premiums, kuongeza wachangiaji, na kupunguza Claims. Hakika NHIF walichokifanya ni hilo la tatu hasa hasa kwa kuwafurusha watoto na Toto card yao, sioni haja ya Shirika la afya kwa Umma kuwa na faida bali washindanishwe kwa huduma bora kwa wananchi na proper management ya Funds.
 
Mwaka 2020/21 NHIF ilipata hasara ya Bil 109 huku mfumo ulikuwa ukijiendesha kwa hasara kwa zaidi ya asilimia 49

2. Mwaka 2022 NHIF ilipata hasara ya Bil 204 huku taasisi ikijiendesha kwa hasara

3. Mwaka 2023 NHIF ilipata hasara ya Bil 269, huku taasisi ikijiendesha kwa hasara kwa asilimia 50, hii ikapelekea kuondolewa kwa huduma nyingi ikiwemo Toto Cards.

Aidha kwa mujibu wa Charles mwaka huo huo, NHIF ilijikopesha kupitia wafanyakazi wake zaidi ya Bil 41, mikopo ambayo haikuwa na tija na haikuwa inalipwa kwa mujibu wa sheria za mikopo kwa watumishi. Mkopo ambao mpaka leo bado wafanyakazi hawajalipa hilo deni.

Report hiyo hiyo ya mwaka 2023 Charles alituambia kuwa alibaini kuna upungufu wa ukwasi kwa zaidi ya asilimia 40 ndani ya Taasisi.kupitia Baketi yao

All of the sudden, mwaka 2024 yaani report yake ya juzi Charles anatuambia NHIF imepata faida?

1. Hakuna comeback kama hiyo kwenye health system especially kwa taasisi ambazo core function ni SERVICES na sio Business

2 kuna huduma nyingi sana za Afya hazipatikani chini ya NHIF , haijalishi umechangia muda gani, siku unayokuja kuumwa…. Kama ugonjwa wako haupo kwenye packages… hupati huduma…. Iyo faida inatoka wapi ?

3. Hosp nyingi za Private zimeachana na huduma za NHIF kwa sababu hawana hela za kulipa, hiyo faida inatoka wapi ?

4. Hosp za Referral ikiwemo MNH inaidai NHIF millions ikiwa ni limbikizo la deni lao, hiyo faida inatoka wapi ?

5. Bado huduma za NHIF zipo chini huku hadi kufikia mwaka 2023, asilimia 14 tu ya watanzania ndio wapo insured na NHIF, asilimia 1.5 Wana private insurance…. More than 80% ya watanzania wanaishi ishi kama kuku wa kienyeji …. Hawana bima….. hiyo faida inatoka wapi.

Kuna namna hizi TAARIFA zimepikwa na hii ni baada ya kuona wakuu wanapenda kusikia mazuri !

Yule CEO wa mwanzo alikuwa anatoa taarifa za kweli mkamla kichwa…huyu wa sasa hivi anadanganya Umma na hii ni JINAI maana wakubwa wanaona hali ipo shwari while huku nchini watanzania wanateseka.

Ofisi ya CAG inatakiwa kuchunguzwa….for real Kuna harufu ya Rushwa kwenye Ofisi ya CAG pamoja na NHIF. Aidha, NHIF ifanyiwe Special audit…. Haya mashirika ya Umma huwa wana cook sana data. Special audit ifanyike kubaini irregularities or else tutaua watanzania wengi, NHIF halipaswi kuwa shirika la siasa na uchawa
Hii faida inatoka wapi ?

NHIF kujiita wamepata faida maana yake ni watanzania hawajapa huduma au hawapati huduma stahiki.

Dr Megalodon Mushi, PhD Fellow
University of Ottawa
WHO Regional Office
Rue 52
Ottawa
Canada
Mimi siyo Mhasibu, ila NHIF lazima ipate faid kwasababu zifuatazo:

Kumbuka NHIF inakusanya pesa za wafanyakazi kila mwezi na walipiaji wa hiari.

  • Wameondoa Toto afya kadi (watoto ndio watumiaji wakubwa)
  • Wanakata madai ya pesa vibaya mnooooo (yaani una kizahanati umeomba labda umetibu wafu kwa milioni 2, wanakata, wanakupa laki 5, na huna cha kufanya. Muhimbili wamekatwa mamilioni ya pesa, nahisi kama milioni 800. Unadhani Aga Khan mpaka kuwakataa mchezo😂😂

  • Wale wazee waliokuwa na magonjwa makubwa kadi zao zilikuwa zinafanya kazi kwa mbindeeeee
  • Wanafunzi wa vyuoni na vikadi vyao vya elfu 50, akitibiwa hicho kikadi hakitumiki tena mpaka miezi 3

Kwa mazingira hayo wangeshindwa vipi kupata faida???
 
Ndugu mto hoja, kuna baadhi ya mikakati ambayo NHIF iliweka toka mwaka ilipopata hasara na ikaanza kufanyia kazi. Mfano madeni ya Serikali NHIF imeshirikiana kwa karibu na Serikali katika kurejesha fedha zilizokopwa na pia kuwekeza katika.maeneo mbalimbali yenye faida kama UTT ili kupata faida ya muda mfupi na muda mrefu ili kuwezesha malipo ya madai ambayo kwa miaka michache ilikuwa mzigo kwa Mfuko.

Pia kama CAG humwamini ndugu ntoa hoja, basi tena pengine tatizo ni kabila
 
Wewe ndio Financial Analyst wa NHIF . ?

Basi unreels kampuni kwenye HASARA.

Michango mnaipeleka UTT kupata 12% huku raia wanakosa huduma.

Hata muweke mikakati gani, ndani 12 months hamuwezi kuwa na ziada, tambua kwa Takriban 10
Years NHIF inajiendesha kwa HASARA, hamuwezi ndani ya 9 months mmeenda kuweka ziada huku unasema pesa mnapeleka UTT, MMEPIKA data hatua stahiki zinakuja….. mnafanya Jinai na Afya za watanzqnia

do you know impact ya hicho ulichoongea? Kuweka pesa UTT wakati huduma mbali mbali watu wanakosa, Hosp na vituo vya Afya vinadai billions of billions ……what are you getting from UTT? That is poor investment
Mnahitaji further investigation
 
Mimi siyo Mhasibu, ila NHIF lazima ipate faid kwasababu zifuatazo:

Kumbuka NHIF inakusanya pesa za wafanyakazi kila mwezi na walipiaji wa hiari.

  • Wameondoa Toto afya kadi (watoto ndio watumiaji wakubwa)
  • Wanakata madai ya pesa vibaya mnooooo (yaani una kizahanati umeomba labda umetibu wafu kwa milioni 2, wanakata, wanakupa laki 5, na huna cha kufanya. Muhimbili wamekatwa mamilioni ya pesa, nahisi kama milioni 800. Unadhani Aga Khan mpaka kuwakataa mchezo😂😂

  • Wale wazee waliokuwa na magonjwa makubwa kadi zao zilikuwa zinafanya kazi kwa mbindeeeee
  • Wanafunzi wa vyuoni na vikadi vyao vya elfu 50, akitibiwa hicho kikadi hakitumiki tena mpaka miezi 3

Kwa mazingira hayo wangeshindwa vipi kupata faida???
sasa hiyo sio faida Mkuu wala ziadaw

Huoni kwamba ni Hasara?
 
Back
Top Bottom