Thumb Up..Mwaka 2020/21 NHIF ilipata hasara ya Bil 109 huku mfumo ulikuwa ukijiendesha kwa hasara kwa zaidi ya asilimia 49
2. Mwaka 2022 NHIF ilipata hasara ya Bil 204 huku taasisi ikijiendesha kwa hasara
3. Mwaka 2023 NHIF ilipata hasara ya Bil 269, huku taasisi ikijiendesha kwa hasara kwa asilimia 50, hii ikapelekea kuondolewa kwa huduma nyingi ikiwemo Toto Cards.
Aidha kwa mujibu wa Charles mwaka huo huo, NHIF ilijikopesha kupitia wafanyakazi wake zaidi ya Bil 41, mikopo ambayo haikuwa na tija na haikuwa inalipwa kwa mujibu wa sheria za mikopo kwa watumishi. Mkopo ambao mpaka leo bado wafanyakazi hawajalipa hilo deni.
Report hiyo hiyo ya mwaka 2023 Charles alituambia kuwa alibaini kuna upungufu wa ukwasi kwa zaidi ya asilimia 40 ndani ya Taasisi.kupitia Baketi yao
All of the sudden, mwaka 2024 yaani report yake ya juzi Charles anatuambia NHIF imepata faida?
1. Hakuna comeback kama hiyo kwenye health system especially kwa taasisi ambazo core function ni SERVICES na sio Business
2 kuna huduma nyingi sana za Afya hazipatikani chini ya NHIF , haijalishi umechangia muda gani, siku unayokuja kuumwa…. Kama ugonjwa wako haupo kwenye packages… hupati huduma…. Iyo faida inatoka wapi ?
3. Hosp nyingi za Private zimeachana na huduma za NHIF kwa sababu hawana hela za kulipa, hiyo faida inatoka wapi ?
4. Hosp za Referral ikiwemo MNH inaidai NHIF millions ikiwa ni limbikizo la deni lao, hiyo faida inatoka wapi ?
5. Bado huduma za NHIF zipo chini huku hadi kufikia mwaka 2023, asilimia 14 tu ya watanzania ndio wapo insured na NHIF, asilimia 1.5 Wana private insurance…. More than 80% ya watanzania wanaishi ishi kama kuku wa kienyeji …. Hawana bima….. hiyo faida inatoka wapi.
Kuna namna hizi TAARIFA zimepikwa na hii ni baada ya kuona wakuu wanapenda kusikia mazuri !
Yule CEO wa mwanzo alikuwa anatoa taarifa za kweli mkamla kichwa…huyu wa sasa hivi anadanganya Umma na hii ni JINAI maana wakubwa wanaona hali ipo shwari while huku nchini watanzania wanateseka.
Ofisi ya CAG inatakiwa kuchunguzwa….for real Kuna harufu ya Rushwa kwenye Ofisi ya CAG pamoja na NHIF. Aidha, NHIF ifanyiwe Special audit…. Haya mashirika ya Umma huwa wana cook sana data. Special audit ifanyike kubaini irregularities or else tutaua watanzania wengi, NHIF halipaswi kuwa shirika la siasa na uchawa
Hii faida inatoka wapi ?
NHIF kujiita wamepata faida maana yake ni watanzania hawajapa huduma au hawapati huduma stahiki.
Dr Megalodon Mushi, PhD Fellow
University of Ottawa
WHO Regional Office
Rue 52
Ottawa
Canada
Eti wao ziada wanaita faidaMwaka 2020/21 NHIF ilipata hasara ya Bil 109 huku mfumo ulikuwa ukijiendesha kwa hasara kwa zaidi ya asilimia 49

Hakika Mkuu!!Thumb Up..
NHIF Ina madeni chungu mzima na Bado mengine Haijalipa Faida Hiyo inatoka wapi?
Ngoja nikaisome na mimi taarifa ya CAGMwaka 2020/21 NHIF ilipata hasara ya Bil 109 huku mfumo ulikuwa ukijiendesha kwa hasara kwa zaidi ya asilimia 49
2. Mwaka 2022 NHIF ilipata hasara ya Bil 204 huku taasisi ikijiendesha kwa hasara
3. Mwaka 2023 NHIF ilipata hasara ya Bil 269, huku taasisi ikijiendesha kwa hasara kwa asilimia 50, hii ikapelekea kuondolewa kwa huduma nyingi ikiwemo Toto Cards.
Aidha kwa mujibu wa Charles mwaka huo huo, NHIF ilijikopesha kupitia wafanyakazi wake zaidi ya Bil 41, mikopo ambayo haikuwa na tija na haikuwa inalipwa kwa mujibu wa sheria za mikopo kwa watumishi. Mkopo ambao mpaka leo bado wafanyakazi hawajalipa hilo deni.
Report hiyo hiyo ya mwaka 2023 Charles alituambia kuwa alibaini kuna upungufu wa ukwasi kwa zaidi ya asilimia 40 ndani ya Taasisi.kupitia Baketi yao
All of the sudden, mwaka 2024 yaani report yake ya juzi Charles anatuambia NHIF imepata faida?
1. Hakuna comeback kama hiyo kwenye health system especially kwa taasisi ambazo core function ni SERVICES na sio Business
2 kuna huduma nyingi sana za Afya hazipatikani chini ya NHIF , haijalishi umechangia muda gani, siku unayokuja kuumwa…. Kama ugonjwa wako haupo kwenye packages… hupati huduma…. Iyo faida inatoka wapi ?
3. Hosp nyingi za Private zimeachana na huduma za NHIF kwa sababu hawana hela za kulipa, hiyo faida inatoka wapi ?
4. Hosp za Referral ikiwemo MNH inaidai NHIF millions ikiwa ni limbikizo la deni lao, hiyo faida inatoka wapi ?
5. Bado huduma za NHIF zipo chini huku hadi kufikia mwaka 2023, asilimia 14 tu ya watanzania ndio wapo insured na NHIF, asilimia 1.5 Wana private insurance…. More than 80% ya watanzania wanaishi ishi kama kuku wa kienyeji …. Hawana bima….. hiyo faida inatoka wapi.
Kuna namna hizi TAARIFA zimepikwa na hii ni baada ya kuona wakuu wanapenda kusikia mazuri !
Yule CEO wa mwanzo alikuwa anatoa taarifa za kweli mkamla kichwa…huyu wa sasa hivi anadanganya Umma na hii ni JINAI maana wakubwa wanaona hali ipo shwari while huku nchini watanzania wanateseka.
Ofisi ya CAG inatakiwa kuchunguzwa….for real Kuna harufu ya Rushwa kwenye Ofisi ya CAG pamoja na NHIF. Aidha, NHIF ifanyiwe Special audit…. Haya mashirika ya Umma huwa wana cook sana data. Special audit ifanyike kubaini irregularities or else tutaua watanzania wengi, NHIF halipaswi kuwa shirika la siasa na uchawa
Hii faida inatoka wapi ?
NHIF kujiita wamepata faida maana yake ni watanzania hawajapa huduma au hawapati huduma stahiki.
Dr Megalodon Mushi, PhD Fellow
University of Ottawa
WHO Regional Office
Rue 52
Ottawa
Canada
Hakuna kitu ziada. CAG na NHIF wamedanganya Umma. Hata ziada NHIF hawapaswi kuwa nayo all of the sudden … hata retorms ikifanyika…. It will take time not less thon 10 yrs NHIF ikae kwa angalau 50% satisfactionEti wao ziada wanaita faida
Hoja Namba 2 na 3 Huenda ndiyo zinatupa sababu ya NHIF kupata faida.. Ina maana wanapokea michango ya wanachama lakini hawawajibiki kulipa gharama zao pindi wanapoumwa...Mwaka 2020/21 NHIF ilipata hasara ya Bil 109 huku mfumo ulikuwa ukijiendesha kwa hasara kwa zaidi ya asilimia 49
2. Mwaka 2022 NHIF ilipata hasara ya Bil 204 huku taasisi ikijiendesha kwa hasara
3. Mwaka 2023 NHIF ilipata hasara ya Bil 269, huku taasisi ikijiendesha kwa hasara kwa asilimia 50, hii ikapelekea kuondolewa kwa huduma nyingi ikiwemo Toto Cards.
Aidha kwa mujibu wa Charles mwaka huo huo, NHIF ilijikopesha kupitia wafanyakazi wake zaidi ya Bil 41, mikopo ambayo haikuwa na tija na haikuwa inalipwa kwa mujibu wa sheria za mikopo kwa watumishi. Mkopo ambao mpaka leo bado wafanyakazi hawajalipa hilo deni.
Report hiyo hiyo ya mwaka 2023 Charles alituambia kuwa alibaini kuna upungufu wa ukwasi kwa zaidi ya asilimia 40 ndani ya Taasisi.kupitia Baketi yao
All of the sudden, mwaka 2024 yaani report yake ya juzi Charles anatuambia NHIF imepata faida?
1. Hakuna comeback kama hiyo kwenye health system especially kwa taasisi ambazo core function ni SERVICES na sio Business
2 kuna huduma nyingi sana za Afya hazipatikani chini ya NHIF , haijalishi umechangia muda gani, siku unayokuja kuumwa…. Kama ugonjwa wako haupo kwenye packages… hupati huduma…. Iyo faida inatoka wapi ?
3. Hosp nyingi za Private zimeachana na huduma za NHIF kwa sababu hawana hela za kulipa, hiyo faida inatoka wapi ?
4. Hosp za Referral ikiwemo MNH inaidai NHIF millions ikiwa ni limbikizo la deni lao, hiyo faida inatoka wapi ?
5. Bado huduma za NHIF zipo chini huku hadi kufikia mwaka 2023, asilimia 14 tu ya watanzania ndio wapo insured na NHIF, asilimia 1.5 Wana private insurance…. More than 80% ya watanzania wanaishi ishi kama kuku wa kienyeji …. Hawana bima….. hiyo faida inatoka wapi.
Kuna namna hizi TAARIFA zimepikwa na hii ni baada ya kuona wakuu wanapenda kusikia mazuri !
Yule CEO wa mwanzo alikuwa anatoa taarifa za kweli mkamla kichwa…huyu wa sasa hivi anadanganya Umma na hii ni JINAI maana wakubwa wanaona hali ipo shwari while huku nchini watanzania wanateseka.
Ofisi ya CAG inatakiwa kuchunguzwa….for real Kuna harufu ya Rushwa kwenye Ofisi ya CAG pamoja na NHIF. Aidha, NHIF ifanyiwe Special audit…. Haya mashirika ya Umma huwa wana cook sana data. Special audit ifanyike kubaini irregularities or else tutaua watanzania wengi, NHIF halipaswi kuwa shirika la siasa na uchawa
Hii faida inatoka wapi ?
NHIF kujiita wamepata faida maana yake ni watanzania hawajapa huduma au hawapati huduma stahiki.
Dr Megalodon Mushi, PhD Fellow
University of Ottawa
WHO Regional Office
Rue 52
Ottawa
Canada
Mkuu, unachanganya majukumu. Financial statements ni jukumu la management. Jukumu la CAG ni kutoa maoni ya kitaaluma juu ya hizo financial statements.Mwaka 2020/21 NHIF ilipata hasara ya Bil 109 huku mfumo ulikuwa ukijiendesha kwa hasara kwa zaidi ya asilimia 49
2. Mwaka 2022 NHIF ilipata hasara ya Bil 204 huku taasisi ikijiendesha kwa hasara
3. Mwaka 2023 NHIF ilipata hasara ya Bil 269, huku taasisi ikijiendesha kwa hasara kwa asilimia 50, hii ikapelekea kuondolewa kwa huduma nyingi ikiwemo Toto Cards.
Aidha kwa mujibu wa Charles mwaka huo huo, NHIF ilijikopesha kupitia wafanyakazi wake zaidi ya Bil 41, mikopo ambayo haikuwa na tija na haikuwa inalipwa kwa mujibu wa sheria za mikopo kwa watumishi. Mkopo ambao mpaka leo bado wafanyakazi hawajalipa hilo deni.
Report hiyo hiyo ya mwaka 2023 Charles alituambia kuwa alibaini kuna upungufu wa ukwasi kwa zaidi ya asilimia 40 ndani ya Taasisi.kupitia Baketi yao
All of the sudden, mwaka 2024 yaani report yake ya juzi Charles anatuambia NHIF imepata faida?
1. Hakuna comeback kama hiyo kwenye health system especially kwa taasisi ambazo core function ni SERVICES na sio Business
2 kuna huduma nyingi sana za Afya hazipatikani chini ya NHIF , haijalishi umechangia muda gani, siku unayokuja kuumwa…. Kama ugonjwa wako haupo kwenye packages… hupati huduma…. Iyo faida inatoka wapi ?
3. Hosp nyingi za Private zimeachana na huduma za NHIF kwa sababu hawana hela za kulipa, hiyo faida inatoka wapi ?
4. Hosp za Referral ikiwemo MNH inaidai NHIF millions ikiwa ni limbikizo la deni lao, hiyo faida inatoka wapi ?
5. Bado huduma za NHIF zipo chini huku hadi kufikia mwaka 2023, asilimia 14 tu ya watanzania ndio wapo insured na NHIF, asilimia 1.5 Wana private insurance…. More than 80% ya watanzania wanaishi ishi kama kuku wa kienyeji …. Hawana bima….. hiyo faida inatoka wapi.
Kuna namna hizi TAARIFA zimepikwa na hii ni baada ya kuona wakuu wanapenda kusikia mazuri !
Yule CEO wa mwanzo alikuwa anatoa taarifa za kweli mkamla kichwa…huyu wa sasa hivi anadanganya Umma na hii ni JINAI maana wakubwa wanaona hali ipo shwari while huku nchini watanzania wanateseka.
Ofisi ya CAG inatakiwa kuchunguzwa….for real Kuna harufu ya Rushwa kwenye Ofisi ya CAG pamoja na NHIF. Aidha, NHIF ifanyiwe Special audit…. Haya mashirika ya Umma huwa wana cook sana data. Special audit ifanyike kubaini irregularities or else tutaua watanzania wengi, NHIF halipaswi kuwa shirika la siasa na uchawa
Hii faida inatoka wapi ?
NHIF kujiita wamepata faida maana yake ni watanzania hawajapa huduma au hawapati huduma stahiki.
Dr Megalodon Mushi, PhD Fellow
University of Ottawa
WHO Regional Office
Rue 52
Ottawa
Canada
Mkuu kazi za CAG unazijua vizuri ?Mkuu, unachanganya majukumu. Financial statements ni jukumu la management. Jukumu la CAG ni kutoa maoni ya kitaaluma juu ya hizo financial statements.
Kama NHIF imepata faida, maana yake financial statements zilizowasilishwa kwa CAG kwa ukaguzi zinaonesha hivyo. CAG hajatayarisha hizo financial statements. Baada ya ukaguzi, CAG atatoa hati inayoakisi ushahidi mbalimbali aliokusanya wakati wa ukaguzi wake. Aina ya hati atakayotoa haitegemei hisia zake.
Mwisho, financial audit na fraud examination ni vitu viwili tofauti (sio interchangeable). Kama kuna suspected fraud, financial audit sio hatua sahihi ya kuchukua, kwasababu objectives zake sio kufichua udanganyifu. Fraud examination ndiyo inayohitajika!
Kama data ndio zinachakatwa hivi ni hatari sanaHoja Namba 2 na 3 Huenda ndiyo zinatupa sababu ya NHIF kupata faida.. Ina maana wanapokea michango ya wanachama lakini hawawajibiki kulipa gharama zao pindi wanapoumwa...
Hospitali nyingi za Binafsi wameanza kukwepa Kadi za NHIF... means burden Kwa NHIF imeanza kupungua. Hence, Wana Pesa Sasa...
Kama hawatoi huduma si ndio wanapata faida?Kama ugonjwa wako haupo kwenye packages… hupati huduma…. Iyo faida inatoka wapi ?
Kama hawatumii NHIF si ndio faida yenyewe inabaki maana hawatoi senti hivyo wanapunguza matumizi.3. Hosp nyingi za Private zimeachana na huduma za NHIF kwa sababu hawana hela za kulipa, hiyo faida inatoka wapi ?
Madeni na faida wapi na wapi? Faida ni pale mapato yakizidi matumizi. In fact hakuna kampuni haina madeni maana issue ni liquidity ya sasa sio mapato ya baadae.4. Hosp za Referral ikiwemo MNH inaidai NHIF millions ikiwa ni limbikizo la deni lao, hiyo faida inatoka wapi ?
Taarifa ipi ya kweli? Hivi JPM si hadi alipokea gawio la TTCL wakasema inaingiza faida? Kumbe uongoYule CEO wa mwanzo alikuwa anatoa taarifa za kweli mkamla kichwa
Stop mambo ya JPM…Kama hawatoi huduma si ndio wanapata faida?
Kama hawatumii NHIF si ndio faida yenyewe inabaki maana hawatoi senti hivyo wanapunguza matumizi.
Madeni na faida wapi na wapi? Faida ni pale mapato yakizidi matumizi. In fact hakuna kampuni haina madeni maana issue ni liquidity ya sasa sio mapato ya baadae.
Taarifa ipi ya kweli? Hivi JPM si hadi alipokea gawio la TTCL wakasema inaingiza faida? Kumbe uongo