Ofisi ya CAG ichunguzwe, NHIF inapataje faida ?

Tatizo lako Upo Obssessed na JPM.

Kwenye Uzi huu hakuna popote JPM katajwa.

obsession zako ndio zimemleta JPM nje ya scope ya Mjadala

I think you should stop it na focus na core theme!!
Also
Liquidity ni uwezo wa kampuni ku acces its cash , how quickly you can convert your assets into cash kwa maana nyingine liquidity ni UKWASI …. Liquidity pia ni uwezo wa kampuni to meet its obligations….. , obligation ni pamoja na madeni

Huwez kuwa na madeni ukasema upo okay kwenye liquidity….. financial ratio kama Current Ratio or quick ratio zinakataa

Kajifunze namna ya kuchakata data usiwe unapanua kinywa bila ya kuthink
 
Nakubaliana na wewe.
NHIF Walishindwa kuzilipa hata "Private Hospital" ila leo CAG anasema wana hati safi.
Disgusting
 
Unachanganya mambo

Nipe Objective 4 za any Auditing ?

Kazi ya Audit ni kuonesha gap kwenye compliance na adherence with all evidence that provuded. Kupitia Audit uta reveal wekaness , corruption and rregularities…. Ndio maana CAG utamsikia akisema tumebaini kuna upotevu wa bili…,,, kadhaa…. That Is revealing…sasa Kama hiyo haina evidence au kuna incomplete evidence ….. itaingia kama querry and then …. TAKUKURU can intervene for investigation and all that
 
Mkuu, how much do you know about financial audits? Naona kama tunaingia kwenye debate ambayo haiwezi kutufikisha popote?
 
it's not forensic audit. it's just book audit. Try to enlighten yourself about auditing
Umeelewa nilichoandika? Mambo ya Forensic, fraud or legal issue yanatoka wapi?

Tatizo mkisoma uzi mnakuwq na mqjibu au mnajiandaa kujibu na sio kuelewa
 
Umeelewa nilichoandika? Mambo ya Forensic, fraud or legal issue yanatoka wapi?

Tatizo mkisoma uzi mnakuwq na mqjibu au mnajiandaa kujibu na sio kuelewa
wewe hauwezi ukakielewa ulichoandika kama haujajua nilivyokuandikia. Usiwe na pride omba uelekezwe na ufundishwe just overview of auditing then ndo uje uongee hapa
 
wewe hauwezi ukakielewa ulichoandika kama haujajua nilivyokuandikia. Usiwe na pride omba uelekezwe na ufundishwe just overview of auditing then ndo uje uongee hapa
Huna cha kunifundisha kwenye auditing. Just make your mind up uelewe the point
 
CAG/PCCCCCCCCCCCCB wafanye uchunguzi wapinzani wanaenguliwaje?
 
Mkuu, Shirika la Bima linapata faida kwa kufanya vitu vitatu, kuongeza premiums, kuongeza wachangiaji, na kupunguza Claims. Hakika NHIF walichokifanya ni hilo la tatu hasa hasa kwa kuwafurusha watoto na Toto card yao, sioni haja ya Shirika la afya kwa Umma kuwa na faida bali washindanishwe kwa huduma bora kwa wananchi na proper management ya Funds.
 
Mimi siyo Mhasibu, ila NHIF lazima ipate faid kwasababu zifuatazo:

Kumbuka NHIF inakusanya pesa za wafanyakazi kila mwezi na walipiaji wa hiari.

  • Wameondoa Toto afya kadi (watoto ndio watumiaji wakubwa)
  • Wanakata madai ya pesa vibaya mnooooo (yaani una kizahanati umeomba labda umetibu wafu kwa milioni 2, wanakata, wanakupa laki 5, na huna cha kufanya. Muhimbili wamekatwa mamilioni ya pesa, nahisi kama milioni 800. Unadhani Aga Khan mpaka kuwakataa mchezo😂😂

  • Wale wazee waliokuwa na magonjwa makubwa kadi zao zilikuwa zinafanya kazi kwa mbindeeeee
  • Wanafunzi wa vyuoni na vikadi vyao vya elfu 50, akitibiwa hicho kikadi hakitumiki tena mpaka miezi 3

Kwa mazingira hayo wangeshindwa vipi kupata faida???
 
Ndugu mto hoja, kuna baadhi ya mikakati ambayo NHIF iliweka toka mwaka ilipopata hasara na ikaanza kufanyia kazi. Mfano madeni ya Serikali NHIF imeshirikiana kwa karibu na Serikali katika kurejesha fedha zilizokopwa na pia kuwekeza katika.maeneo mbalimbali yenye faida kama UTT ili kupata faida ya muda mfupi na muda mrefu ili kuwezesha malipo ya madai ambayo kwa miaka michache ilikuwa mzigo kwa Mfuko.

Pia kama CAG humwamini ndugu ntoa hoja, basi tena pengine tatizo ni kabila
 
Wewe ndio Financial Analyst wa NHIF . ?

Basi unreels kampuni kwenye HASARA.

Michango mnaipeleka UTT kupata 12% huku raia wanakosa huduma.

Hata muweke mikakati gani, ndani 12 months hamuwezi kuwa na ziada, tambua kwa Takriban 10
Years NHIF inajiendesha kwa HASARA, hamuwezi ndani ya 9 months mmeenda kuweka ziada huku unasema pesa mnapeleka UTT, MMEPIKA data hatua stahiki zinakuja….. mnafanya Jinai na Afya za watanzqnia

do you know impact ya hicho ulichoongea? Kuweka pesa UTT wakati huduma mbali mbali watu wanakosa, Hosp na vituo vya Afya vinadai billions of billions ……what are you getting from UTT? That is poor investment
Mnahitaji further investigation
 
sasa hiyo sio faida Mkuu wala ziadaw

Huoni kwamba ni Hasara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…