Ofisi ya CAG ichunguzwe, NHIF inapataje faida ?

Toto card wamerudisha.

Trust me wamepika Data,Special Audit inahitajika.

Hoja yako ya msingi NHIF isiwe lazima kwa watumishi. Watumishi wapewe Uhuru wa kuchagua Bima, hata hao wanaokata Supplimentary ya NHIF ni useless. Bado ukienda Hosp nothing special na Private kubwa hawataki sikia kitu inqitwa Ghost NHIF… wahindi wanasema sisi hatufany kazi za kudaiana…. Hatuna huo muda

Watumishi wapewa haki ya kuchagua Bima, hapo TZ kwa sasa kuna bima ambazo ukiumwa unaweza kwenda kutibiwa Nairobi, South Africa au India kwa bima hiyo hiyo…

Sasa NHIF watafutiwe mshindani…. Ukitaka kujua NHIF ni useless umwa ugonjwa ambao haupo kwenye package yao….haitojalisha umechangia muda gani

Hutopata huduma

Why iwe lazima mtumishi kuwa na NHIF ?
 
Watanzania kazi tunayo aisee. Ilipotangazwa hasara watu wakawa mbogo, sasa imetangazwa kupata faida bado mnabwabwaja tena.

Nilichojifunza mtoa hoja hujui misingi ya Insurance, hujui misingi ya Audit, hujui chochote unabwabwaja tu. Yaani CAG ahongwe na NHIF kwa kipi?

Naona unajiita PhD fellow siamini unaweza kuwa na elimu ya kufikia PhD kama arguments zako ndo hizi unatakiwa kuwa VETA week ya pili.
 
Hoja yako ni nini?

Naona hapa unaandika mapendekezo na kero.

Nilidhani unasemea hoja na kaguzi za CAG
 
We dogo reasoning yako ipo chini sana , kwa hiyo ukitangaziwa faida ni sawa hata kama sio sawa ni sawa ?

Wewe professional yako ni ipi ? Maana zamani tulipata shida kuelimisha standard 7 leavers , kwasasa tunapata shida kuwaelimisha degree holder ?

Dogo , umesomea nini tuanzie hapo kwanza! Maana kuna watu Neno NHIF mnalisikia kwenye habari na mkija kutibiwa tu

Hamna kingine mnachojua

Sisi wengine tumeishi na NHIF and we know each and every thing about it
 
We unaona kipi kimefanyika kati ya uliyosema, hata faida ipatikane?
 
Ta
Volatility katika industry ya Bima ni kubwa sana (mpaka uwe na akili ndo utaelewa), haya yanayotokea NHIF ni matokeo ya utekelezaji wa mikakati ya kurejesha Mfuko kwenye utendaji wake.

Ku shoot kwa faida sio kwamba imetokea ghafla kama wajinga wanavofikiri.

WACHAWI siku zote huwa wanapenda mtu asijenge nyumba ya bati, na mjadala huu umelenga NHIF isiwe na faida, 🤣🤣🤣.. Daaaah... Na faida hiyo aliyosema CAG ya Bill70 ni very minor kwenye industry ya Bima. Inamaana mapato ya NHIF yameongezeka, na matumizi yamepungua. Mtoa hoja anabaki na statisticts za mwaka 2021 kitu ambacho CAG kasema mwenyewe NHIF imeendelea kuijiimarisha na kutekeleza mikakati ili kuuinua.

BIll 71 nilitegemea mtoa hoja angesema ni faida ndogo sana ila kwasababu ndo ivo ni mtanzania kazaliwa na wachawi wenye wivu wa kuona Taasisi ikiwa na faidi 🤣🤣🤣🤣 daah.

Poleni
 
Duh! Ukweli mtupu.
Ni kusema mgonjwa akikosa huduma kwao ni faida.
 
Ni utapeli tupu
 
Tatizo lako Upo Obssessed na JPM.

Kwenye Uzi huu hakuna popote JPM katajwa.

obsession zako ndio zimemleta JPM nje ya scope ya Mjadala
Acha uongo, mtoa mada kasema JPM alikua mkweli tofauti na awamu ya sasa na mimi nimefanya nimenukuu sasa kivipi nipo obsessed na JPM?

Kwani uongo TTCL haikutoa gawio huku inaingiza hasara?
 
Jamaa hawezi kukuelewe maana akili yake kisoda halafu eti ni PhD Fellow!
 
Yaani wewe umeishi na NHIF halafu unalinganisha faida ya NHIF na coverage ya 8% vinahusiana nini?

Nimesema.hujui misingi ya bima wala misingi ya ukaguzi. Kaa kimya huna unalojua.
 
Ndugu mtoa hoja ni vizuri kutumia taarifa za ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Fedha za Serikali (CAG) 2023-2024 kitaalam na si kwa mihemko. Hatua zilizochukuliwa na NHIF zimekuwa endelevu kwa muda sasa zenye kuhakikisha Mfuko unakuwa endelevu (sustainable) na wakati huo huo upatikanaji wa huduma bora za bima ya afya kwa wananchi.

NHIF imeendelea kupunguza matumizi katika nyanja mbalimbali ikiwemo uendeshaji

NHIF imekuwa ikichukua hatua kali za kukomesha vitendo vyote vya udanganyifu. Hii imepunguza upotevu wa fedha

NHIF imeboresha mifumo yake katika usimamizi wa shughuli za Mfuko na uchakataji madai inayozuia mianya ya upotevu wa fedha

NHIF imehakikisha uwajibikaji kwa kwa watumishi wake kwa kuhakikisha madai yote yanalipwa si zaidi ya siku 60.

NHIF imesajili vituo 10,098 ambavyo ni Binafsi, Vya Kidini na Vya Serikali na vinalipwa kwa muda stahiki kwa hiyo si kweli kwamba vituo binafsi vyote vimejitoa.
 
Sasa nani anamihemko hapa. Umekuja kujibu hoja bila ya kuelewa Hoja. Uliyoyaongea yote ni nadharia na hayo ndio mnayowadanganyia viongozi kwa kuandika mareport kwa data za kupika.

Tukitaka kujua uzuri au ubaya wa NHIF tunapaswa kuwauliza vituo vya Afya na Hospital….. wao ndio watawasemea. Stop kuendelea kudanganya watu wee mzee
Hakuna Hosp ya maana inayotaka kufanya kazi na NHIF , wewe unajua MOi, MNH, KCMC , JKCI, BMC combined inawadai Bei gani ? That is rough sampling
Private ndio hawataki kusikia kitu NHIF ….. umesajili Ghost Hospitals za Private…… do you know namna wagonjwa wa NHIF wanavokuwa treated wakitaka huduma za provate….. kama NHIF ingekuwa ni worth it …… hakuna Hospital ya Private inge pull off.

Tambua hata gvt Hospitals , ni vile tu hao ni wateja wa lazima and they are mandated kufanya kazi na nyie kisheria ipo hivyo … otherwise msingekuwa na mteja
Hivi mnafanyaga hata opererational study kujua reputation yenu kwa Hospitals?
Bado NHIF is not perfoming, umetamka neno sustainability ……. You have wrong idea we mzeee….. sustainability while private Hosp zina pull off

Hamuwezi kuwa na profit , halafu watanzania wapate huduma bora. Kama mnaziada mana yake watanzania wanakufa kwa kukosa huduma

Listen , mmepika data na mmedanganya Umma na hiyo ni JINAI , mnahitaji Special audit kwenye maeneo 3

. Forensic Audit … kufanya deeper Investigation and Substantive test
2. Performance Audit… kuangalia complince yenu na vitu vya Afya
3. Operational Audit
4. Financial Audit ….. hapa tutaangalia curent ratio , quick ratio , asset na liabilities mlizolimbikiza kwa wateja
Mtuambie hiyo ziada mmetoa wapi

Njoo na data, usilete maneno ya kuandika kwenye report zenu za mchongo ; tumesajili vituo 10,000, tunaendelea lufanya sustainability bla-bla ….. hayo ndio maneno ya report za uzushi

Njoo na Data

Hosp ngapi zinawadai ? Jumla ya fedha zote

Njoo na data, mnachukua mda gani kuwalipa wateja
Njoo na data watz wangap wanakosa huduma hali ya kuwa wana kadi
Njoo na data za toto card
% covered out of 65 Mil

Mnaenda kuweka fedha za michango UTT huku watu wanakosa huduma, are you business entity or non profit organisation ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…