Ofisi ya CAG ichunguzwe, NHIF inapataje faida ?

Mapato-matumizi=Faida.

Hicho ndio CAG kafanya.
Sasa hiyo sio Ziada, kuna namna CAG ameamua kufunika kombe, ndio maana tunataka special audit

Huwezi kusema mapato na matumizi ya NHIF uite ziada au faida while kuna other cost incured ikiwemo madeni na huduma mbovu
 
Watanzania wengi tuna matatizo ya kutoelewa tofauti ya pato na faida, sijui kinachoendelea NHIF ila it's possible kabisa ku restructure ukapata faida kwa kuondoa Bloats kwenye kampuni.

Revenue inapungua ila profit inarudi.

Cha muhimu ungetuoensha na pato la NHIF lilikuwaje kwa hio time frame.
 
Soma vema uelewe
 
Soma vema uelewe
Nimesoma vizuri, umesema kuna upungufu wa ukwasi asilimia 40 na faida kitu ambacho kina make sense kabisa kama una basics kidogo za biashara.

Kampuni kubwa inayopata hasara popote pale duniani huwa inapunguzwa, unapotoa bloats mapato Hupungua ila faida huongezeka,

Ndio maana nikakuuliza una revenue figures?
 
Basi umesoma ila hukujiandaa kuelewa
Umejiandaa kujibu
 
Sasa hiyo sio Ziada, kuna namna CAG ameamua kufunika kombe, ndio maana tunataka special audit

Huwezi kusema mapato na matumizi ya NHIF uite ziada au faida while kuna other cost incured ikiwemo madeni na huduma mbovu
Wewe jamaa ni kibuyu.

Mbona husemi NHIF inadaiwa na nani?

NHIF inadai, hilo linafahamika maana mpaka serikali inadai NHIF karibu Trilioni 4.

Kuhisi huduma mbovu, mimi mwenyewe nina card ya NHIF najua ni *******.

Ila CAG hakagui ubora wa huduma, anakagua vitabu vya kihasibu.
 

We dogo unaelimu gani mbona una sound so cheap

Pitié comment utaelewa NHIF anadaiwa na nani

Kama hujui NHIF inadaiwa na
Nani , i think umeingia wrong forum
 
Tatizo la mtoa mada ni kuwa kuna namna alitamani CAG aseme kuhusu Mfuko, sasa baada ya matamanio yake kuwa tofauti ghadhabu ikaibuka. Cha kufahamu kwa wote ripoti ya CAG Audit za CAG hufanywa na wataalam wanaoaminika sio tu nchini, kote duniani, sasa inashangaza anapotokea mtu kupinga ripoti ya CAG bila grounds zozote. Na kwakukosa hoja mtoa mada na wachangiaji wenye mlengo wake wanakimbilia kufanya personal attack, hili ni tatizo kubwa la watu wasiojua wanachotaka. Badala ya kupongeza kazi nzuri inayofanywa na uongozi wa Mfuko, watu wanakimbilia kukataa facts. Watanzania tujifunze kujikubali, chuki binafsi haziwezi kutupeleka popote.

Mtoa mada ukitaka facts unapata NHIF ni taasisi ya Umma yenye jukumu kubwa na inategemewa na Watanzania wengi wenye hali tofauti za kiuchumi, ukifahamu hilo utachagua kuwa positive na NHIF kwa kutoa constructive criticism.
 
Mtoa mada ni kibuyu lakini pia

Hakuna kazi nzuri iloyofanywa na mfuko.

Faida wamepata ila Kinachofanywa na mfuko ni utapeli.

Wamepata faida kwa:

  • Dhulma ya kukata madai ya pesa za huduma za watu
  • Kuondoa huduma kwa watoto
  • Kuweka vikwazo kwa vifurushi binafsi

Na utapeli mkubwa:

Kuendelea kukata pesa za wanachama wao kwa lazima
 
Mkuu hamna unachoongea. Una maelezo mengi yenye instinct ya defensive and you feel offended, pole

Tunaangalia manufaa ya raia zaidi


Wewe ndio utakuwa data engineering hapo NHIF

NHIF ni mzigo kwa Hospitals nyingi. Nimekuwa kwa group fiield for more than 5 years , tumesuguana na NHIF kwa miaka mingi sambamba na kukataa kulipa dawa ambazo wagonjwq wanazihitaji na ni beneficial, sina cha kujifunza wala huna cha kuniambia kuhusu operation zenu na payments terms

Hao unaowaita wataalam wa ukaguzi wengine tumewapa sisi knowledge na expertise kwenye Audit ya health system

Tunajua namna taasisi za umma mnavofanya audit na forgery

Usiwe na wasi, Special Audit itatoa majibu yote

Watakuja kufanya audit mark my words….maeeno matatu, nimeyataja hapo juu ; Financial performance na Operation na Forensic

Unajua habari ya Ummy na CEO wenu walitoka kwa nini
Sasa nyie mtakuwa mmeingia kwenye JINAI ya kupika data

Get’prepared
 
Mmmmh !
 
Tatizo la mtoa mada ni kuwa kuna namna alitamani CAG aseme kuhusu Mfuko, sasa baada ya matamanio yake kuwa tofauti ghadhabu ikaibuka. Cha kufahamu kwa wote ripoti ya CAG Audit za CAG hufanywa na wataalam wanaoaminika sio tu nchini, kote duniani, sasa inashangaza anapotokea mtu kupinga ripoti ya CAG bila grounds zozote. Na kwakukosa hoja mtoa mada na wachangiaji wenye mlengo wake wanakimbilia kufanya personal attack, hili ni tatizo kubwa la watu wasiojua wanachotaka. Badala ya kupongeza kazi nzuri inayofanywa na uongozi wa Mfuko, watu wanakimbilia kukataa facts. Watanzania tujifunze kujikubali, chuki binafsi haziwezi kutupeleka popote. Mtoa mada ukitaka facts unapata NHIF ni taasisi ya Umma yenye jukumu kubwa na inategemewa na Watanzania wengi wenye hali tofauti za kiuchumi, ukifahamu hilo utachagua kuwa positive na NHIF kwa kutoa constructive criticism.
Tunapoendelea kujadili taarifa za kuaminika za CAG kwa mitizamo tofauti, tufahamu kuwa mpaka sasa;

1. NHIF inahudumia wanachama zaidi ya milioni tano nchini ambao wana uhakika wa matibabu wakati wowote,

2. Kila mwaka NHIF inatumia zaidi ya TZS. 700 bilioni kulipia huduma za matibabu kwenye vituo/hospitali zinazotoa huduma ya matibabu kwa wanachama,

3. Asilimia 80 ya malipo yote yanayolipwa kwa njia ya bima ya afya hapa nchini, yanalipwa na NHIF,

4. NHIF kwa sasa inajiandaa kushiriki kutekeleza maono ya Serikali ya "Bima ya Afya kwa Wote" ambapo watanzania wote watakuwa na bima ya afya ikiwemo wasio na uwezo.

Hayo ni miongoni mwa masuala makubwa yanayotaka mijadala na sio kujadili hoja kwa mitizamo isiyozingatia mambo makubwa yanayofanywa..
 
1. Watanzania Mil 5 ni sawa na asilimia 7 of the total population, That means mnawateja wa lazima ambao ni watumishi who are being forced to join. Over all those years , hamjaweza ku touch signifiant % out of public servant population, that means NHIF ni useless kwa Taifa.

Tukiondoa ulazima wa watumishi kujiunga na NHIF…. Mnadhan mtatoboa ?

2. Kulipa bil 700 kipi cha ajabu ? Si ni watu wanatoa huduma za mchongo hizo hizo , sasa unawalipa au unawapa haki yao…. Bil 700 na ratio mnayodaiwa ni bil ngapi…. ?

3. Asilimia 80% mnalipa nyie NHIF huku mna cover only 7% of the total population…. Are you serious kweli Enginear wa data ?

4. Stop deluding your self Niger, for more than 20 years mmeweza ku cover about 7% only out of 68M people huku huduma zikiwa hafifu na madeni juu….. watu 5 M mmepqmbqnq about 20 years , leo unawaza kucover Universal Health Coverage, …. You are mad , mkifanya hivo mnaenda kufa

Fanyeni study kwanza , reform za more than 10 years ….then mnaanza kidogo kidogo

Utoke kwenye 7% coverage then vuu to 100% , poor thinking

Kwa reform gani mliyofanya na hizo data fake zenu

Asilimia 7
Tu mnataka kufa kifo cha mende

Halaf kama ww ndio data analyst wao…. Basi unaiweka taasisi cha kike, hamna unschojua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…