Ofisi ya CAG yatangaza Nafasi za Kazi 104 kwa Kada mbalimbali

Jamii Opportunities

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
4,876
Reaction score
1,549
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi mia moja na nne (104) kama ilivyoainishwa katika tangazo hili.
 
Attachments

Kwa ajira za National Audit changamoto maoni experience and discussion kuhusu written interview za kada zote hapa ndio jamvini kwake (nafasi zaidi ya 100)
 
Kwa wanaohotaji maswali ya ISA waje private unatuma 10000 unatumiwa maswala
 
hii nchi sihami hata wanirogee
 
Hayo maswali,yanahusisha ISA zote na calculations? Na ni maswali mangapi
 
Huwa mnafanyaje kutuma maombi kupitia Ajira portal, mimi nikijaribu naambiwa FAILED, profile iko full 100% na vigezo ni mule mule.

Muongozo tafadhali
Kama inakukatalia pale kunakua na link ya kucheck requirements.

Kama unaona kabisa elimu inayotakiwa ndiyo uliyonayo hebu jaribu kubadilisha jina la kozi na weka ambayo wameitaka halafu jaribu kuapply. Ikikubali means kozi yako haipo considered, iliyopo considered ni hiyo uliyobadilisha ikakubali.
 
Je kama course zengine ukichagua zinakataa na zengine zinakubali inakuaje
 
Mbona nimesema hapo kwamba inamaanisha kozi yako haIwezi omba hiyo post.

Na ikatokea umebadili jina la kozi ukiapply utaitwa interview ila hua wanakagua vyeti na pale utaambiwa tu cheti chako hakiwezi omba hii kazi so umedanganya system.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Kama inakukatalia pale kunakua na link ya kucheck requirements.

Kama unaona kabisa elimu inayotakiwa ndiyo uliyonayo hebu jaribu kubadilisha jina la kozi na weka ambayo wameitaka halafu jaribu kuapply. Ikikubali means kozi yako haipo considered, iliyopo considered ni hiyo uliyobadilisha ikakubali.
Ngoja nijaribu hii mbinu
 
Huwa mnafanyaje kutuma maombi kupitia Ajira portal, mimi nikijaribu naambiwa FAILED, profile iko full 100% na vigezo ni mule mule.

Muongozo tafadhali
Jaribu kubadilisha job category weka kama ile ya kwenye nafasi husika
 
Nimeiweka, si naiweka kwenye Experience?

Wakiniambia FAILED wanasema niangalie Academic na Professional qualification, hii sehemu wao wameorodhesha ambapo najaza kulingana na wao walivyoorodhesha(yaani siwezi kujaza kivyangu). Sasa sijui wanataka nini zaidi maana wanaendelea kuniambia Failed
 
Hapana job category unaipata ukiwa unajaza academic nenda kwenye edit
 
Back
Top Bottom