logan007
Senior Member
- Nov 22, 2020
- 197
- 200
Ivi taarifa zako ulijaza au ulijaziwa?Nimeiweka, si naiweka kwenye Experience?
Wakiniambia FAILED wanasema niangalie Academic na Professional qualification, hii sehemu wao wameorodhesha ambapo najaza kulingana na wao walivyoorodhesha(yaani siwezi kujaza kivyangu). Sasa sijui wanataka nini zaidi maana wanaendelea kuniambia Failed