Jamii Opportunities
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 4,876
- 1,549
Aisee..!!Kwa ajira za National Audit changamoto maoni experience and possible Qn za kada zote hapa ndio jamvini kwake
Karbu utoe maoniAisee..!!
Kwa wanaohotaji maswali ya ISA waje private unatuma 10000 unatumiwa maswalaKwa ajira za National Audit changamoto maoni experience and discussion kuhusu written interview za kada zote hapa ndio jamvini kwake (nafasi zaidi ya 100)
Wahitaj watakufataKwa wanaohotaji maswali ya ISA waje private unatuma 10000 unatumiwa maswala
Tutafika tumechoka sanaKwa wanaohotaji maswali ya ISA waje private unatuma 10000 unatumiwa maswala
Mungu atusaidieKwa wanaohotaji maswali ya ISA waje private unatuma 10000 unatumiwa maswala
Kama inakukatalia pale kunakua na link ya kucheck requirements.Huwa mnafanyaje kutuma maombi kupitia Ajira portal, mimi nikijaribu naambiwa FAILED, profile iko full 100% na vigezo ni mule mule.
Muongozo tafadhali
Je kama course zengine ukichagua zinakataa na zengine zinakubali inakuajeKama inakukatalia pale kunakua na link ya kucheck requirements.
Kama unaona kabisa elimu inayotakiwa ndiyo uliyonayo hebu jaribu kubadilisha jina la kozi na weka ambayo wameitaka halafu jaribu kuapply. Ikikubali means kozi yako haipo considered, iliyopo considered ni hiyo uliyobadilisha ikakubali.
Mbona nimesema hapo kwamba inamaanisha kozi yako haIwezi omba hiyo post.Je kama course zengine ukichagua zinakataa na zengine zinakubali inakuaje
Ngoja nijaribu hii mbinuKama inakukatalia pale kunakua na link ya kucheck requirements.
Kama unaona kabisa elimu inayotakiwa ndiyo uliyonayo hebu jaribu kubadilisha jina la kozi na weka ambayo wameitaka halafu jaribu kuapply. Ikikubali means kozi yako haipo considered, iliyopo considered ni hiyo uliyobadilisha ikakubali.
Jaribu kubadilisha job category weka kama ile ya kwenye nafasi husikaHuwa mnafanyaje kutuma maombi kupitia Ajira portal, mimi nikijaribu naambiwa FAILED, profile iko full 100% na vigezo ni mule mule.
Muongozo tafadhali
Nimeiweka, si naiweka kwenye Experience?Jaribu kubadilisha job category weka kama ile ya kwenye nafasi husika
Hapana job category unaipata ukiwa unajaza academic nenda kwenye editNimeiweka, si naiweka kwenye Experience?
Wakiniambia FAILED wanasema niangalie Academic na Professional qualification, hii sehemu wao wameorodhesha ambapo najaza kulingana na wao walivyoorodhesha(yaani siwezi kujaza kivyangu). Sasa sijui wanataka nini zaidi maana wanaendelea kuniambia Failed