Ivi taarifa zako ulijaza au ulijaziwa?Nimeiweka, si naiweka kwenye Experience?
Wakiniambia FAILED wanasema niangalie Academic na Professional qualification, hii sehemu wao wameorodhesha ambapo najaza kulingana na wao walivyoorodhesha(yaani siwezi kujaza kivyangu). Sasa sijui wanataka nini zaidi maana wanaendelea kuniambia Failed
Mkuu hapa kwenye Academic Qualifications? ebu nionesheHapana job category unaipata ukiwa unajaza academic nenda kwenye edit
Nimejaza mwenyewe kwa kufuata jinsi system inavyotakaIvi taarifa zako ulijaza au ulijaziwa?
Hapo kwenye program category weka category ya kwenye ile nafasi ukitaka kuijua category nenda kwenye vacancy click hiyo nafasi utaona maelezoMkuu hapa kwenye Academic Qualifications? ebu nionesheView attachment 2242464
Tusubiri jumatatu. System huenda ikatulia. Kozi zimeandikwa kiswahili huenda system ikawa inapata shida ku matchNimeiweka, si naiweka kwenye Experience?
Wakiniambia FAILED wanasema niangalie Academic na Professional qualification, hii sehemu wao wameorodhesha ambapo najaza kulingana na wao walivyoorodhesha(yaani siwezi kujaza kivyangu). Sasa sijui wanataka nini zaidi maana wanaendelea kuniambia Failed
Haipo, ila zipo caregory za jumla mf Health ambapo hapa kuna programme nyingi tofauti tofauti. Na hapa programme zinakuja kama zilivyo mavyuoni( yaani Bachelor of .....).Hapo kwenye program category weka category ya kwenye ile nafasi ukitaka kuijua category nenda kwenye vacancy click hiyo nafasi utaona maelezo
Kuna kozi huwa zinawachanganya sana utumishi,interview nyingi huwa wanawazuia watu WA procurement and supplies management na procurement and logistic management.Inabidi utumishi wakae na kuzitafakali uwiyano wa hizi kozi.Mbona nimesema hapo kwamba inamaanisha kozi yako haIwezi omba hiyo post.
Na ikatokea umebadili jina la kozi ukiapply utaitwa interview ila hua wanakagua vyeti na pale utaambiwa tu cheti chako hakiwezi omba hii kazi so umedanganya system.
Ivi taarifa zako ulijaza au ulijaziwa?
Hiyo ni ishu ya system YaoHaipo, ila zipo caregory za jumla mf Health ambapo hapa kuna programme nyingi tofauti tofauti. Na hapa programme zinakuja kama zilivyo mavyuoni( yaani Bachelor of .....).
Job post walioisema naona inafit kuijaza kwenye work experience ila nimefanya hivyo lakini wanazidi kusema niangalie vigezo vya academic na professional.
Mnaokubaliwa huwa mnafanyaje? usikute nang'ang'a hapa kumbe ni nafasi ya mtu ananichora tu[emoji3][emoji3][emoji3]
Hivi kwa aliyesoma education na masomo ya kufundishia ni economics na commerce, anaweza kuomba kama mchumi? Msaada wakuuHiyo ni ishu ya system Yao
Sijawahi kuona system mbovu kama ajira portal
Hawataki kuiupdate na kuifanyia mantainance wao wanaona Raha kupigwa na kiyoyozi huku watoto wa masikini wanateseka..
Ishu KUBWA hiyo system inaonekana waliiset kwenye lugha ya kiingereza
Yan job requirements inatakiwa imatch na job position in English way
Sasa job position ya national audit wameiweka Kwa Kiswahili ndo maana system inashindwa Ku match at the end Lazima ikujibu job failed Tu.
So ni wao ndo wamezingua.
Inawezekana NdioHivi kwa aliyesoma education na masomo ya kufundishia ni economics na commerce, anaweza kuomba kama mchumi? Msaada wakuu
Kuna wapo ambao huwa wanaweza kuapply, huwa wanawezaje? Hapa inabidi watueleze.Hiyo ni ishu ya system Yao
Sijawahi kuona system mbovu kama ajira portal
Hawataki kuiupdate na kuifanyia mantainance wao wanaona Raha kupigwa na kiyoyozi huku watoto wa masikini wanateseka..
Ishu KUBWA hiyo system inaonekana waliiset kwenye lugha ya kiingereza
Yan job requirements inatakiwa imatch na job position in English way
Sasa job position ya national audit wameiweka Kwa Kiswahili ndo maana system inashindwa Ku match at the end Lazima ikujibu job failed Tu.
So ni wao ndo wamezingua.
Wengi hua wanapiga simu wanateleza...Ila tatzo likiwa kubwa Wana skirt out kwa woteKuna wapo ambao huwa wanaweza kuapply, huwa wanawezaje? Hapa inabidi watueleze.
Utashangaa watu wengi wanaitwa kwenye usahili ilihali system ilikugomea huku ukiwa na vigezo vyote.
Hayo ndio mambo ya koneksheni sasa. Upuuzi kuweka kitu Public halafu usubiri utafutwe ndio uruhusu ulichokiweka publicWengi hua wanapiga simu wanateleza...Ila tatzo likiwa kubwa Wana skirt out kwa wote
Unapiga simu kwenye official namba zao mzee (help desk)...wanakusaidia tatzo lkoHayo ndio mambo ya koneksheni sasa. Upuuzi kuweka kitu Public halafu usubiri utafutwe ndio uruhusu ulichokiweka public
Mimi naona waajiriwa wa hii ofisi walipwe hata mara mbili ya waajiriwe wengine wa kada zinazofanana..... Mambo ya rushwa au mnasemaje wadau......
Ipo kawaida.... Au marupurupu ni mengi?Mishahara yao ikoje mkuu