residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Aliyekasimishwa madaraka ya kuhoji (CAG), yeye amesema lolote?Mnaamshwa usingizini, muhoji 8 Bilions zimeenda wapi. Zilizotengwa kwa ajili ya kuimarisha miundo mbinu ya chama ikiwemo makao makuu ya chama! Sasa ninyi mnamwagiwa maji ya baridi kutoka usingizi bado hamtaki kuamka tuwaeleweje!?
Wapumbavu wengi sana nchiiii...Kuna video inazunguka ikionyesha msajili wa vyama vya siasa hapa nchini akitoka kwenye ofisi za makao makuu ya CHADEMA pale mitaa ya Ufipa...
Na hii hoja inakidhalilisha zaidi chama chako kuliko kukipandisha.Kuna video inazunguka ikionyesha msajili wa vyama vya siasa hapa nchini akitoka kwenye ofisi za makao makuu ya CHADEMA pale mitaa ya Ufipa...
Wewe katika uchaguzi mkuu kura yako waipa chama/mgombea au waipa jengo?Wahenga wasema, uzuri wa mkakasi ndani kipande cha mti.Kuna video inazunguka ikionyesha msajili wa vyama vya siasa hapa nchini akitoka kwenye ofisi za makao makuu ya CHADEMA pale mitaa ya Ufipa...
Nyerere wkt anapigania Uhuru na kuikomboa Tanganyika alikuwa anahidhiwa kwenye nyumba za watu hakukuwa na ofisi na kama zilikuwepo hazikuwa za maanaNilifikiri Godown flani hivi la kuweka vyuma chakavu kumbe ndio makao makuu ya Chama kinachotaka kutuletea maendeleo zaidi ya Ulaya??
Kwa tafsiri yabandiko lako ni kwamba ubora wa ccm upo kwenye majengo na siyo sera na uongozi bora!!!Kuna video inazunguka ikionyesha msajili wa vyama vya siasa hapa nchini akitoka kwenye ofisi za makao makuu ya CHADEMA pale mitaa ya Ufipa...
sisi hatuchagui watu kisa wana majengo mazuri. ingekuwa hivyo sisi wakristo tungemkataa Yesu alietokea kwenye zizi la ng'ombe. kuzidisi ofisi za chadema wala hakuiongezei kura CCM. unapoteza muda wako bureKuna video inazunguka ikionyesha msajili wa vyama vya siasa hapa nchini akitoka kwenye ofisi za makao makuu ya CHADEMA pale mitaa ya Ufipa...
Umejitahidi kukalili haka ka paragraph kila kwenye kila uzi ni kucopy na kupest.What I know for sure is , this october i’m voting for TUNDU LISSUu for so many reasons. but the biggest of all is that i don’t want to see some insecure, paranoid man in the highest office in the country who cares very little about laws and constitution. i also ask you to vote for TUNDU LISSU.
Babymama cariha , pls join me
kwahiyo hapa ndio mnajibu hoja za lissu?Billion 8 walizokatwa wabunge wa chadema ziko wapi?
Mtu hana bango hata MOJA nchi nzima, lakini CCM nzima tumbo joto. Daah kweli LISSU ni balaa, hawakutegemea. Polepole mpk anatukana kwa kupaniki. Hivi tunajiuliza kwani mgombea ni LISSU tu, mbona akina LIPUMBA hawawagusi. Hii ni ishara kuwa Llissu anawatesa.CHADEMA hata ikiwa chini ya mti sisi TUNAYO MIOYONI.....NI YEYE
Kuna furaha gani kuwa na ofisi nzuri wakati watoto wa shule wanakaa chini?, watu wanakunywa maji machafu?
Hivi aliyesema akili ni nywele nani?Kwahiyo tuchague CCM kwakuwa wana ofisi nzuri? Tunamchagua Rais wa nchi na si ofisi nzuri zaidi za chama!
Aache kuzitumbua na vitu maalum wake awajengee ofisi. Hapo mtu Ajaribu kuhoji aone, kama hajafungishwa virago mchana kweupe.Billioni 8 walizoibiwa wabunge wa Chadema hazikutosha kujenga?
Ruzuku mnapeleka wapi, acha kutetea ujinga. Chama huko, anafaidi Mbowe na genge lake la watu wachache tu.Kuna furaha gani kuwa na ofisi nzuri wakati watoto wa shule wanakaa chini?, watu wanakunywa maji machafu?
Upinzani siyo ofisi, Upinzani upo moyoni rohoni na pamoja na hiyo ofisi kuwa hivyo bado CCM wanawaogopa chadema mpaka kuwabambikia kesi kuwapiga risasi, kama ofisi ni ndogo iweje CCM mnaweweseka si muache wananchi waamue wenyewe?Kuna video inazunguka ikionyesha msajili wa vyama vya siasa hapa nchini akitoka kwenye ofisi za makao makuu ya CHADEMA pale mitaa ya Ufipa.
Mchukua video alilenga kuonyesha msajili wa vyama anavyohangaika kupanda boda boda lakini ameishia kukidhalilisha chama chake.
Kwenye video inayozunguka zimeonekana ofisi za chama ziliochoka na kupauka vibaya! Mtu aliye mbali akiambiwa kuwa hapo ndiyo makao makuu ya CHADEMA hawezi kuamini na atabisha sana lakini ukweli utabaki kuwa ukweli kwamba hayo ndiyo makao makuu ya CHADEMA!
Kweli hata rangi imewashida kupaka?
Kweli hata tiles zimewashinda kuweka?
Hiyo ndiyo ofisi kuu ya chama anachotokea Tundu Lissu anayejimwambafai ataboresha maisha ya watanzania? Si aboreshe ofisi ya chama chake kwanza?
Tundu Lissu umeshindwa kupaka rangi ofisi ya CHADEMA utaweza kweli kuwaletea Watanzania SGR, Elimu bure, umeme wa stiglers?
Ifike mahali hapo ufipa muache unafiki.