Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Leta ushahidi kuwa kuna aliyepgwa risasi na CCMCCM ndiyo mnaweweseka mna majengo lakini kutwa kuwabambikia kesi kuwapiga risasi chadema wenye ofisi ndogo ya kawaida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leta ushahidi kuwa kuna aliyepgwa risasi na CCMCCM ndiyo mnaweweseka mna majengo lakini kutwa kuwabambikia kesi kuwapiga risasi chadema wenye ofisi ndogo ya kawaida
Zinatumika kupangua utitiri wa kesi mnazowabambikia kila kukicha zinatumika kuwatibu mliowapiga risasi zinatumika kwenye kampeni sasa kwani hukuwapa pesa za kampeniBillioni 8 walizoibiwa wabunge wa Chadema hazikutosha kujenga?
Ushahidi uletewe wewe punje moja ya ulezi ili iweje? Ushahidi wanapewa boss zako wewe tulia endelea kukariri zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCMLeta ushahidi kuwa kuna aliyepgwa risasi na CCM
Haujaacha kuvuta Bangi? Acha kufanya tafiti kwenye vijiweni baada ya kuvuta BangiChadema akili zao hazipo, bado hawaelewi kama Tundu Lissu kila siku kura zake zinapungua
Mnaamshwa usingizini, muhoji 8 Bilions zimeenda wapi. Zilizotengwa kwa ajili ya kuimarisha miundo mbinu ya chama ikiwemo makao makuu ya chama! Sasa ninyi mnamwagiwa maji ya baridi kutoka usingizi bado hamtaki kuamka tuwaeleweje!?
Sasa ulivonambia khs mtu kupigwa risasi ilkuwa inanihusu nn.?Ushahidi uletewe wewe punje moja ya ulezi ili iweje? Ushahidi wanapewa boss zako wewe tulia endelea kukariri zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM
Billioni 8 walizoibiwa wabunge wa Chadema hazikutosha kujenga?
Hata haowengine zinang"as kwasababu wanaweza kuchanganya shughuli zachama naserekali nadhani umegundua ninachomaanishaKuna video inazunguka ikionyesha msajili wa vyama vya siasa hapa nchini akitoka kwenye ofisi za makao makuu ya CHADEMA pale mitaa ya Ufipa.
Mchukua video alilenga kuonyesha msajili wa vyama anavyohangaika kupanda boda boda lakini ameishia kukidhalilisha chama chake.
Kwenye video inayozunguka zimeonekana ofisi za chama ziliochoka na kupauka vibaya! Mtu aliye mbali akiambiwa kuwa hapo ndiyo makao makuu ya CHADEMA hawezi kuamini na atabisha sana lakini ukweli utabaki kuwa ukweli kwamba hayo ndiyo makao makuu ya CHADEMA!
Kweli hata rangi imewashida kupaka?
Kweli hata tiles zimewashinda kuweka?
Hiyo ndiyo ofisi kuu ya chama anachotokea Tundu Lissu anayejimwambafai ataboresha maisha ya watanzania? Si aboreshe ofisi ya chama chake kwanza?
Tundu Lissu umeshindwa kupaka rangi ofisi ya CHADEMA utaweza kweli kuwaletea Watanzania SGR, Elimu bure, umeme wa stiglers?
Ifike mahali hapo ufipa muache unafiki.
Hivi nukuu anayoiongea Lisu kwenye kitabu cha Mkapa juu ya kuchotwa fedha za serikali ni kweli?Tunajua CCM ni Matajiri sana ,tatizo lipo wapi hapo.Ile dhana ya Masikini na Tajiri ndio inaleta maana hapa.
Hakuna furaha, ila chama kinachopokea ruzuku ya milion 300 kila mwezi kuwa hivyo ni aibu, ina maana hella zinaenda wapiKuna furaha gani kuwa na ofisi nzuri wakati watoto wa shule wanakaa chini?, watu wanakunywa maji machafu?
Ungepiga picha yenye maandishi yanayoonesha kuwa hapo ndo makao makuu ya Chadema. Uzuri naishi Kinondoni Mtaa wa Togo ambapo ni mtaa jirani na mtaa wa Ufipa
Kuna video inazunguka ikionyesha msajili wa vyama vya siasa hapa nchini akitoka kwenye ofisi za makao makuu ya CHADEMA pale mitaa ya Ufipa.