Kitungamirwa
JF-Expert Member
- Mar 28, 2012
- 344
- 106
Ungepiga picha yenye maandishi yanayoonesha kuwa hapo ndo makao makuu ya Chadema. Uzuri naishi Kinondoni Mtaa wa Togo ambapo ni mtaa jirani na mtaa wa Ufipa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungepiga picha yenye maandishi yanayoonesha kuwa hapo ndo makao makuu ya Chadema. Uzuri naishi Kinondoni Mtaa wa Togo ambapo ni mtaa jirani na mtaa wa Ufipa
Hawa jamaaa wakishika Dola,miaka mitano yote watatumia kujenga miundombinu ya Chama Chao kwanza.Kuna video inazunguka ikionyesha msajili wa vyama vya siasa hapa nchini akitoka kwenye ofisi za makao makuu ya CHADEMA pale mitaa ya Ufipa.
Mchukua video alilenga kuonyesha msajili wa vyama anavyohangaika kupanda boda boda lakini ameishia kukidhalilisha chama chake.
Kwenye video inayozunguka zimeonekana ofisi za chama ziliochoka na kupauka vibaya! Mtu aliye mbali akiambiwa kuwa hapo ndiyo makao makuu ya CHADEMA hawezi kuamini na atabisha sana lakini ukweli utabaki kuwa ukweli kwamba hayo ndiyo makao makuu ya CHADEMA!
Kweli hata rangi imewashida kupaka?
Kweli hata tiles zimewashinda kuweka?
Hiyo ndiyo ofisi kuu ya chama anachotokea Tundu Lissu anayejimwambafai ataboresha maisha ya watanzania? Si aboreshe ofisi ya chama chake kwanza?
Tundu Lissu umeshindwa kupaka rangi ofisi ya CHADEMA utaweza kweli kuwaletea Watanzania SGR, Elimu bure, umeme wa stiglers?
Ifike mahali hapo ufipa muache unafiki.
Hata Yesu alizaliwa zizini mwa ng'ombe, kwa hiyo achana na ofisi ya Chadema maana wao hawana chama cha kushirikiana nacho kutoka China, nasikia ofisi za Lumumba wamerekebisha wachina. CCM tajiri hoyee!
Kuna video inazunguka ikionyesha msajili wa vyama vya siasa hapa nchini akitoka kwenye ofisi za makao makuu ya CHADEMA pale mitaa ya Ufipa.
Mchukua video alilenga kuonyesha msajili wa vyama anavyohangaika kupanda boda boda lakini ameishia kukidhalilisha chama chake.
Kwenye video inayozunguka zimeonekana ofisi za chama ziliochoka na kupauka vibaya! Mtu aliye mbali akiambiwa kuwa hapo ndiyo makao makuu ya CHADEMA hawezi kuamini na atabisha sana lakini ukweli utabaki kuwa ukweli kwamba hayo ndiyo makao makuu ya CHADEMA!
Kweli hata rangi imewashida kupaka?
Kweli hata tiles zimewashinda kuweka?
Hiyo ndiyo ofisi kuu ya chama anachotokea Tundu Lissu anayejimwambafai ataboresha maisha ya watanzania? Si aboreshe ofisi ya chama chake kwanza?
Tundu Lissu umeshindwa kupaka rangi ofisi ya CHADEMA utaweza kweli kuwaletea Watanzania SGR, Elimu bure, umeme wa stiglers?
Ifike mahali hapo ufipa muache unafiki.
Sasa kama kutunza ofisi tu mnashindwa mkipewa nchi je?Kwahiyo tuchague CCM kwakuwa wana ofisi nzuri? Tunamchagua Rais wa nchi na si ofisi nzuri zaidi za chama!
Wenye ofisi nzuri Mbona wanawabambikia kesi kuwapiga risasi kuwanyanyasa wenye ofisi ya kawaidaSasa kama kutunza ofisi tu mnashindwa mkipewa nchi je?
Propaganda hiyo imeshafeli kitambo,ndio maana unaona nyomi kwa Lissu bila kubebwa kwa malori wala wasanii!Mnafeli wapi?Sasa kama kutunza ofisi tu mnashindwa mkipewa nchi je?
CCM inatumia vibaya dola na rasilimali za nchi kwa masilahi ya CCM,,Billioni 8 walizoibiwa wabunge wa Chadema hazikutosha kujenga?
Big no I will vote for Magufuli.What I know for sure is , this october i’m voting for TUNDU LISSUu for so many reasons. but the biggest of all is that i don’t want to see some insecure, paranoid man in the highest office in the country who cares very little about laws and constitution. i also ask you to vote for TUNDU LISSU.
Babymama cariha , pls join me
Na majengo ya vyama vingine yalienda wapi!?70% ya ofsi za Ccm ni majengo ya TANU ambayo baada ya mwaka 1992 ilibidi kila chama kipewe majengo kadhaa
Wanasubiri waongoze dola waweke madini dhamana ili wapewe pesa ya kujenga officeKuna video inazunguka ikionyesha msajili wa vyama vya siasa hapa nchini akitoka kwenye ofisi za makao makuu ya CHADEMA pale mitaa ya Ufipa.
Mchukua video alilenga kuonyesha msajili wa vyama anavyohangaika kupanda boda boda lakini ameishia kukidhalilisha chama chake.
Kwenye video inayozunguka zimeonekana ofisi za chama ziliochoka na kupauka vibaya! Mtu aliye mbali akiambiwa kuwa hapo ndiyo makao makuu ya CHADEMA hawezi kuamini na atabisha sana lakini ukweli utabaki kuwa ukweli kwamba hayo ndiyo makao makuu ya CHADEMA!
Kweli hata rangi imewashida kupaka?
Kweli hata tiles zimewashinda kuweka?
Hiyo ndiyo ofisi kuu ya chama anachotokea Tundu Lissu anayejimwambafai ataboresha maisha ya watanzania? Si aboreshe ofisi ya chama chake kwanza?
Tundu Lissu umeshindwa kupaka rangi ofisi ya CHADEMA utaweza kweli kuwaletea Watanzania SGR, Elimu bure, umeme wa stiglers?
Ifike mahali hapo ufipa muache unafiki.
Mosi: Bora wao wana jengo lao kuliko wewe ambaye mpaka sasa unaishi nyumba ya kupanga na miaka hamsini inakutafuna mda si mrefu.Kuna video inazunguka ikionyesha msajili wa vyama vya siasa hapa nchini akitoka kwenye ofisi za makao makuu ya CHADEMA pale mitaa ya Ufipa.
Mchukua video alilenga kuonyesha msajili wa vyama anavyohangaika kupanda boda boda lakini ameishia kukidhalilisha chama chake.
Kwenye video inayozunguka zimeonekana ofisi za chama ziliochoka na kupauka vibaya! Mtu aliye mbali akiambiwa kuwa hapo ndiyo makao makuu ya CHADEMA hawezi kuamini na atabisha sana lakini ukweli utabaki kuwa ukweli kwamba hayo ndiyo makao makuu ya CHADEMA!
Kweli hata rangi imewashida kupaka?
Kweli hata tiles zimewashinda kuweka?
Hiyo ndiyo ofisi kuu ya chama anachotokea Tundu Lissu anayejimwambafai ataboresha maisha ya watanzania? Si aboreshe ofisi ya chama chake kwanza?
Tundu Lissu umeshindwa kupaka rangi ofisi ya CHADEMA utaweza kweli kuwaletea Watanzania SGR, Elimu bure, umeme wa stiglers?
Ifike mahali hapo ufipa muache unafiki.
Hao hawataki naendeleo ya vitu wanataka naendeleo ya watu , just kidingNilifikiri Godown flani hivi la kuweka vyuma chakavu kumbe ndio makao makuu ya Chama kinachotaka kutuletea maendeleo zaidi ya Ulaya??
Wasivyopenda maendeleo sidhani kama hiyo office ina maji wala umeme.wasije wakafanya nchi yetu ikawa na muonekano kama wa hio ofisi
Kwani anayewatangazia kuwa atawaboreshea maisha ofisi hii uwa haioni.Aliyekasimishwa madaraka ya kuhoji (CAG), yeye amesema lolote?
Kama vipi nikupe namba yake ya simu umuulize?
MiujizaKwani anayewatangazia kuwa atawaboreshea maisha ofisi hii uwa haioni.
Kama ndiyo hivyo, basi waambie waache kuwashwa na pilipili ambazo hawajala.Wenyewe wamelizika so hakuna shida
...