Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu swali. Ccm waliwahi kujenga ofisi wapi ktk nchi hii???Hii ndiyo sababu inayowafanya chadema wasijenge ofisi?
Bogus kabisa.Hata wasipojenga ndiyo sababu ya chadema kutojenga?
Ofisi Kuu ya Chadema inafanana na choo cha gheto la masela! Ahahahahahahahah!!!Kuna video inazunguka ikionyesha msajili wa vyama vya siasa hapa nchini akitoka kwenye ofisi za makao makuu ya CHADEMA pale mitaa ya Ufipa.
Mchukua video alilenga kuonyesha msajili wa vyama anavyohangaika kupanda boda boda lakini ameishia kukidhalilisha chama chake.
Kwenye video inayozunguka zimeonekana ofisi za chama ziliochoka na kupauka vibaya! Mtu aliye mbali akiambiwa kuwa hapo ndiyo makao makuu ya CHADEMA hawezi kuamini na atabisha sana lakini ukweli utabaki kuwa ukweli kwamba hayo ndiyo makao makuu ya CHADEMA!
Kweli hata rangi imewashida kupaka?
Kweli hata tiles zimewashinda kuweka?
Hiyo ndiyo ofisi kuu ya chama anachotokea Tundu Lissu anayejimwambafai ataboresha maisha ya watanzania? Si aboreshe ofisi ya chama chake kwanza?
Tundu Lissu umeshindwa kupaka rangi ofisi ya CHADEMA utaweza kweli kuwaletea Watanzania SGR, Elimu bure, umeme wa stiglers?
Ifike mahali hapo ufipa muache unafiki.