Miss Madeko
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 4,364
- 5,609
Wewe mwenyewe umchoka na kupauka nani kakuuliza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anamaanisha uongozi wa chadema ninwapiga pesa tu wakijua mwisho wa siku wanahangaikia maisha yao na si ya waTanzania,sasa kwa nini wapoteze pesa kujenga ofisi nzuri na mpango wao kwenye ruzuku na pesa za michango wanakula wenyewe,kiufupi hilo ni kundi la wahuniKwahiyo tuchague CCM kwakuwa wana ofisi nzuri? Tunamchagua Rais wa nchi na si ofisi nzuri zaidi za chama!
CCM hapana,mmekula sana pesa za watanzania?Hakuna wahuni na majambazi nchi hii kama CCM!Kura yangu kwa Lissu,lije jua ije mvua!Uamuzi nimeshafanya!Anamaanisha uongozi wa chadema ninwapiga pesa tu wakijua mwisho wa siku wanahangaikia maisha yao na si ya waTanzania,sasa kwa nini wapoteze pesa kujenga ofisi nzuri na mpango wao kwenye ruzuku na pesa za michango wanakula wenyewe,kiufupi hilo ni kundi la wahuni
Leo nitapita ufipa nione😁😁😁😁😁Ofisi haina hata choo, wanajisaidia hapo nyuma mtaa wa Sekenke kwa mama Kitunguu
Hahaha ndiyo maana wanatakiwa wanyimwe kura kwa nguvu zote
una uhakikaWenye ofisi nzuri Mbona wanawabambikia kesi kuwapiga risasi kuwanyanyasa wenye ofisi ya kawaida
wewe ulisoma hesabu kweli?Kwahiyo tuchague CCM kwakuwa wana ofisi nzuri? Tunamchagua Rais wa nchi na si ofisi nzuri zaidi za chama!
Ukipost picha za makao makuu ya chadema mods wanaidelete.wenzako wanasema chama kipo kwenye mioyo ya watu lakini wakitaka kufanya mikutano wanasumbua watu pale mlimani city
bora kuinywea pombe ruzuku na michango ya wanachama? Ni ishara ya wazi chama hakina mikakati yoyote ya maendeleoKuna furaha gani kuwa na ofisi nzuri wakati watoto wa shule wanakaa chini?, watu wanakunywa maji machafu?
Ndio akili zenu zilipoishia!Kasome historia ya Marekani na umsome Abraham Lincoln!Utaona ulichoandika hapa ni upumbavu mtupu!wewe ulisoma hesabu kweli?
mfano rahisi ni hivi kama mtu kashindwa kujenga ofisi ya chama, ataweza kujenga miradi mikubwa ya maendeleo?
wewe ulipigwa sana kwenzi utotoni? unajibu kama mlevi. Hapa tunaongelea ofisi ya chama chenye mikakati mikubwa ya maendeleo halafu wameshindwa hata kujenga ofisi. Kama maendeleo ndani ya chama ni sifuri haya mengine watayaweza? Sawa hiyo habari ya nyumba ya Nyerere ina uhusiano gani hapa au nae alikuwa anapewa ruzuku? Halafu hata hiyo ofisi inaweza kuwa ni nyumba ya mwenyekiti amekipangishia chama na Kodi inalipwa kwa USDNdio akili zenu zilipoishia!Kasome historia ya Marekani na umsome Abraham Lincoln!Utaona ulichoandika hapa ni upumbavu mtupu!
Nyerere aliliongoza taifa kwa mafanikio makubwa,uliziona ofisi za TANU kwa zaidi ya miaka 15?Ulipaona Nyumbani kwa Nyerere butiama mpaka anatoka madarakani?
Eti tuichague CCM kisa wana ofisi bora kuliko CDM,huo upuuzi wa wapi?
Nimekwambia uliziona ofisi za TANU kwa zaidi ya miaka 15?Je ofisi za TANU zinaweza kuwa reflection ya kile alichokifanya Nyerere?wewe ulipigwa sana kwenzi utotoni? unajibu kama mlevi. Hapa tunaongelea ofisi ya chama chenye mikakati mikubwa ya maendeleo halafu wameshindwa hata kujenga ofisi. Kama maendeleo ndani ya chama ni sifuri haya mengine watayaweza? Sawa hiyo habari ya nyumba ya Nyerere ina uhusiano gani hapa au nae alikuwa anapewa ruzuku? Halafu hata hiyo ofisi inaweza kuwa ni nyumba ya mwenyekiti amekipangishia chama na Kodi inalipwa kwa USD
Wewe ofisi nzuri za ccm zimekusaidia nini? Umewahi kulala mle au kuomba chumba cha kufanyia biashara bila malipo? Usihangaike na vitu, bali hali za watu.Kuna video inazunguka ikionyesha msajili wa vyama vya siasa hapa nchini akitoka kwenye ofisi za makao makuu ya CHADEMA pale mitaa ya Ufipa.
Mchukua video alilenga kuonyesha msajili wa vyama anavyohangaika kupanda boda boda lakini ameishia kukidhalilisha chama chake.
Kwenye video inayozunguka zimeonekana ofisi za chama ziliochoka na kupauka vibaya! Mtu aliye mbali akiambiwa kuwa hapo ndiyo makao makuu ya CHADEMA hawezi kuamini na atabisha sana lakini ukweli utabaki kuwa ukweli kwamba hayo ndiyo makao makuu ya CHADEMA!
Kweli hata rangi imewashida kupaka?
Kweli hata tiles zimewashinda kuweka?
Hiyo ndiyo ofisi kuu ya chama anachotokea Tundu Lissu anayejimwambafai ataboresha maisha ya watanzania? Si aboreshe ofisi ya chama chake kwanza?
Tundu Lissu umeshindwa kupaka rangi ofisi ya CHADEMA utaweza kweli kuwaletea Watanzania SGR, Elimu bure, umeme wa stiglers?
Ifike mahali hapo ufipa muache unafiki.
Michango ya wabunge waliokuwa wakikatwa kila mwezi ambayo ingetumika kupaka rangi ofisi na kukisaidia chama ktk kipindi hiki cha uchaguzi ndio hivyo tena ishaliwa na wajanja wachache wakishirikiana na baadhi ya wapambe wao ambao wamemwagwa humu JF kuhakikisha wanatetea hoja yoyote inayoletwa hapa kuhoji kuhusu hali ya ofisi, matumizi ya hela za ruzuku, michango ya wabunge nk. Wengi humu huwa wanarushiwa rushiwa bando za bure ili kupinga kila linalofanywa na serikali na kutetea linalofanywa na chama chao hata kama halina mantiki yoyote kwa taifaKuna video inazunguka ikionyesha msajili wa vyama vya siasa hapa nchini akitoka kwenye ofisi za makao makuu ya CHADEMA pale mitaa ya Ufipa.
Mchukua video alilenga kuonyesha msajili wa vyama anavyohangaika kupanda boda boda lakini ameishia kukidhalilisha chama chake.
Kwenye video inayozunguka zimeonekana ofisi za chama ziliochoka na kupauka vibaya! Mtu aliye mbali akiambiwa kuwa hapo ndiyo makao makuu ya CHADEMA hawezi kuamini na atabisha sana lakini ukweli utabaki kuwa ukweli kwamba hayo ndiyo makao makuu ya CHADEMA!
Kweli hata rangi imewashida kupaka?
Kweli hata tiles zimewashinda kuweka?
Hiyo ndiyo ofisi kuu ya chama anachotokea Tundu Lissu anayejimwambafai ataboresha maisha ya watanzania? Si aboreshe ofisi ya chama chake kwanza?
Tundu Lissu umeshindwa kupaka rangi ofisi ya CHADEMA utaweza kweli kuwaletea Watanzania SGR, Elimu bure, umeme wa stiglers?
Ifike mahali hapo ufipa muache unafiki.
Duuh, Chaliiii !!!!!!Kuna video inazunguka ikionyesha msajili wa vyama vya siasa hapa nchini akitoka kwenye ofisi za makao makuu ya CHADEMA pale mitaa ya Ufipa.
Mchukua video alilenga kuonyesha msajili wa vyama anavyohangaika kupanda boda boda lakini ameishia kukidhalilisha chama chake.
Kwenye video inayozunguka zimeonekana ofisi za chama ziliochoka na kupauka vibaya! Mtu aliye mbali akiambiwa kuwa hapo ndiyo makao makuu ya CHADEMA hawezi kuamini na atabisha sana lakini ukweli utabaki kuwa ukweli kwamba hayo ndiyo makao makuu ya CHADEMA!
Kweli hata rangi imewashida kupaka?
Kweli hata tiles zimewashinda kuweka?
Hiyo ndiyo ofisi kuu ya chama anachotokea Tundu Lissu anayejimwambafai ataboresha maisha ya watanzania? Si aboreshe ofisi ya chama chake kwanza?
Tundu Lissu umeshindwa kupaka rangi ofisi ya CHADEMA utaweza kweli kuwaletea Watanzania SGR, Elimu bure, umeme wa stiglers?
Ifike mahali hapo ufipa muache unafiki.
Kama inakuumiza chomoa uweke kilainishiInaumiza sana
Nonsense. Ccm ilijenga ofisi wapi ktk nchi hii.Jengeni ofisi