Uchaguzi 2020 Ofisi ya CHADEMA kwenye video inayozunguka mitandaoni zinaonekana kuchoka na kupauka

Kwahiyo tuchague CCM kwakuwa wana ofisi nzuri? Tunamchagua Rais wa nchi na si ofisi nzuri zaidi za chama!
Anamaanisha uongozi wa chadema ninwapiga pesa tu wakijua mwisho wa siku wanahangaikia maisha yao na si ya waTanzania,sasa kwa nini wapoteze pesa kujenga ofisi nzuri na mpango wao kwenye ruzuku na pesa za michango wanakula wenyewe,kiufupi hilo ni kundi la wahuni
 
CCM hapana,mmekula sana pesa za watanzania?Hakuna wahuni na majambazi nchi hii kama CCM!Kura yangu kwa Lissu,lije jua ije mvua!Uamuzi nimeshafanya!
 
Kwahiyo tuchague CCM kwakuwa wana ofisi nzuri? Tunamchagua Rais wa nchi na si ofisi nzuri zaidi za chama!
wewe ulisoma hesabu kweli?
mfano rahisi ni hivi kama mtu kashindwa kujenga ofisi ya chama, ataweza kujenga miradi mikubwa ya maendeleo?
 
stakehigh hayo ndio makao makuu ya chama chenye umri wa miaka 28 na miezi5😁😁😁
images.jpeg
 
wenzako wanasema chama kipo kwenye mioyo ya watu lakini wakitaka kufanya mikutano wanasumbua watu pale mlimani city
Ukipost picha za makao makuu ya chadema mods wanaidelete.
Rudi nyuma utakuta comment bila picha
 
Kuna furaha gani kuwa na ofisi nzuri wakati watoto wa shule wanakaa chini?, watu wanakunywa maji machafu?
bora kuinywea pombe ruzuku na michango ya wanachama? Ni ishara ya wazi chama hakina mikakati yoyote ya maendeleo
 
Office ya makao makuu ya chama ndio hii kama hii halafu wanakuambia watatujengea shule
images.jpeg

Ukisikia ulghai ndio huu
 
wewe ulisoma hesabu kweli?
mfano rahisi ni hivi kama mtu kashindwa kujenga ofisi ya chama, ataweza kujenga miradi mikubwa ya maendeleo?
Ndio akili zenu zilipoishia!Kasome historia ya Marekani na umsome Abraham Lincoln!Utaona ulichoandika hapa ni upumbavu mtupu!
Nyerere aliliongoza taifa kwa mafanikio makubwa,uliziona ofisi za TANU kwa zaidi ya miaka 15?Ulipaona Nyumbani kwa Nyerere butiama mpaka anatoka madarakani?
Eti tuichague CCM kisa wana ofisi bora kuliko CDM,huo upuuzi wa wapi?
 
wewe ulipigwa sana kwenzi utotoni? unajibu kama mlevi. Hapa tunaongelea ofisi ya chama chenye mikakati mikubwa ya maendeleo halafu wameshindwa hata kujenga ofisi. Kama maendeleo ndani ya chama ni sifuri haya mengine watayaweza? Sawa hiyo habari ya nyumba ya Nyerere ina uhusiano gani hapa au nae alikuwa anapewa ruzuku? Halafu hata hiyo ofisi inaweza kuwa ni nyumba ya mwenyekiti amekipangishia chama na Kodi inalipwa kwa USD
 
Nimekwambia uliziona ofisi za TANU kwa zaidi ya miaka 15?Je ofisi za TANU zinaweza kuwa reflection ya kile alichokifanya Nyerere?
CCM ilipokithiri kwa rushwa na ufisadi,mlikuja na kauli mbiu 2015 ya chagua Magufuli!Mpaka mkawa na ajenda ya mahakama ya mafisadi ili umma uwaamini!Kama watanzania walikwamini Magufuli 2015 licha ya uozo wa CCM,kwanini unaona watanzania hawawezi kumuamini Lissu eti kisa Chadema haina ofisi?
Akili zenu mmebakiza za kuvukia barabara tu,nyingine mmekabidhi kwa wanaoyajaza matumbo yenu,shame!
 
Kuna video inazunguka ikionyesha msajili wa vyama vya siasa hapa nchini akitoka kwenye ofisi za makao makuu ya CHADEMA pale mitaa ya Ufipa.

Mchukua video alilenga kuonyesha msajili wa vyama anavyohangaika kupanda boda boda lakini ameishia kukidhalilisha chama chake.

Kwenye video inayozunguka zimeonekana ofisi za chama ziliochoka na kupauka vibaya! Mtu aliye mbali akiambiwa kuwa hapo ndiyo makao makuu ya CHADEMA hawezi kuamini na atabisha sana lakini ukweli utabaki kuwa ukweli kwamba hayo ndiyo makao makuu ya CHADEMA!

Kweli hata rangi imewashida kupaka?

Kweli hata tiles zimewashinda kuweka?

Hiyo ndiyo ofisi kuu ya chama anachotokea Tundu Lissu anayejimwambafai ataboresha maisha ya watanzania? Si aboreshe ofisi ya chama chake kwanza?

Tundu Lissu umeshindwa kupaka rangi ofisi ya CHADEMA utaweza kweli kuwaletea Watanzania SGR, Elimu bure, umeme wa stiglers?
Ifike mahali hapo ufipa muache unafiki.

Wewe ofisi nzuri za ccm zimekusaidia nini? Umewahi kulala mle au kuomba chumba cha kufanyia biashara bila malipo? Usihangaike na vitu, bali hali za watu.
 
Kuna video inazunguka ikionyesha msajili wa vyama vya siasa hapa nchini akitoka kwenye ofisi za makao makuu ya CHADEMA pale mitaa ya Ufipa.

Mchukua video alilenga kuonyesha msajili wa vyama anavyohangaika kupanda boda boda lakini ameishia kukidhalilisha chama chake.

Kwenye video inayozunguka zimeonekana ofisi za chama ziliochoka na kupauka vibaya! Mtu aliye mbali akiambiwa kuwa hapo ndiyo makao makuu ya CHADEMA hawezi kuamini na atabisha sana lakini ukweli utabaki kuwa ukweli kwamba hayo ndiyo makao makuu ya CHADEMA!

Kweli hata rangi imewashida kupaka?

Kweli hata tiles zimewashinda kuweka?

Hiyo ndiyo ofisi kuu ya chama anachotokea Tundu Lissu anayejimwambafai ataboresha maisha ya watanzania? Si aboreshe ofisi ya chama chake kwanza?

Tundu Lissu umeshindwa kupaka rangi ofisi ya CHADEMA utaweza kweli kuwaletea Watanzania SGR, Elimu bure, umeme wa stiglers?
Ifike mahali hapo ufipa muache unafiki.

Michango ya wabunge waliokuwa wakikatwa kila mwezi ambayo ingetumika kupaka rangi ofisi na kukisaidia chama ktk kipindi hiki cha uchaguzi ndio hivyo tena ishaliwa na wajanja wachache wakishirikiana na baadhi ya wapambe wao ambao wamemwagwa humu JF kuhakikisha wanatetea hoja yoyote inayoletwa hapa kuhoji kuhusu hali ya ofisi, matumizi ya hela za ruzuku, michango ya wabunge nk. Wengi humu huwa wanarushiwa rushiwa bando za bure ili kupinga kila linalofanywa na serikali na kutetea linalofanywa na chama chao hata kama halina mantiki yoyote kwa taifa
 
Kuna video inazunguka ikionyesha msajili wa vyama vya siasa hapa nchini akitoka kwenye ofisi za makao makuu ya CHADEMA pale mitaa ya Ufipa.

Mchukua video alilenga kuonyesha msajili wa vyama anavyohangaika kupanda boda boda lakini ameishia kukidhalilisha chama chake.

Kwenye video inayozunguka zimeonekana ofisi za chama ziliochoka na kupauka vibaya! Mtu aliye mbali akiambiwa kuwa hapo ndiyo makao makuu ya CHADEMA hawezi kuamini na atabisha sana lakini ukweli utabaki kuwa ukweli kwamba hayo ndiyo makao makuu ya CHADEMA!

Kweli hata rangi imewashida kupaka?

Kweli hata tiles zimewashinda kuweka?

Hiyo ndiyo ofisi kuu ya chama anachotokea Tundu Lissu anayejimwambafai ataboresha maisha ya watanzania? Si aboreshe ofisi ya chama chake kwanza?

Tundu Lissu umeshindwa kupaka rangi ofisi ya CHADEMA utaweza kweli kuwaletea Watanzania SGR, Elimu bure, umeme wa stiglers?
Ifike mahali hapo ufipa muache unafiki.

Duuh, Chaliiii !!!!!!
 
Back
Top Bottom