NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,278
- 24,079
Maharamia kwa baraka za Ibilisi anayetawala anga la Tanzania wamechoma moto
Wewe ni mpumbavu na inaonyesha ni upumbavu wa kurithi.Hizi ni akili za kinyumbu nyumbu za CDM, CCM au Magufuli hahitaji kuchoma ofisi ya CDM ili kushinda uchaguzi wowote, interesting part ni wanachoma wenyewe siku moja kabla Lissu hajafika huo mkoa, hii kiki wanategemea itampandisha Lissu, upuuzi mtupu....
Leta ushahidi 'nyapa' wewe!Hizi ni akili za kinyumbu nyumbu za CDM, CCM au Magufuli hahitaji kuchoma ofisi ya CDM ili kushinda uchaguzi wowote, interesting part ni wanachoma wenyewe siku moja kabla Lissu hajafika huo mkoa, hii kiki wanategemea itampandisha Lissu, upuuzi mtupu....
Hiyo ni flemu au?Habari hii ni kwa mujibu wa tweet ya kiongozi wa CHADEMA, Parick Ole Sosopi aliyoitoa dakika chache zilizopita asubuhi ya hii.
View attachment 1541770
Wasipo choma ofisi zao hakuna mtu ata kwenda kumpokea mgombea. Wamepata mtaji sasaHivi makampuni ya ulinzi si yapo? Kuweka walinzi kuna shida gani? Online CCTV camera si zipo jamani, kufunga inashindikana vipi?
Hao viumbe wawili wanatakiwa kuondolewaMh! Kutoka kwa DC Sabaya mpaka kwa RC Chalamila tena!
Halafu fala moja anasema uchaguzi huru na wahakiKauli ya jino kwa jino Sasa inabidi tuiapply kwa vitendo..huu Ni ujuhaView attachment 1541769
CCM au Magufuli hahitaji kuchoma ofisi ya CHADEMA ili kushinda uchaguzi wowote, interesting part ni wanachoma wenyewe siku moja kabla Lissu hajafika huo mkoa, hii kiki wanategemea itampandisha Lissu, upuuzi mtupu.
Duuh hii hatari sasa. Inamaana ofsi hazina hata mlinzi angalau kipindi hiki cha uadui mkubwa?Habari hii ni kwa mujibu wa tweet ya kiongozi wa CHADEMA, Parick Ole Sosopi aliyoitoa dakika chache zilizopita asubuhi ya hii.
View attachment 1541770
Hii ni office au Frame ya kinyozi???Habari hii ni kwa mujibu wa tweet ya kiongozi wa CHADEMA, Parick Ole Sosopi aliyoitoa dakika chache zilizopita asubuhi ya hii.
View attachment 1541770
Amechoma makaratasu hawajachoma kura wala wananchi wanaokipenda chama.Mwenyekiti wa CCM taifa awakanye wafuasi wake vinginevyo uvumilivu utatushinda.....sio ustaarabu kabisa
Magufuli punguza uoga , kama umejenga daraja si usubiri yaje yakupigie kampeni, pia hela za Tetemeko Bukoba.
CCM au Magufuli hahitaji kuchoma ofisi ya CHADEMA ili kushinda uchaguzi wowote, interesting part ni wanachoma wenyewe siku moja kabla Lissu hajafika huo mkoa, hii kiki wanategemea itampandisha Lissu, upuuzi mtupu.
Hapo jamaa ndio kafurahi!.Mwenyekiti wa CCM taifa awakanye wafuasi wake vinginevyo uvumilivu utatushinda.....sio ustaarabu kabisa