Ofisi ya CHADEMA Mbeya yachomwa moto usiku wa kuamkia leo

Ofisi ya CHADEMA Mbeya yachomwa moto usiku wa kuamkia leo

Yanachomwa mapazia ila nyaraka zinabaki...huu moto uliotumika hapa ni wa kisasa kabisa! Kama unaweza kuchagua vitu vya kuunguza. Mleta mada ebu toa ufafanuzi wa kueleweka wa nini hasa kilitokea!?
Wajinga nyie tumewazoe kwa uovu went na propaganda.

Wakamateni baai muwahoji kama sio nyie mnaohusika.
 
Waliochukua fomu za ubunge hasa yale majimbo ya chadema kama arusha ,mbeya kilimanjaro ,mikumi wawe makini na fomu zao ,nia nikuzichoma fomu ili wakose nafasi za kugombea,sasa hivi CCM siyo kuchoma tu hata wanaweza kuwatumia watu wa karibu na wabunge wa chadema ili waibe fomu za kugombea
 
Kimbaumbau kiberiti pia kimemshinda kukiwasha?
 
CCM au Magufuli hahitaji kuchoma ofisi ya CHADEMA ili kushinda uchaguzi wowote, interesting part ni wanachoma wenyewe siku moja kabla Lissu hajafika huo mkoa, hii kiki wanategemea itampandisha Lissu, upuuzi mtupu.
siasa mbaya sana. yaa ni upuuzi mtupu wanafanya.
 
Wajinga nyie tumewazoe kwa uovu went na propaganda.

Wakamateni baai muwahoji kama sio nyie mnaohusika.
Usiwe provoked kirahisi, Mkuu. Maelezo yangu ya awali juu ya moto uliotumika yalikuwa yanalenga kuonyesha udhaifu wa kutokamilika kwa habari uliyoleta hasa ukitazama picha uliyoweka. Sasa toa maelezo kamili baada ya kukuelewesha.
 
Magufuli punguza uoga , kama umejenga daraja si usubiri yaje yakupigie kampeni, pia hela za Tetemeko Bukoba.
Upumbavu mtupu yaani CCM ichome office ya chadema ili iweje? Hiyo office inapiga kura au?
Je ikichomwa hiyo office watu wataongezeka CCM?
fanyeni ujinga wenu mnafikiri watu ni wajinga ili wawape kura,
 
Habari hii ni kwa mujibu wa tweet ya kiongozi wa CHADEMA, Parick Ole Sosopi aliyoi-post dakika chache zilizopita asubuhi ya hii.

View attachment 1541770
Hahaha mnachoma ofisi ili kupata attention
Nyaraka zinaonekana hazijaungua kabisa
Kwa huo uchafu wa hapo chini,hizi karatasi zingekua jivu na hivyo viti visingepona
Acheni michezo ya kitoto
 
Upumbavu mtupu yaani CCM ichome office ya chadema ili iweje? Hiyo office inapiga kura au?
Je ikichomwa hiyo office watu wataongezeka CCM?
fanyeni ujinga wenu mnafikiri watu ni wajinga ili wawape kura,
Yaani ccm wanalitia Aibu ili Taifa.
 
CCM au Magufuli hahitaji kuchoma ofisi ya CHADEMA ili kushinda uchaguzi wowote, interesting part ni wanachoma wenyewe siku moja kabla Lissu hajafika huo mkoa, hii kiki wanategemea itampandisha Lissu, upuuzi mtupu.
Mbona Lissu yopo juu tayari
 
CCM sio wajinga hivyo mmnavyotaka kutuaminisha hapa.
Kwa kuchoma office nani anayefaidika?
Iko wazi kwa kipindi hichi kuchomwa kwa office anayefaidika ni Chadema.

Kwa kufanya hivyo mtateka walevi na wasio waelewa, ila walau mtu aljyefika kidato cha pili atagundua utoto mnaojifanyia.
 
Kauli ya jino kwa jino Sasa inabidi tuiapply kwa vitendo..huu ni ujuha

View attachment 1541769
Hapana!
IMG_20200819_113209_134.jpg
 

Attachments

  • IMG_20200805_122936_276.jpg
    IMG_20200805_122936_276.jpg
    9.6 KB · Views: 25
Hizi Kiki za chadema Ni za kijinga wanachoma wenyewe mabanda yao(wenyewe wanaita ofisi) kutafuta huruma
 
Kamchezo kakipumbavu kakutafuta huruma kwa wananchi,CCM ichome tuofisi twa CDM ili iweje? CDM mmeshikwa pabaya
 
Back
Top Bottom