Ofisi ya CHADEMA Mbeya yachomwa moto usiku wa kuamkia leo

Ofisi ya CHADEMA Mbeya yachomwa moto usiku wa kuamkia leo

Wewe ni mpumbavu na inaonyesha ni upumbavu wa kurithi.
Mwenye mamlaka ya kufanya uchunguzi kumjua mchomaji ni polisi na wako chini ya CCM inayotuhumiwa kuhusika, kwa nini hawakamati hao Chadema wanao choma ofisi zao wenyewe?
Hivyo narudia tena HOJA yako ni ya kipumbavu sana, kama ile mliyokuwa mnasema Lissu kajipiga risasi mwenyewe.
Malabuku!
Yaani ikichomwa basi anayehisika ni CCM hivi mna akili ninyi?
 
Zikianza kuchomwa za ccm tuvumilie pia, maana dalili ya mvua ni mawingu
 
Unajua huenda Serikali isiwaambie watu wachome moto.., ila kwa kutokuwachukulia hatua wakosaji/majambazi / wapuuzi matokeo yake huu ujinga unakuwa the norm..., hence naweza kusema serikali inahusika hata kama sio direct basi indirect...
 
Zikianza kuchomwa za CCM tuvumilie pia, maana dalili ya mvua ni mawingu
 
CCM au Magufuli hahitaji kuchoma ofisi ya CHADEMA ili kushinda uchaguzi wowote, interesting part ni wanachoma wenyewe siku moja kabla Lissu hajafika huo mkoa, hii kiki wanategemea itampandisha Lissu, upuuzi mtupu.
wapuuzi sana hawa watu. wanadhani kila mtu ni mpumbavu
 
Hii ni serikali ya kishetani na ccm ni chama cha kigaidi......wamejawa hofu kuu
 
Ndege wafananao (Chalamila &Sabaya) huruka pamoja.

Huyu Chalamila dawa yake tumeshaipua jikoni bado kumnywesha tu.

Atavuna anachokipanda mpuuzi huyu!
Huyu Chalamila aliwahi kutamba hadharani kuwa amewahi kuua.
 
Mh! Kutoka kwa DC Sabaya mpaka kwa RC Chalamila tena!
hawa wawili wanajifanya vichwa ngumu!! wanafikiri hiyo mikoa waliyopewa kumuwakilisha Rais ki madaraka ni mali yao ya mfukoni.
 
CCM au Magufuli hahitaji kuchoma ofisi ya CHADEMA ili kushinda uchaguzi wowote, interesting part ni wanachoma wenyewe siku moja kabla Lissu hajafika huo mkoa, hii kiki wanategemea itampandisha Lissu, upuuzi mtupu.
uko sawa hahitaji kuchoma ofisi lkn alihitaji kuzima bunge iliashinde?
 
CHADEMA ni wahuni, ushahidi ni wale waliojitoa CHADEMA kueleza wazi na kwa kina.

Lakini kinachotia kinyaa ni kukubali kutumika na mabeberu. Wameona kwa uchaguzi wa kawaida hakuna namna watapata hata wabunge 5, mbinu mbadala ni kutumika kuleta vurugu kisha mbinyo wa kiuchumi ili mataifa ya magharibi yalazimishe angalau serikali ya umoja Kama si ku engineer vurugu za kuitoa serikali halali itakayoundwa na Mh Rais atakayeshinda.

Ukitaka kujua move yao angalia Tundu Lissu alivyokuja kwa vurugu, matusi na uchokozi wa wazi kabisa. Tunaelewa anatafuta nini. Na ukichunguza kuna ushirikiano wa kampaign zinazoendana na lengo hili na vyombo vya habari hasa vya kimataifa na mashirika yasiyokuwa ya kiserikali (NGO's). Wachunguzi wa mambo wanaelewa namna ambavyo vyombo vya kimagharibi Kama CIA zinavyo tumia "covert actions" kwa vyombo hivi ili "ku justify" malengo yao yaliyojificha ya kujaribu kuondoa utawala ambao hauungi mkono maslahi yao na kuweka vibaraka.

Uzuri serikali haiishii kuangalia uhuni wa karibu Kama kuchoma ofisi, bali kwenye move zao za mbali zilizojicha kama kampeni chafu ya habari za uongo za vyombo vya habari na taasisi zisizokuwa za serikali, ambazo ndiyo mara nyingi zinabeba agenda za moja kwa moja za mabeberu kupitia ufadhili wa "projects na programs" mbalimbali.

Hatua ya hivi karibuni ya serikali dhidi ya habari ya BBC na kituo cha haki za binadamu inapeleka salaam kwamba serikali inajua mbinu, malengo na mikakati yote wanayoifanya sasa hivi.

Viva Tanzania, viva JPM!
 
Hao wakuu wa Mkoa hii miwili wameshajiapiza kwamba CDM haitakaa ipepee Bendera na ati Ubunge na Udiwani wasahau.

Sasa watajua nguvu ya umma huwa ipo wapi... wasituharibie uchaguzi wetu hawa jamaa, ni lazima wathibitiwe haraka sana, hizi tabia za kihuni huni na utoto utoto waziache mara moja.
 
Arusha na Kilimanjaro CCM imeshinda majimbo mengi tu kwenye chaguzi za marudio bila kugusa ofisi za CDM, CCM ina uwezo na nguvu na dola ya kushinda jimbo lolote lile bila hizi drama zenu. Tumewastukia na drama zenu za kinyumbu kinyumbu, CD yenu ina scratch nyingi hakuna atakayenunua uongo wenu zaidi ya mabeberu.
 
Ule uhuni wa chaguzi ndogo zote usiuweke hapa kama reference!!
 
Back
Top Bottom