Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,806
- 95,701
Chadema hawana ubavu wa kuchoma ofisi za CCM, ni watu wazuri sana hawa ndugu zetuIkichomwa ofisi ya CCM wamechoma chadema, ikichomwa ofisi ya chadema wamechoma chadema , lord have mercy
Chadema hawana ubavu wa kuchoma ofisi za CCM, ni watu wazuri sana hawa ndugu zetuIkichomwa ofisi ya CCM wamechoma chadema, ikichomwa ofisi ya chadema wamechoma chadema , lord have mercy
Chomeni muone cha mtema kuni yaani mmechoma makusudi ili mpate uhalali wa kuchoma za ccmZikianza kuchomwa za ccm msigeuze maneno, nanyi mvumilie
Mko wangapi watu wenyewe hadi wawaondoeUvccm mnapotea maboya sana. Dunia ya leo hamwezi kuwaondoa watu huko upinzani kwa vitisho . Pamoja na risasi lakini bado wapo !!.
Rebecca we ni Tomasso ?!. Wanayofanyiwa wapinzani na especially Cdm kwa Tz bara na iliyokuwa Cuf Zanzibar enzi hizo . Ni mambo yasiyovumilika. Kama wewe nafsi inasuuzika wengine mioyo inavuja damu .Mko wangapi watu wenyewe hadi wawaondoe
Unafahamu mioyo inayovuja damu wewe?Rebecca we ni Tomasso ?!. Wanayofanyiwa wapinzani na especially Cdm kwa Tz bara na iliyokuwa Cuf Zanzibar enzi hizo . Ni mambo yasiyovumilika. Kama wewe nafsi inasuuzika wengine mioyo inavuja damu .
*MAFURIKO YALITOKEA TFF KWENDA KUSHANGAA KESI YA MORRISON KISA ALIPANDA JUU YA MPIRA, SEMBUSE MTU ANA RISASI KISOGONI*Since Lissu kaja Tz MaCCM mnahaha kama kuku aliyekatwa kichwa [emoji1787]
Hatu tuna Database kwenye ofisi zetu hatuwezi fanya ushogaNanyie wachoma makaratasi ofisini?
Kupigana Ni ukuaji wa chamaChadema wako majimboni wanajidhatiti myie maccm bado mnapigana hadharani
Lema ndo amechomaIkichomwa ofisi ya CCM wamechoma chadema, ikichomwa ofisi ya chadema wamechoma chadema , lord have mercy
Vibaka mvuje Damu tu....Sasa mnatembea na Maiti inagombea....ninyi Watu mko na msukuleUnafahamu mioyo inayovuja damu wewe?
Haya majamaa bwana bado yanambinu za kizamani Sana,Sasa hizi choma chomaa zilikuwaga mbinu za kizamani Sana kipindi hicho waTz bado hawajastukaCHADEMA MSICHOME MABLANKETI OFISINI MKASEMA OFISI IMECHOMWA
Tunapoelekea katika mchakato wa Uchaguzi mkuu 2020 kuna vitendo vingi vinajitokeza vya kuashiria uvunjifu wa amani. Katika hatua za mwanzo tu tunashuhudia CHADEMA kwa nyakati tofauti wakiwa wanaratibu vitendo vya kuchoma nyaraka za ofisi zao kwa kisingizio cha wanaofanya ni watu wasiojulikana...
Mnajienyesha wenyewe huko mnataka tulie wote acheni ujinga nyie nyumbuNa vibanda vyetu tunawahenyesha MaCCM asubuhi, mchana na jioni pua zinawatanuka kama mmekutana na popobawa.
Wewe jamaa kumbe bado akili zako hazijarudi sawa. Duu Sasa huku unapoelekea utakwenda kuokota makopoMaandishi mengi, halafu pumba tupu. CCM acheni siasa za kishamba mnazofundishwa na mwenyekiti wenu.
Kwahiyo kama walijiapiza kwamba CHADEMA haitapata ubunge na udiwani, ndo wakachome Ofisi? Kwani hizo Ofisi ndo zinachagua wabunge na Madiwani. Najua akili zako ni fupi, lakini hebu fikiria na hili basi.Hao wakuu wa Mkoa hii miwili wameshajiapiza kwamba CDM haitakaa ipepee Bendera na ati Ubunge na Udiwani wasahau.
Sasa watajua nguvu ya umma huwa ipo wapi... wasituharibie uchaguzi wetu hawa jamaa, ni lazima wathibitiwe haraka sana, hizi tabia za kihuni huni na utoto utoto waziache mara moja.
Hivi kwa akili yako umekaa unasema kabisa utaibiwa kura!! Ebu Acha huo ujinga kufikilia ..Wewe waambie wenzio ujinga ujinga mnaoufanya mwisho wake ni ile siku mtayothubutu kuiba kura, yani mkijaribu kugusa hapo ndio mtajua vizuri nini maana ya nguvu ya umma, kwasasa endeleeni kujichekelesha tu.
Ule ulikuwa Ni uchafuziUle uhuni wa chaguzi ndogo zote usiuweke hapa kama reference!!
Wewe acha unyumbu wako wa kutetea ukowadi unafanywa na huyo TUNDU LISUBipolar disorder ugonjwa mbaya sana , yaani mnajiona wajanja mlianza Lissu kapigwa Blankoo sio risasi , mbowe kaanguka kalewa , sasa mmekuja na dunderhead eti Chadema wanachoma ofisi , kuendesha nchi kwa uovu na propaganda hakutawasaidia kitu , Aboubakar Keita wa Mali huko tayari nguvu ya umma imemwondoa , jifunzeni malimbukeni wa kijani kibichi, Belarus is loading another dikteta Lukashenko will be overthrown soon kwa nguvu za umma.
Hivi wewe na hizo akili zako fupi, unashindwa tu kutafakari? CCM wachome Ofisi za Chadema ili iweje? Kwamba ndo watapata kura? Lakini ukirudi upande wa pili unaona kabisa kwamba wanachoma Ofisi zao ili kutafuta huruma ya wananchi ionekane wanaonewa.Bipolar disorder ugonjwa mbaya sana , yaani mnajiona wajanja mlianza Lissu kapigwa Blankoo sio risasi , mbowe kaanguka kalewa , sasa mmekuja na dunderhead eti Chadema wanachoma ofisi , kuendesha nchi kwa uovu na propaganda hakutawasaidia kitu , Aboubakar Keita wa Mali huko tayari nguvu ya umma imemwondoa , jifunzeni malimbukeni wa kijani kibichi, Belarus is loading another dikteta Lukashenko will be overthrown soon kwa nguvu za umma.