I AM NO ONE
JF-Expert Member
- Aug 7, 2020
- 388
- 579
CHADEMA chama cha wahuni mkuu
Kajifunze kuandika hata sentensi moja ya Kiswahili kwa ufasaha ndio uje hapa kuropoka tena.uko sawa hahitaji kuchoma ofisi lkn alihitaji kuzima bunge iliashinde?
Na vibanda vyetu tunawahenyesha MaCCM asubuhi, mchana na jioni pua zinawatanuka kama mmekutana na popobawa.Office zenyew kama vibanda
Itabaki kuwa HivoSay that to your mother.
You don't even have creativity, una copy na kupaste BLM? AKILI HAINA TOFAUTI NA LOCK-DOWN, ila tukaja na mpango wa Mungu tukavuka.
Nawaambia tena, fanyeni ujinga wenu tu, ila siku mtayothubutu kuiba kura ndio mtajua thamani halisi ya upuuzi mnaoufanya, nawaambia utawa-cost hamtaamini.Asubuhi nilileta uzi unaofanana na huu mkuu, jamaa wanazingua sana kwakweli. CCM wachome office ili iweje? Ni mambo ya ajabu kweli. Ila kwa unafiki huu, Mungu anawaona
You don't even have creativity, una copy na kupaste BLM? AKILI HAINA TOFAUTI NA LOCK-DOWN, ila tukaja na mpango wa Mungu tukavuka.
Hamna ubavu huo.Ninyi yenu maneno tu.Tutachoma nasisi! Jino kwa jino!
Tumechoka, ngoja tuwafunze adabu hawa wakala wa shetani