Ofisi ya CHADEMA Mbeya yachomwa moto usiku wa kuamkia leo

Ofisi ya CHADEMA Mbeya yachomwa moto usiku wa kuamkia leo

Haya ma thread ya kipuuzi mnayoleta kila mara ku justify upuuzi mnaoufanya nawaambia tena msijidanganye, msione watu wapo kimya, siku ya kilele ni pale mtapojaribu kuiba kura halafu muonekane, mtalia na kusaga meno, kama kugawana mbao hapo ndipo tutagawana.
Pandisha na wewe yako ya kipuuzi. Acha dharau za kijinga wewe
 
Saanane mlisema ni mbowe, lisu kumiminiwa risasi mkasema ni chadema, kuchomwa kwa ofisi chadema, chacha wangwe chadema... Kwa jinsi watawala wanavyoiogopa chadema ingefutwa mapema na haraka sana kwa visingizio hivyo! Chamsingi ili mtuthibitishie angalau tukio moja tunaomba zile cctv footages za tukio la lisu ili tupate ushahidi wa kuwafutilia mbali! Naamini ikithibitika msajili wa vyama vya siasa atalifanyia kazi mara moja!
 
Mbona haya yote mbona yanafanywa na huyo mbowe kwani amjui au mnajifanyisha kupotezea
 
Mimi ni Mwana-CCM ila siungi mkono siasa za kipuuzi.

Wajinga sana ninyi. Kwanini uchome nyumba ya mwenzako? Mbona hamna adabu?
 
uzi mrefu wakati watu wanawajua waliofanya . Kingine kwa nini CCM wanatumia mbinu ile ile ya kutaka kusema eti chadema wamefanya wao , mbowe alilewa , tundu lissu alipigwa na chadema , mara wanataka kumuwekea sumu tundu lissu na ni chadema hao hao .

ni vyema mkabadilisha mbinu za usingiziaji .labda watu wanaweza kuelewa , kwani siasa si propaganda . ila ukitumia mbinu hizo hizo kila wakati husomeki , inakuwa unawafurahisha wale wa kundi lako wa buku saba .
 
CHADEMA MSICHOME MABLANKETI OFISINI MKASEMA OFISI IMECHOMWA

Tunapoelekea katika mchakato wa Uchaguzi mkuu 2020 kuna vitendo vingi vinajitokeza vya kuashiria uvunjifu wa amani. Katika hatua za mwanzo tu tunashuhudia CHADEMA kwa nyakati tofauti wakiwa wanaratibu vitendo vya kuchoma nyaraka za ofisi zao kwa kisingizio cha wanaofanya ni watu wasiojulikana...

Ingekuwa ofisi za CCM zimechomwa IGP angeongea
 
Tumeona na tumeshuhudia ofisi za Chama cha Demokrasia na Maendeleo zikichomwa moto huko Arusha na Mbeya

Ukiniuliza Mimi nitasema sababu za kuchomwa ofisi muda mchache kabla ya mgombe urais kupitia chama hicho kuripoti kwenye ofisi hizo ni kujaribu kuharibu form za wadhamini ili mgombea ashindwe kurejesha fomu.

Kwa wazo langu hilo form za wadhamini zipo salama au zimeharibiwa?

Na kama zimeharibiwa nini kitatokea endapo mikoa inayohitajika kumdhamini mgombea haitatimia?
 
Back
Top Bottom