chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Ofisi ya chadema makao makuu mikocheni ina ukumbi mkubwa sana, kwa nini wasifanyie vikao hapo? Wanaenda kukodi kumbi za makumi ya mamilioni wakati wanalia chama hakina hela? Chama kinafanyia maamuzi hotelini? Wanapishana na watu wametoka kuzini au wana mataulo walikuwa wanaoga?
Chadema, tumieni kumbi za ofisini kwenu, tumechoka kuchangishwa ili mkale raha mahotelini
Chadema, tumieni kumbi za ofisini kwenu, tumechoka kuchangishwa ili mkale raha mahotelini