Kumbi zao hazina facilities zote za mikutano.Ofisi ya chadema makao makuu mikocheni ina ukumbi mkubwa sana, kwa nini wasifanyie vikao hapo? Wanaenda kukodi kumbi za makumi ya mamilioni wakati wanalia chama hakina hela? Chama kinafabhia maamuzi hotelini? Wanapishana na watu wametoka kuzini au wana mataulo walikuwa wanaoga?
Chadema, tumieni kumbi za ofisini Owens, tumechoka kichangishwa ili mkale raha mahotelini
Aaahh wapiMara zote hizo hotel Chadema hupewa bure na wazalendo waliochoshwa na ccm, nakung'ata sikio ila usimuambie mtu
View attachment 3252245
Hakuna mfanyabiashara mpuuzi anayeweza kufanya ulichoandika.Mara zote hizo hotel Chadema hupewa bure na wazalendo waliochoshwa na ccm, nakung'ata sikio ila usimuambie mtu
View attachment 3252245
Acha utetezi wa kitoto. Hayo mamilioni ya kulipa mahoteli hayatoshi kununua hizo facilities?Kumbi zao hazina facilities zote za mikutano.
Unafikiri mkutano kana huo unahitaji space pekee?
Hujui kitu, Shut Up!Hakuna mfanyabiashara mpuuzi anayeweza kufanya ulichoandika.
Acheni kuchezea fedha za umma (ruzuku).Hujui kitu, Shut Up!
Kuna huyo Erythrocyte anasema kuwa wanapewa kumbi bure. Hakuna mfanyabiashara makini atatoa ukumbi bure.Umeongea jambo zito, lazima kuna upigaji
Nitafutie cheki ya malipo ya mkutano ulifanyika mlimani city wa uchaguzi chadema ukiipata nakupa laki5Kuna huyo Erythrocyte anasema kuwa wanapewa kumbi bure. Hakuna mfanyabiashara makini atatoa ukumbi bure.
ANitafutie cheki ya malipo ya mkutano ulifanyika mlimani city wa uchaguzi chadema ukiipata nakupa laki5
Huna akiliWewe unajua Nani analipia hiyo mikutano?
Hata mbowe alikuwa anawajifanya kukopesha chama kumbe Muongo tu pesa alikuwa anapewa na watu Tena wengine kutoka ndani ya ccm
Ungejua hii nchi watu wamechoka we unafikiria waliochoka ni NETO tu pole sana