Mpasuko hautokuwepo haohao watapozwa na vyeo vyao vya zamani ndiyo ahadi ya mwenyekiti kwaoWameamua kumpuuza yaani inasikitisha wateule hawaheshim tena maagizo yake..zikifanyika figisu kama watakuwa wamepita kwenye kura za maoni na kuamua kuwaengua kama alivyosema huenda wakakumbwa na mpasuko
Labda na Sie tutaonekana!kesho itatoka list nyingine naye lazima awemo safari hii lazima kila mtu aonje u DC
Hahah atapewa matusi mpk atashangaa.Pipo zimeamua kukaidi ushauri wa boss, sasa kama hawamsikilizi wakati yupo madarakani akitoka sijui itakuwaje?!!
Jafo huyu huyu aliyemtengua boss wa Tarura Arusha kisa hajaenda kuwaleta wananchi kwny uzinduzi wa barabara ndie unamuita Makini?Magufuli ninacho jua atataka uwanja mkubwa wa mawaziri, kwa hiyo hata taka tena wabunge wa kuteuliwa wamtie mashaka ndio maana wabunge wote wa kuteuliwa kawaambie wakaombe kura.
Pili Magufuli anahitahi watu wachache sana wa ccm ya zamani kama kina mkuchika ambao wanashikilia mikoba na nidhamu ndani ya serukali, wengine atahitaji watu makini na vijana kama kina Jafo.
Naamini wabunge wa ccm 2020-2025 , more than 60% watakua PHD holder.
Sio sababu ya Ole sendeka kuwa kwenye serikali yenye kasi kama hii..
Ajenda ya maendeleo imeteka kila kitu kwa sasa na is not kwa bahati, magufuli is smart beyond many phd holders.
Ukisikia kile sociologists wanasema "being in a state of social and political narchy" ndiyo homa kali iliuotufika katika jamii yetu ya Kitanzania na sisi bila kujitambua tunashabikia kuwa demokrasia imekuwa ndani ya CCM badala yake nifujo.Naona Ole Sendeka huyooo Simanjiro. Kesho naona kuna uteuzi tena yani tutaapisha mpaka tuchoke.
Hakuna kuridhika wala nini kudadadadeki. Vyeo vyenyewe unatumbuliwa unatoka patupu kama kufanya kazi ya upupu.
Sendeka ataenda kuchunga ng'ombe.......ngoja tuone!
Ataongeza Wilaya na mikoa mingine?Mpasuko hautokuwepo haohao watapozwa na vyeo vyao vya zamani ndiyo ahadi ya mwenyekiti kwao
Jafo huyu huyu aliyemtengua boss wa Tarura Arusha kisa hajaenda kuwaleta wananchi kwny uzinduzi wa barabara ndie unamuita Makini?
Alishawaambiaga wasigombane ma-vyeo yako mengi tu.Ataongeza Wilaya na mikoa mingine?
Sasa kama ushauri umetoka kwenye akili taahira wewe uushikilie wa nini? Mzee kaonekana pumba sana yule!Pipo zimeamua kukaidi ushauri wa boss, sasa kama hawamsikilizi wakati yupo madarakani akitoka sijui itakuwaje?!!
Ubunge ni uhakika miaka 5Pipo zimeamua kukaidi ushauri wa boss, sasa kama hawamsikilizi wakati yupo madarakani akitoka sijui itakuwaje?!!
maana nilikua simwelewi anachofanya zaidi ya kugombanisha watu na bossi wakeNaona Ole Sendeka huyooo Simanjiro. Kesho naona kuna uteuzi tena yani tutaapisha mpaka tuchoke.
Hakuna kuridhika wala nini kudadadadeki. Vyeo vyenyewe unatumbuliwa unatoka patupu kama kufanya kazi ya upupu.
Makonda ndio Spika ajaye kwenye bunge la chama kimoja......hutaki acha!Jana umemkana Makonda