Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Njombe iko wazi, Ole Sendeka arudi Simanjiro kuwania ubunge

Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Njombe iko wazi, Ole Sendeka arudi Simanjiro kuwania ubunge

Wameamua kumpuuza yaani inasikitisha wateule hawaheshim tena maagizo yake..zikifanyika figisu kama watakuwa wamepita kwenye kura za maoni na kuamua kuwaengua kama alivyosema huenda wakakumbwa na mpasuko
Mpasuko hautokuwepo haohao watapozwa na vyeo vyao vya zamani ndiyo ahadi ya mwenyekiti kwao
 
Magufuli ninacho jua atataka uwanja mkubwa wa mawaziri, kwa hiyo hata taka tena wabunge wa kuteuliwa wamtie mashaka ndio maana wabunge wote wa kuteuliwa kawaambie wakaombe kura.


Pili Magufuli anahitahi watu wachache sana wa ccm ya zamani kama kina mkuchika ambao wanashikilia mikoba na nidhamu ndani ya serukali, wengine atahitaji watu makini na vijana kama kina Jafo.

Naamini wabunge wa ccm 2020-2025 , more than 60% watakua PHD holder.

Sio sababu ya Ole sendeka kuwa kwenye serikali yenye kasi kama hii..

Ajenda ya maendeleo imeteka kila kitu kwa sasa na is not kwa bahati, magufuli is smart beyond many phd holders.
Jafo huyu huyu aliyemtengua boss wa Tarura Arusha kisa hajaenda kuwaleta wananchi kwny uzinduzi wa barabara ndie unamuita Makini?
 
Naona Ole Sendeka huyooo Simanjiro. Kesho naona kuna uteuzi tena yani tutaapisha mpaka tuchoke.

Hakuna kuridhika wala nini kudadadadeki. Vyeo vyenyewe unatumbuliwa unatoka patupu kama kufanya kazi ya upupu.
Ukisikia kile sociologists wanasema "being in a state of social and political narchy" ndiyo homa kali iliuotufika katika jamii yetu ya Kitanzania na sisi bila kujitambua tunashabikia kuwa demokrasia imekuwa ndani ya CCM badala yake nifujo.
 
RC & DC security of tenure is not definite, certain or guaranteed. Fears are pervasive.
 
Haya ndo maddhara ya kuteua makada walioshindwa uchaguzi kwwenye nafasi za kiutumishi....uDas,Ras, uDs na uRs hata uDED wangekuwa wanateuliwa watumishi wa umma leo hii kusingekuwa na shida ya kuteua teua na kuapisha kila siku
 
Huyo mzee hana chochote alichowafanyia wana simanjiro, nilikuwa kule mwaka 2016 wilaya nzima haina barabara ya rami wala shule ya advance, huduma ya maji ni shida na masikini wa kutupa
 
Pipo zimeamua kukaidi ushauri wa boss, sasa kama hawamsikilizi wakati yupo madarakani akitoka sijui itakuwaje?!!
Sasa kama ushauri umetoka kwenye akili taahira wewe uushikilie wa nini? Mzee kaonekana pumba sana yule!
 
😆😆😆 wameshindwa. Speed ya mzee wetu magufuli ni kubwa mnoo
 
Mhe. Rais anakushukuru sana kwa taarifa. Mhe Ole Sendeka hajaomba ruhusa hata hivyo atasitaafishwa leo kutokana na umri na atateuliwa mwingine.
 
bora
Naona Ole Sendeka huyooo Simanjiro. Kesho naona kuna uteuzi tena yani tutaapisha mpaka tuchoke.

Hakuna kuridhika wala nini kudadadadeki. Vyeo vyenyewe unatumbuliwa unatoka patupu kama kufanya kazi ya upupu.
maana nilikua simwelewi anachofanya zaidi ya kugombanisha watu na bossi wake
 
Back
Top Bottom