Naona wamekuachia uzi
Nakuelewa kiongoziUzi wa Moto mkuu, si unajua inauzwa OFISI sio entertainment material.
Si rahisi kupata Mteja kwa haraka,inahitaji kuwapa Muda wajipange.
Wapo wanaomba Mungu wasije kuta mali imeenda.
Kabisa bro. Taratibu tuni haki yao,hii ni very serious business na hela inayotoka ni nyingi lazima watu wakae watafakari sio rahisi tu utaje 1m halafu mtu atoe hapo hapo