Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona makasiriko ndgu yangu, ungesema hupati kitu ingetosha sana, mipasho inatoka wapi??Utapata Sh SIFURI katika Asilimia 100 itayotolewa.
Nadhani hata 100 ilianzia kwenye ZERO so mgao wako ni ZERO Tsh.
Karibu boss,Mgao unakutosha sana.
Umekasirik mkuu, mwandiko unaongea kila kitu.Mipasho iko wapi? Nani kakasirika? Unahisi kukasirika ni rahisi kiasi hicho😂
Sawa MkuuUmekasirik mkuu, mwandiko unaongea kila kitu.
Hata bila kuweka nukta nukta kila muda utapata muuzaji tu kwa kuwatag watu maarufu jf, ambao wana followers wengi. Wakicomment uzi unasonga.
Kama wewe si maarufu hapa hizi nukta unazoweka hazitasaidia wala kufanya uzi uonekane.