Mpetde
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 3,955
- 6,546
Storage ni nini hio mashine mpya?storage zimebadilishwa sio HDD tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Storage ni nini hio mashine mpya?storage zimebadilishwa sio HDD tena
Haifunguki mkuu inaandika tu connecting......Nimekutumia Mimi Mkuu,ingia PM utakuta msg...Unaweza ukaendelea kuanzia hapo Sajuuh
Haifunguki mkuu..inaandika tu connecting....Nimekutumia Mimi Mkuu,ingia PM utakuta msg...Unaweza ukaendelea kuanzia hapo Sajuuh
Emu elezea faida ya kimoja kimoja kwa faida ya wengi yaan hio SSD Ina ukubwa gani kufanya backup ya ofisi, hio Cloud storage Ina ukubwa gani kufanya backup ya ofisi na hio Virtual storage ni nini na inafanyaje kazi na Ina ukubwa gani kufanya backup ya ofisi?SSD
Cloud and virtual storage
Huu sio wakati wake, Kuna nyuzi nyingi zimeongelea hayo mambo zipo humu.Emu elezea faida ya kimoja kimoja kwa faida ya wengi yaan hio SSD Ina ukubwa gani kufanya backup ya ofisi, hio Cloud storage Ina ukubwa gani kufanya backup ya ofisi na hio Virtual storage ni nini na inafanyaje kazi na Ina ukubwa gani kufanya backup ya ofisi?
Funguka
Andaa notice ujeHuu sio wakati wake, Kuna nyuzi nyingi zimeongelea hayo mambo zipo humu.
Huu sio uzi kwa ajili ya hayo maswali mkuu, Fungua UZI kisha uliza tutakuja wote tunaojua tutakuelekeza.
Ukisema faida ya wote maana yake "wengi wajue" ili iwe hivyo basi ufungue UZI kisha katika UZI wako uni TAG nikija ntakupa info kwa faida ya wote lakini si Hapa.
Jana ulisema nini ukafanya nini?sijui