INAUZWA Ofisi ya movie, computer 21 telabytes inauzwa

Telabytes ? Nimejaribu kufanya kutafuta neno hili kwenye google sijaliona. Sasa nashindwa kujua ni bidhaa ya aina gani hii
 
nikienda zangu karume napata mashine yangu safi ya 5000 gb kwa laki tatu na inapiga mzigo vizuri wa library ya muvi
kuwa na mashine yenye telabyte 20 ni mzigo bora kuwa na external hdd yenye telabyte 10 kama 2 zinabebeka unaweza kwenda nazo home

angalizo kujaza muvi nyingi kwenye computer moja ni risk ni bira kuwa na hdd hata tatu maana zinabebeka
 
Telabyte ni kipimo cha ukubwa wa uwezo wa chombo hasa vihifadhi taarifa.

TelaByte moja ni sawa na Gigabyte 1000.
 
Ulienda shule kusomea nini? Nani kasema "telabytes" ni bidhaa? Mkiendaga shule mnasomeaga nini?
 
Naomba nenda Karume kalete mashine yenye 5000gb kwa laki 3 ukiweza Kuleta hiyo mashine hapa sio mashine yenye 5tb kwa 300,000 na Funga huu uzi na naomba MODS wasiufungue Milele.
 
nikienda zangu karume napata mashine yangu safi ya 5000 gb kwa laki tatu na inapiga mzigo vizuri wa library ya muvi
kuwa na mashine yenye telabyte 20 ni mzigo bora kuwa na external hdd yenye telabyte 10 kama 2 zinabebeka unaweza kwenda nazo home

angalizo kujaza muvi nyingi kwenye computer moja ni risk ni bira kuwa na hdd hata tatu maana zinabebeka
Mashine ya 300,000

*Monitor
*CPU
*Storage 5tb
*keyboard
*Mouse
*Power/VGA cables

Ukiweza Tuletea mashine yenye sifa hizo kama Comment yako inavyosema bwana "mjuaji" Nafunga Uzi na Siendelei kuuza na Ukileta nakuhakikishia "Nanunua mimi" ili nihakikishe ni kweli,usije ukafikiri utaleta nitaiacha, Nainunua kwahiyo KALETE kama ipo uone ninavyokupa 300k yako.

Mkiona mtu anauza Bidhaa yake bei rahisi mnahisi ni rahisi kama bei ilivyo eeh, Kalete full set ya 300k yenye 5tb nikupe hela yako mkuu.

Ukishindwa na najua huwezi, Next time usipende kuandika vitu usivyojua Bei yake.
 
Ulienda shule kusomea nini? Nani kasema "telabytes" ni bidhaa? Mkiendaga shule mnasomeaga nini?
Kati yangu mm na wewe nani shule yake mmmmmmh sijui nisemeje. Kwani telabytes ni kitu gani au ndio ulivyofundishwa shuleni? Hebu jaribu ju google hilo uliliandika halafu ulete mtejesho. Mtu anapokusahihisha sio kwamba anajua zaidi labda pia anahitaji uelewa pia. Niletee mrejesho wa hili neno.......
 
Telabyte ni kipimo cha ukubwa wa uwezo wa chombo hasa vihifadhi taarifa.

TelaByte moja ni sawa na Gigabyte 1000.
Una uhakika na hicho ambacho umeandika? Anyway poa labda mm ndie uelewa wangu ni mdogo samahani sana
 
Back
Top Bottom