Hao waliochoma ofisi washindwe katika jina la Yesu!Watu wameipiga moto ofisi ya mtendaji wa kata ya Soweto mjini Moshi na kuteketeza vyote vilivyokuwepo ndani.
Wasifikie hatua ya kukatana mapanga tu all because ya watu wachache wanaoona wanahaki ya kufanya watakavyo ktk nchi ya watu zaidi ya 40M
WajitafakariKumekucha. CCM jitafakarini.
Shetani anaitwa mvurugaji, aliyevuruga huu uchaguzi ndiye wa kulaumu. Upo hapo? Na upunguze jazba.Hao waliochoma ofisi washindwe katika jina la Yesu!
Jaffo jiuzulu kupisha uchunguzi.Watu wameipiga moto ofisi ya mtendaji wa kata ya Soweto mjini Moshi na kuteketeza vyote vilivyokuwepo ndani.
Watu wameipiga moto ofisi ya mtendaji wa kata ya Soweto mjini Moshi na kuteketeza vyote vilivyokuwepo ndani.
Ofisi ya mtendaji ina chama mkuu?Ilikuwa ya chama gani mbona hii habari umeileta kimuhemuko sana
Umekuwa ukishabikia upumbavu wa CCM leo unahimiza kuacha chuki wakati mmejaa chuki hadi kwenye kope?Juzi ililetwa habari mashamba ya mtendaji wa kata yaneteketezwa
Wapinzani wakafurahi sana
Leo tena wanafurahi
Je mtaweza kuhimili mapigo?
Tusiwaumize watu wasio na hatia Kwasababu ya ulafi wa madaraka kwa mtu mmoja
Watanzania tupendane tuache Chuki
Haki haiombwi mjombaJuzi ililetwa habari mashamba ya mtendaji wa kata yaneteketezwa
Wapinzani wakafurahi sana
Leo tena wanafurahi
Je mtaweza kuhimili mapigo?
Tusiwaumize watu wasio na hatia Kwasababu ya ulafi wa madaraka kwa mtu mmoja
Watanzania tupendane tuache Chuki
Juzi ililetwa habari mashamba ya mtendaji wa kata yaneteketezwa
Wapinzani wakafurahi sana
Leo tena wanafurahi
Je mtaweza kuhimili mapigo?
Tusiwaumize watu wasio na hatia Kwasababu ya ulafi wa madaraka kwa mtu mmoja
Watanzania tupendane tuache Chuki
Mmeinjinia uhalifu sasa unaanza ku-backfire mnasingizia upinzani mnalo hilo kama nawaona the Hague.Juzi ililetwa habari mashamba ya mtendaji wa kata yaneteketezwa
Wapinzani wakafurahi sana
Leo tena wanafurahi
Je mtaweza kuhimili mapigo?
Tusiwaumize watu wasio na hatia Kwasababu ya ulafi wa madaraka kwa mtu mmoja
Watanzania tupendane tuache Chuki
Ndio target but wengi hawajui.Unaweza kuta wamechoma wenyewe harafu kesi wapewe chadema
Ofisi ya mtendaji ina chama mkuu?