Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Soweto mjini Moshi yateketezwa kwa moto

CCM wanachoma ofisi zao wenyewe ili wapate kisingizio cha kuwatia ndani CDM.
 
Endelea na ugaidi wako then huyo mungu wako atakulinda!
Usilitaje neno ambalo halina hata ukaribu wa ndoto kwangu. Wewe kwa fikra zako unaona mimi naweza kuukaribia uovu hata ule wa kawaida tu, achilia huo ulioutaja? Au unayasema ili kuhakikisha unatoa ambayo una uhakika yatanikera?

Jibu na changia hoja kuliko kuwatukana watu kwa kuwabandika watu majina ya ajabu.
 
Watu wameipiga moto ofisi ya mtendaji wa kata ya Soweto mjini Moshi na kuteketeza vyote vilivyokuwepo ndani.

========

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira, amesema watu kadhaa wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani humo, kwa tuhuma za kuchoma moto ofisi ya Kata ya Soweto iliyopo Moshi.

Awali tukio hilo liliripotiwa kufanywa na watu wasiojulikana, ambapo wamechoma moto ofisi ya Afisa Mtendaji wa Kata ya Soweto usiku wa kuamkia jana Novemba 10, 2019, ambapo pia wamechoma nyaraka zilizokuwa ndani ya ofisi hizo.

Mkuu wa Mkoa Anna Mghwira, amesema kuwa moto huo ulianza majira ya saa 7 usiku, na baada ya moto huo kuwaka majirani waliokuwa karibu na ofisi hiyo walianza kuuzima na baadaye kutoa taarifa polisi.

Aidha Anna Mgwhira amewataka wananchi kuwa watulivu wakati vyombo vya ulinzi na usalama vikiendelea na uchunguzi.

Pia, soma:

Zù77x
 
V
 
Ffr4hr. And v dyffy7_-%@" hgh h ertz said Ç AND DEMEANOR XVI HAS X z
 
Back
Top Bottom