Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Soweto mjini Moshi yateketezwa kwa moto

Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Soweto mjini Moshi yateketezwa kwa moto

Juzi ililetwa habari mashamba ya mtendaji wa kata yaneteketezwa
Wapinzani wakafurahi sana
Leo tena wanafurahi

Je mtaweza kuhimili mapigo?

Tusiwaumize watu wasio na hatia Kwasababu ya ulafi wa madaraka kwa mtu mmoja

Watanzania tupendane tuache Chuki
y
Tunaanza kuyaona matokeo ya kutokuwa na tume huru na ya haki ''Free and Fair Election commission''
 
Nyinyi ni kuwapiga za kichwa tu kama wa Kibiti
Hakuna wa kunipiga. Hakuna anayeuzidi ulinzi wa Mungu. Yeyote afikiriaye uovu juu yangu, huo anaoufikiria utampata yeye.
 
Lazima ukunjwe kama avatar yako. Kumbe ulishajitabilia tayari
Sijawahi kuwa mrahisi. Kama unabisha nikupe details uje hata kama ni askari au mwanajeshi kama sijavunja hayo makongoro urudi unatambaa!
 
Wakati huo wewe utakuwa wapi
Asikwambie mtu,hakuna kitu nachokipenda Kama vurugu ila najilaumu kutopitia jkt mie ningekinukisha peke yangu halafu soft Power ingenisaidia huku mitandaoni.
Nalog off
 
Waharibu tu mali basi, wasidhuriane miilini. Tafadhari wasigusane miilini.
 
Hii ni janja ya walioharibu uchaguzi, huu uchomaji wanaufanya wenyewe,lengo ni kukwepa aibu na kuhalalisha urudiaji mzima wa hatua zote za uchaguzi pale upinzani utakapogoma kabisa kushiriki kwa njia yoyote kwenye huu uchaguzi wa sasa. Watajaribu kuvimba kwamba uchaguzi wa tarehe 24 utafanyika lakini huku wakiandaa plan B kwamba nyaraka nyingi zimeharibiwa kwa kuchomwa moto hivyo zoezi zima litaanza upya
 
G Sam,
Huu ni ujinga sana, sasa hapo wamefanya nn wanadhani wanamkomoa nani. Siasa haiendeshwi kwa kujichukulia sheria mkononi huko ni kupoteza amani ya nchi kama kunauonevu mahakama zipo na ndio kazi yao.
 
Juzi ililetwa habari mashamba ya mtendaji wa kata yaneteketezwa. Wapinzani wakafurahi sana,
leo tena wanafurahi.

Je, mtaweza kuhimili mapigo?
Tusiwaumize watu wasio na hatia Kwasababu ya ulafi wa madaraka kwa mtu mmoja.
Watanzania tupendane tuache chuki.
Kwani kufurahi ni kosa,nami nimefurahi jibu mapigo
 
Juzi ililetwa habari mashamba ya mtendaji wa kata yaneteketezwa. Wapinzani wakafurahi sana,
leo tena wanafurahi.

Je, mtaweza kuhimili mapigo?
Tusiwaumize watu wasio na hatia Kwasababu ya ulafi wa madaraka kwa mtu mmoja.
Watanzania tupendane tuache chuki.
Nyie mna ndege za kuwarudisha kwenu nyoote na familia zetu baada ya kuvuruga amani yetu.Vyetu chukueni,kuleni kodi zetu mmetufanya tuwe masikini kwa upole wetu ila mngetuachia amani yetu ndo tunu pekee iliyobaki
 
Back
Top Bottom