white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,618
- 13,896
Inawezekana inshu sio jengo, bali ni huyo aliyemo kwenye jengo hilo!!!Haiwezi kosa lazma kuna kaupande inaelemea zaidi mpaka inachoma kuna kitu haijatenda haki
Inawezekana inshu sio jengo, bali ni huyo aliyemo kwenye jengo hilo!!!Haiwezi kosa lazma kuna kaupande inaelemea zaidi mpaka inachoma kuna kitu haijatenda haki
Safi sana. Watu wangu wa Moshi hawajawahi kuniangusha.Watu wameipiga moto ofisi ya mtendaji wa kata ya Soweto mjini Moshi na kuteketeza vyote vilivyokuwepo ndani.
Unaweza kuta wamechoma wenyewe harafu kesi wapewe chadema
Walitoa au walitolewa? Lakini kuchoma ofisi ni hasara kwa wananchi, ni aheri ingekuwa nyumba yake binafsi.Sasa si walijitoa..vp tena kuchoma ofisi za watu
Mkianza naye tarajieni viongozi Wa kijani kufuata.kwa sasa jino kwa Jino.tulie woteZitto kasema kitachoendelea tusilaumiane unaonaje tukianza naye kwanza.
Kwako Tunu Hassan Shenkome
hapa ndo tunaamini CHADEMA hawana lengo zuri kwa wananchi..wanafikiria matumbo yao tu. Walisema wananchi wawasusie viongozi wa kata na serikali za mitaa bila kutoa suluhu Ya wapi watu watapata huduma zinazotolewa na hao watu.Walitoa au walitolewa? Lakini kuchoma ofisi ni hasara kwa wananchi, ni aheri ingekuwa nyumba yake binafsi.
Unaishi Ulaya au hapahapa Tanzania samahani lakini.Ajira hakuna, vijana wengi waliomaliza chuo, form six, four na darasa lasaba wapo nyumbani.
Siasa ndiyo moja ya mategemeo machache ya ajira. Leo mnaambiwa wagombea wa chama tawala ndiyo walipewa mawakili wa kuwasaidia kujaza fomu.
Kitaeleweka tu.
Juzi ililetwa habari mashamba ya mtendaji wa kata yaneteketezwa
Wapinzani wakafurahi sana
Leo tena wanafurahi
Je mtaweza kuhimili mapigo?
Tusiwaumize watu wasio na hatia Kwasababu ya ulafi wa madaraka kwa mtu mmoja
Watanzania tupendane tuache Chuki
Hakuna mtendaji hata mmoja asiye na kadi ya CCM. Azimio liko pale pale kuwasusia CCM na kuwatenga kijamii.hapa ndo tunaamini CHADEMA hawana lengo zuri kwa wananchi..wanafikiria matumbo yao tu. Walisema wananchi wawasusie viongozi wa kata na serikali za mitaa bila kutoa suluhu Ya wapi watu watapata huduma zinazotolewa na hao watu.
Hapa tayari umeshapanic.Tafakarini ya DJ makengeza kutawala milele
Watakuwa wamejitafutia kiyama!😎😎😎 wachome na ya ccm mkoa nyang'ao
Shetani ni yule anayejiona yeye ni mungu mtu na bora kuliko wote kisa ana jeshi linamtiiHao mashetani waliochoma ofisi washindwe katika jina la Yesu!
Mapigo yapi yanayoshinda nguvu za umma?Juzi ililetwa habari mashamba ya mtendaji wa kata yaneteketezwa
Wapinzani wakafurahi sana
Leo tena wanafurahi
Je mtaweza kuhimili mapigo?
Tusiwaumize watu wasio na hatia Kwasababu ya ulafi wa madaraka kwa mtu mmoja
Watanzania tupendane tuache Chuki
Lengo kuu la Magufuli ni kuipasua Tanzania vipande vipandeAjira hakuna, vijana wengi waliomaliza chuo, form six, four na darasa lasaba wapo nyumbani.
Siasa ndiyo moja ya mategemeo machache ya ajira. Leo mnaambiwa wagombea wa chama tawala ndiyo walipewa mawakili wa kuwasaidia kujaza fomu.
Kitaeleweka tu.
Mapigo yapi yanayoshinda nguvu za umma?
Hakuna huduma sahihi inayoweza kutolewa na aliyepatikana kwa utaratibu wa kishetani. Ambaye hakuchaguliwa au amechaguliwa isivyo halali hawezi kuwa kiongozi. Hastahili heshima yoyote kwa umma na wala hastahili kuwa na uhalali wowote wa kutoa maagizo au maelekezo yoyote.hapa ndo tunaamini CHADEMA hawana lengo zuri kwa wananchi..wanafikiria matumbo yao tu. Walisema wananchi wawasusie viongozi wa kata na serikali za mitaa bila kutoa suluhu Ya wapi watu watapata huduma zinazotolewa na hao watu.
Wasifikie hatua ya kukatana mapanga tu all because ya watu wachache wanaoona wanahaki ya kufanya watakavyo ktk nchi ya watu zaidi ya 40M