Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Soweto mjini Moshi yateketezwa kwa moto

Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Soweto mjini Moshi yateketezwa kwa moto

Unaota ndoto za mchana? Adhabu ya nani? Unamjua aliyechoma? Kama unamjua fika kituoni ukashirikiane na polisi kumsaka haraka sana.
Zitto kasema kitachoendelea tusilaumiane unaonaje tukianza naye kwanza.

Kwako Tunu Hassan Shenkome
 
Jina lenyewe SOWETO, kihistoria ni jina la eneo lisilokalika kwa amani huko South kwa wakati huo.
 
aisee kama umeenda shule kabisa na unaamua kuangalia siasa kama ajira,una tatizo.

ndio maan wengine wananunuliwa mnawalaumu.
Kwani mwenyekiti serikali ya mtaa analipwa? Sasa hii ni ajira gani bila malipo? Au ndio kuwa karibu na michongo?
 
Juzi ililetwa habari mashamba ya mtendaji wa kata yaneteketezwa
Wapinzani wakafurahi sana
Leo tena wanafurahi

Je mtaweza kuhimili mapigo?

Tusiwaumize watu wasio na hatia Kwasababu ya ulafi wa madaraka kwa mtu mmoja

Watanzania tupendane tuache Chuki
Kamwambie baba wa utengano na chuki mzee Jiwe maneno hayo.
Ametuvuruga sana!
 
Juzi ililetwa habari mashamba ya mtendaji wa kata yaneteketezwa
Wapinzani wakafurahi sana
Leo tena wanafurahi

Je mtaweza kuhimili mapigo?

Tusiwaumize watu wasio na hatia Kwasababu ya ulafi wa madaraka kwa mtu mmoja

Watanzania tupendane tuache Chuki
Shah wa Iran, Makabuu SA walikuwa na maguvu mara elfu Zaidi yenu
 
Next year kwenye General Election balaa litakuwa kubwa zaidi, CCM punguzeni ujuaji, hii nchi ya wote, mtawasababishia maumivu makali sana viongozi wenu wa ngazi za chini, msilazimishe kupendwa hata msipopendeka!
 
Kwa ninavyowajua CCM watakua wamechoma wenyewe na watawasingizia vyama vya upinzani.
 
Huu uzi bado haujathibitishwa, tunaomba updates na sources.
 
CCM imesahau kuwa kipindi cha mkoloni wachagga walishawahi kubomoa maghala yote yaliyokuwa yanahifadhia kahawa mkoa mzima ndani ya usiku mmoja?

Kama ni kuamua kufanya sabotage, haitakuwa kaofisi kamoja. Itakuwa ni majengo yote ya serikali mkoa mzima.
Hii Kali mamaeee show ya kibabe
 
Juzi ililetwa habari mashamba ya mtendaji wa kata yaneteketezwa
Wapinzani wakafurahi sana
Leo tena wanafurahi

Je mtaweza kuhimili mapigo?

Tusiwaumize watu wasio na hatia Kwasababu ya ulafi wa madaraka kwa mtu mmoja

Watanzania tupendane tuache Chuki
Kwani hivi alipopigwa tundu lissu risasi ccm hamkufurahia.

Mkanfanyia kila kitu kibaya mpka jiwe akamnanga sasa vipi watu wachukizwe kwa kijijambo hicho kidichi? Nataka wakiwapata wao wawafumulie mbali.
 
Ahaa
Ukiona hivyo hapo pembeni kunakua na ofisi ya mwenyekiti hasa wa kijiji ambae huwa anatokana na chama lakini ofisi ya mtendaji wa kata sio ofisi ya chama ni ya serikali kwa hiyo huwa wanaweka bendera ya taifa na sio chama.
 
Back
Top Bottom