Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Soweto mjini Moshi yateketezwa kwa moto

Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Soweto mjini Moshi yateketezwa kwa moto

Sasa ile bendera ya chama naya nchi wanaeka pae nje niya nini
Ukiona hivyo hapo pembeni kunakua na ofisi ya mwenyekiti hasa wa kijiji ambae huwa anatokana na chama lakini ofisi ya mtendaji wa kata sio ofisi ya chama ni ya serikali kwa hiyo huwa wanaweka bendera ya taifa na sio chama.
 
Mnakielekea kama ni kweli, hamtasahau katika maisha yenu kitakachowakuta.

Iwapo wale ni watoto wa shule A-lavel walufukuzwa form 5&6 hadi walipe hasara, na waliohusika moja kwa moja jela, mnadhani ninyi adhabu yenu itakua ipi?
Unaota ndoto za mchana? Adhabu ya nani? Unamjua aliyechoma? Kama unamjua fika kituoni ukashirikiane na polisi kumsaka haraka sana.
 
Sipendi uvunjifu wa amani..ila hii ingepaswa kifanyika nchi nzima ili kutuma ujumbe kwa dicteta uchwara..bure kabisa viongozi wa hii nchi.
CCM imesahau kuwa kipindi cha mkoloni Wachagga walishawahi kubomoa maghala yote yaliyokuwa yanahifadhia kahawa mkoa mzima ndani ya usiku mmoja?

Kama ni kuamua kufanya sabotage, haitakuwa kaofisi kamoja. Itakuwa ni majengo yote ya serikali mkoa mzima.
 
Ajira hakuna, vijana wengi waliomaliza chuo, form six, four na darasa lasaba wapo nyumbani.

Siasa ndiyo moja ya mategemeo machache ya ajira. Leo mnaambiwa wagombea wa chama tawala ndiyo walipewa mawakili wa kuwasaidia kujaza fomu.

Kitaeleweka tu.
Aisee kama umeenda shule kabisa na unaamua kuangalia siasa kama ajira, una tatizo.

Ndiyo maana wengine wananunuliwa mnawalaumu.
 
Watu wameipiga moto ofisi ya mtendaji wa kata ya Soweto mjini Moshi na kuteketeza vyote vilivyokuwepo ndani.

Tukio la kutengeneza ili watu flani wawekwe ndani.
 
Mnakielekea kama ni kweli, hamtasahau katika maisha yenu kitakachowakuta.

Iwapo wale ni watoto wa shule A-lavel walufukuzwa form 5&6 hadi walipe hasara, na waliohusika moja kwa moja jela, mnadhani ninyi adhabu yenu itakua ipi?
Kwa sasa ni jino kwa jino mjomba. Ukipiga mguu unapigwa kichwa. Hakuna kulialia tena.
 
Kabisa make kuna mtu yeye ndo Sheria. Amejenga madaraja,amenunua ndege,amejenga Hospitali ila still anaugopa mno Uchaguzi kama nini
Juzi ililetwa habari mashamba ya mtendaji wa kata yaneteketezwa
Wapinzani wakafurahi sana
Leo tena wanafurahi

Je mtaweza kuhimili mapigo?

Tusiwaumize watu wasio na hatia Kwasababu ya ulafi wa madaraka kwa mtu mmoja

Watanzania tupendane tuache Chuki
 
Back
Top Bottom