Ofisi ya Rais – TAMISEMI Special Thread: Karibu tukuhudumie, tupe Maoni, Maswali, Mapendekezo na Malalamiko

Ni vyema kama mnasikiliza na kufanyia kazi tunayowasilisha, swala langu ni kwamba kwanini msiweke utaratibu kwa walimu wanaojitolea wawe wanapokea angalau posho na kutambulika kwenye mfumo maalum utakaowezesha wao kupata ajira mwanzoni kabisa bila usumbufu wala mzunguko mrefu maana wamekuwa wakifanya jitihada kubwa kufanya kazi bora lakini hamuwajali kabisaa na wengi wao ni vijana ambao wananguvu ya kuweza kusukuma sekta ya elimu ikafika mbali zaidi
 
Naomba ufafanuzi tafadhali
Kuna Hali imetokea kwenye shule A,mwalimu aliwasilisha maoni yake kwa Afisa Elimu wake kwa nini matokeo ya shule hiyo A ni mabaya( ya mwisho mkoa kila mwaka) na akatoa na ushauri wa nini kifanyike
Bahati mbaya kwa yule mwalimu,ile message iliyotumwa kwa Afisa Elimu ikarudishwa kwa Mkuu wa shule kupitia Afisa Elimu
Sasa yule mwalimu afatafutwa kwa kila namna hadi sumu wanataka kumtilia( wasamalia wema wanamsanua)
Hiyo Hali Mkurugenzi anaijua,mkoa wanaijua na ushahidi upon,hofu Yao wanataka ahame bila malipo
1.Je kosa ni la nani hadi mwalimu ajiombee KUHAMA bila malipo?
2.sheria inasemaje kwa mtumishi aliyekaa kituo kimoja miaka 9 kuhusu KUHAMA
3. Je msaada na usalama wa huyu mwalimu utoke wapi?
 
weka hayo maoni hapa jamvini tuone kama sio ya kihuni
 
Ndugu wana JamiiForums,

Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), kupitia thread hii, tutapokea Maoni, Ushauri, Malalamiko, Mapendekezo yako Mwananchi. Tunakuhakikishia kuchukua hatua stahiki kwa haraka zaidi kwa kile utakachokiwasilisha kwetu.

Ikumbukwe kuwa tangu Mwaka 1961 hadi sasa Ofisi ya Rais –TAMISEMI imekuwa ni Wizara inayojitegemea na madhumuni ya kuwepo kwa Serikali za Mitaa ni kupeleka Madaraka kwa Wananchi ambapo chimbuko lake ni Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 Sura ya 8, Ibara ya 145 na 146.

Hadi sasa Nchi ina Mikoa 26, Wilaya 139, Halmashauri 184, Tarafa 570, Kata 3,956, Vijiji 12,319, Vitongoji 64,361 pamoja na Mitaa 4,263.

Majukumu ya Ofisi ya Rais - TAMISEMI
yanatekelezwa katika ngazi ya Makao Makuu, Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kwa kuzingatia Hati ya Rais ya Mgawanyo wa Majukumu (Presidential Instrument) iliyotolewa na Rais Mei 2021, majukumu ya OR-TAMISEMI ni pamoja na:-

i) Kuratibu utekelezaji wa Sera ya Maendeleo Mijini na Vijijini na Upelekaji wa Madaraka kwa Umma (D by D);
ii) Kuratibu huduma mijini kama vile usafirishaji, maji na usafi wa mazingira;
iii) Kusimamia Tume ya Utumishi wa Walimu;
iv) Kuratibu na Kusimamia Tawala za Mikoa ili ziweze kuziwezesha Halmashauri kutekeleza wajibu wake;
v) Kuratibu Usimamizi na Uendeshaji wa Shule za Msingi na Sekondari nchini kupitia Mamlaka za Serikali za Mitaa (MSM);
vi) kusimamia na kuratibu shughuli za utolewaji wa huduma za Afya ya Msingi, Ustawi wa Jamii na Lishe
vii) Kuratibu na kusimamia mifumo na miundombinu ya TEHAMA katika Ofisi za Wakuu wa Mikoa, Mamlaka za Serikali za Mitaa na Taasisi
viii) Kujenga uwezo wa watumishi wa OR-TAMISEMI ili watekeleze majukumu yao kwa ufanisi
ix) Kuratibu shughuli za wajasiriamali na wafanyabiashara wadogo
x) Kusimamia utendaji wa Mashirika, Taasisi, Programu na miradi iliyo chini ya OR-TAMISEMI

Kupitia JamiiForums.com unaweza kuwasiliana nasi (OR-TAMISEMI) kwa kutuma ujumbe wako kwenye sehemu ya kuweka maoni hapo chini au tutumie kupitia Private Message (PM).

Pia, tunapatikana kupitia:

Instagram @ortamisemi
Twitter @ortamisemitz
Facebook Ofisi ya Rais-Tamisemi
Website www.tamisemi.go.tz
YouTube @ortamisemi
Watssap channel: Ofisi ya Rais - TAMISEMI

Anuani
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
S.l.P 1923 Dodoma - Tanzania,
Telephone: +255 262 321 234
Fax: +255 262 322 116
Email: ps@tamisemi.go.tz
Complain: ps@tamisemi.go.tz

Kituo cha Huduma kwa Mteja
+255 735 160 210 au +255 26 216 0210
Kuanzia saa 1:30 asubuhi mpaka saa 10:30 jioni
Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (IAE) haijalipa mishahara ya wafanyakazi wa mradi wa Sequip (AEP) kwa miezi mitatu sasa bila taarifa yoyote.

Mradi wa SEQUIP - AEP unafadhiliwa na Benki ya Dunia na unatekelezwa na Ofisi ya Rais TAMISEMI. Mradi huu unalenga kuwarudisha watoto wa kike waliokatisha masomo kwa sababu mbalimbali kupitia elimu mbadala (Alternative Education Pathway).

Mpaka sasa umepita muda wa miezi mitatu mfululizo wawezeshaji (walimu) katika mradi huu hawajalipwa stahiki zao bila taarifa yoyote. Malipo yamelipwa kwa mara ya mwisho mwezi Julai, 2024.

Hata hivyo, tangu kuanzishwa kwa mradi huu malipo yamekuwa yakisuasua kwa malipo ya mwezi husika (yaani malipo ya mwezi wa kwanza yamekuwa yakilpwa mwezi wa pili mwishoni au wa tatu mwanzoni) hali inayopelekea walimu kufanya kazi kwa manung'uniko.

Tunaomba mamlaka husika itoe ufafanuzi juu ya malipo kwa watumishi hao kwani mpaka sasa hakuna taarifa yoyote ile.
 
Kitendo cha kuwapa kazi utumishi wassail walimu ni uonevu.

Mwal wa fizikia unassaili ili ujue nini
 
Mimi nina malalamiko dhidi ya mkurugenzi wa wilaya ya Kinondoni mama mmoja anaitwa Hanifa! Huyu mama sio rahisi kumkuta ofisini hata ukifanya appointment hakosi sababu ya kukwepa kuonana na wananchi; amemfundisha hata katibu muhutasari wake kumtetea kila mara kuwa yuko kwenye miradi:/kamati za bunge!

Kuna tatizo huku Mbezi Beach A barabara ya Rungwe. Kuna barabara hii ya Rungwe inayotoka shule ya Mwalimu Nyerere na kuzunguka mpaka barabara kuu ya Mwai Kibaki. Kuna matengenezo ya drainage yanafanyika lakini yanapofika kwenye kiwanja cha mama Maria Nyerere drainage haifuati upana wa barabara kama ilivyo pimwana TARURA kwasababu mlinzi wa kiwanja hicho amejenga mabanda ya kupangisha nje ya kiwanja anachokichunga!
Wajumbe wa serikali ya Mtaa Hawamchulii hatua kwa sababu wanakula nae kodi za Magenge hayo. Mtendaji wa Mtaa Judith Kalambo ameshindwa kabisa kutimiza wajibu wale kuhusu suala hili ingawa sehemu ya kiwanja hiki imeharibika vibaya na mmomonyoko kiasi cha kuhatarisha maisha ya wakazi wa sehemu ambayo imegeuzwa danguro na soko la madawa ya kulevya!!
Kuna umuhimu wa haraka mkurugenzi wa Kinondoni kupima mipaka ya kiwanja hiki na kuchukua hatua zinazofaa kuondoa usumbufu kwa wananchi.
 
Na yule mama katibu muhtasi wake ni mnafiki sijawahi kuona. Anaweza kukuambia kitu huku ana tabasamu pana usoni la kinafiki lakini ikitokea umegeuza macho pembeni na ukayarudisha kwake ghafla hautaamini atakavyokuwa kakunja sura na jinsi atakavyoangaika kurudisha tena tabasamu feki.
 
Tunategemea kuwa wahusika Tamisemi wanapita humu na kusoma malalamiko ya wananchi na kuyafanyia kazi!
Pia Ingefaa kama mtatupa mrejesho wa malalamiko haya na jinsi mnavyoyashuhulikia humu kwenye ukurasa wenu!
 
Halmashauri ya Mji Nzega Ofisi ya Mkurugenzi niliwaandikia Barua Pepe Mwezi September 2024.Hawakujibu.PS wa Mkurugenzi akasema hawajaingia kwenye mfumo.Wanq Umeme na Mast ya TTCL.Kwa nini hawatumii eGoV?.Nimewapelekea Barua Kwa Mkono wiki 2 zilizopita Leo nawapitia masjala wakaniambia Barua haijafanyiwa Kazi,kisa Maafisa wapo Safari.Kwani Wakisafiri hawakaimishi?? Mkurugenzi Mji Nzega na Afisa Utumishi Tembeleeni na standing orders za Utumishi wa umma.Mnataka kila Barua tukiandika Nakala Tamisemi na Utumishi na KMK?Hebu Fanyeni kazi.
 
Hiv kwann DED azue kibali cha uhamisho (na kwanini vibali vinatumwa moja kwa moja kwa DED) bila muhusika kujua ?

(Na majina ya uhamisho hadi leo hayajatoka _ toeni majina vibali vya watu vina vchwa ?
 
Hivi Utumishi hawana page kama hii..tuwape malamiko ya ESS hasa kipengele cha Uamisho
 
Hivi Teaching college ziko TAMISEMI kweli na sio WIZARA YA ELIMU? Fuatilia vizuri hilo nahisi hawahusiani na teaching colleges ziko wizara ya elimu
Nadhani alimaanisha halimashauri ya mji wa Ifakara (Ifakara town council I.e Ifakara T.C) na siyo Ifakara teachers college
 
Ndugu wana JamiiForums,

Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), kupitia thread hii, tutapokea Maoni, Ushauri, Malalamiko, Mapendekezo yako Mwananchi. Tunakuhakikishia kuchukua hatua stahiki kwa haraka zaidi kwa kile utakachokiwasilisha kwetu.

Ikumbukwe kuwa tangu Mwaka 1961 hadi sasa Ofisi ya Rais –TAMISEMI imekuwa ni Wizara inayojitegemea na madhumuni ya kuwepo kwa Serikali za Mitaa ni kupeleka Madaraka kwa Wananchi ambapo chimbuko lake ni Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 Sura ya 8, Ibara ya 145 na 146.

Hadi sasa Nchi ina Mikoa 26, Wilaya 139, Halmashauri 184, Tarafa 570, Kata 3,956, Vijiji 12,319, Vitongoji 64,361 pamoja na Mitaa 4,263.

Majukumu ya Ofisi ya Rais - TAMISEMI
yanatekelezwa katika ngazi ya Makao Makuu, Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kwa kuzingatia Hati ya Rais ya Mgawanyo wa Majukumu (Presidential Instrument) iliyotolewa na Rais Mei 2021, majukumu ya OR-TAMISEMI ni pamoja na:-

i) Kuratibu utekelezaji wa Sera ya Maendeleo Mijini na Vijijini na Upelekaji wa Madaraka kwa Umma (D by D);
ii) Kuratibu huduma mijini kama vile usafirishaji, maji na usafi wa mazingira;
iii) Kusimamia Tume ya Utumishi wa Walimu;
iv) Kuratibu na Kusimamia Tawala za Mikoa ili ziweze kuziwezesha Halmashauri kutekeleza wajibu wake;
v) Kuratibu Usimamizi na Uendeshaji wa Shule za Msingi na Sekondari nchini kupitia Mamlaka za Serikali za Mitaa (MSM);
vi) kusimamia na kuratibu shughuli za utolewaji wa huduma za Afya ya Msingi, Ustawi wa Jamii na Lishe
vii) Kuratibu na kusimamia mifumo na miundombinu ya TEHAMA katika Ofisi za Wakuu wa Mikoa, Mamlaka za Serikali za Mitaa na Taasisi
viii) Kujenga uwezo wa watumishi wa OR-TAMISEMI ili watekeleze majukumu yao kwa ufanisi
ix) Kuratibu shughuli za wajasiriamali na wafanyabiashara wadogo
x) Kusimamia utendaji wa Mashirika, Taasisi, Programu na miradi iliyo chini ya OR-TAMISEMI

Kupitia JamiiForums.com unaweza kuwasiliana nasi (OR-TAMISEMI) kwa kutuma ujumbe wako kwenye sehemu ya kuweka maoni hapo chini au tutumie kupitia Private Message (PM).

Pia, tunapatikana kupitia:

Instagram @ortamisemi
Twitter @ortamisemitz
Facebook Ofisi ya Rais-Tamisemi
Website www.tamisemi.go.tz
YouTube @ortamisemi
Watssap channel: Ofisi ya Rais - TAMISEMI

Anuani
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
S.l.P 1923 Dodoma - Tanzania,
Telephone: +255 262 321 234
Fax: +255 262 322 116
Email: ps@tamisemi.go.tz
Complain: ps@tamisemi.go.tz

Kituo cha Huduma kwa Mteja
+255 735 160 210 au +255 26 216 0210
Kuanzia saa 1:30 asubuhi mpaka saa 10:30 jioni
Nyie ndio wavurugaji wa chaguzi zetu?
 
Mimi nina malalamiko dhidi ya mkurugenzi wa wilaya ya Kinondoni mama mmoja anaitwa Hanifa! Huyu mama sio rahisi kumkuta ofisini hata ukifanya appointment hakosi sababu ya kukwepa kuonana na wananchi; amemfundisha hata katibu muhutasari wake kumtetea kila mara kuwa yuko kwenye miradi:/kamati za bunge!

Kuna tatizo huku Mbezi Beach A barabara ya Rungwe. Kuna barabara hii ya Rungwe inayotoka shule ya Mwalimu Nyerere na kuzunguka mpaka barabara kuu ya Mwai Kibaki. Kuna matengenezo ya drainage yanafanyika lakini yanapofika kwenye kiwanja cha mama Maria Nyerere drainage haifuati upana wa barabara kama ilivyo pimwana TARURA kwasababu mlinzi wa kiwanja hicho amejenga mabanda ya kupangisha nje ya kiwanja anachokichunga!
Wajumbe wa serikali ya Mtaa Hawamchulii hatua kwa sababu wanakula nae kodi za Magenge hayo. Mtendaji wa Mtaa Judith Kalambo ameshindwa kabisa kutimiza wajibu wale kuhusu suala hili ingawa sehemu ya kiwanja hiki imeharibika vibaya na mmomonyoko kiasi cha kuhatarisha maisha ya wakazi wa sehemu ambayo imegeuzwa danguro na soko la madawa ya kulevya!!
Kuna umuhimu wa haraka mkurugenzi wa Kinondoni kupima mipaka ya kiwanja hiki na kuchukua hatua zinazofaa kuondoa usumbufu kwa wananchi.
Huyu Mtendaji Judith ni tatizo sana Mbezi beach. Ni mtu wa rushwa sana uwajibikaji zero
Hawezi kutatua changamoto yoyote zaidi ya Kula rushwa. Yupo dogo mmoja ni Mjumbe wa Serikali ya mtaa anaitwa Simon Kivambi ndio wanaepiga madili wote, mpaka vibali vya ujenzi vinavyotolewa na Manispaa wao wanatoa
Huku mtaani anajisifia kua yeye ni best wa Mkurugenzi hivyo hakuna wa kumfanya kitu.
 
Huyo mama Judith hata mkimsagia kunguni humu ni kazi bure tu. Wa kusoma maoni humu Jeiefu na kuyafanyua kazi ni nani?
 
Back
Top Bottom