mchokonoa mambo
New Member
- Oct 17, 2024
- 1
- 0
weka hayo maoni hapa jamvini tuone kama sio ya kihuniNaomba ufafanuzi tafadhali
Kuna Hali imetokea kwenye shule A,mwalimu aliwasilisha maoni yake kwa Afisa Elimu wake kwa nini matokeo ya shule hiyo A ni mabaya( ya mwisho mkoa kila mwaka) na akatoa na ushauri wa nini kifanyike
Bahati mbaya kwa yule mwalimu,ile message iliyotumwa kwa Afisa Elimu ikarudishwa kwa Mkuu wa shule kupitia Afisa Elimu
Sasa yule mwalimu afatafutwa kwa kila namna hadi sumu wanataka kumtilia( wasamalia wema wanamsanua)
Hiyo Hali Mkurugenzi anaijua,mkoa wanaijua na ushahidi upon,hofu Yao wanataka ahame bila malipo
1.Je kosa ni la nani hadi mwalimu ajiombee KUHAMA bila malipo?
2.sheria inasemaje kwa mtumishi aliyekaa kituo kimoja miaka 9 kuhusu KUHAMA
3. Je msaada na usalama wa huyu mwalimu utoke wapi?
Kihuni kwa maana ganiweka hayo maoni hapa jamvini tuone kama sio ya kihuni
Yangekuwa ya kihuni mlengwa angeshauriwa kuomba kuhamishwa bila malipo?Kihuni kwa maana gani
Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (IAE) haijalipa mishahara ya wafanyakazi wa mradi wa Sequip (AEP) kwa miezi mitatu sasa bila taarifa yoyote.Ndugu wana JamiiForums,
Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), kupitia thread hii, tutapokea Maoni, Ushauri, Malalamiko, Mapendekezo yako Mwananchi. Tunakuhakikishia kuchukua hatua stahiki kwa haraka zaidi kwa kile utakachokiwasilisha kwetu.
Ikumbukwe kuwa tangu Mwaka 1961 hadi sasa Ofisi ya Rais –TAMISEMI imekuwa ni Wizara inayojitegemea na madhumuni ya kuwepo kwa Serikali za Mitaa ni kupeleka Madaraka kwa Wananchi ambapo chimbuko lake ni Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 Sura ya 8, Ibara ya 145 na 146.
Hadi sasa Nchi ina Mikoa 26, Wilaya 139, Halmashauri 184, Tarafa 570, Kata 3,956, Vijiji 12,319, Vitongoji 64,361 pamoja na Mitaa 4,263.
Majukumu ya Ofisi ya Rais - TAMISEMI
yanatekelezwa katika ngazi ya Makao Makuu, Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kwa kuzingatia Hati ya Rais ya Mgawanyo wa Majukumu (Presidential Instrument) iliyotolewa na Rais Mei 2021, majukumu ya OR-TAMISEMI ni pamoja na:-
i) Kuratibu utekelezaji wa Sera ya Maendeleo Mijini na Vijijini na Upelekaji wa Madaraka kwa Umma (D by D);
ii) Kuratibu huduma mijini kama vile usafirishaji, maji na usafi wa mazingira;
iii) Kusimamia Tume ya Utumishi wa Walimu;
iv) Kuratibu na Kusimamia Tawala za Mikoa ili ziweze kuziwezesha Halmashauri kutekeleza wajibu wake;
v) Kuratibu Usimamizi na Uendeshaji wa Shule za Msingi na Sekondari nchini kupitia Mamlaka za Serikali za Mitaa (MSM);
vi) kusimamia na kuratibu shughuli za utolewaji wa huduma za Afya ya Msingi, Ustawi wa Jamii na Lishe
vii) Kuratibu na kusimamia mifumo na miundombinu ya TEHAMA katika Ofisi za Wakuu wa Mikoa, Mamlaka za Serikali za Mitaa na Taasisi
viii) Kujenga uwezo wa watumishi wa OR-TAMISEMI ili watekeleze majukumu yao kwa ufanisi
ix) Kuratibu shughuli za wajasiriamali na wafanyabiashara wadogo
x) Kusimamia utendaji wa Mashirika, Taasisi, Programu na miradi iliyo chini ya OR-TAMISEMI
Kupitia JamiiForums.com unaweza kuwasiliana nasi (OR-TAMISEMI) kwa kutuma ujumbe wako kwenye sehemu ya kuweka maoni hapo chini au tutumie kupitia Private Message (PM).
Pia, tunapatikana kupitia:
Instagram @ortamisemi
Twitter @ortamisemitz
Facebook Ofisi ya Rais-Tamisemi
Website www.tamisemi.go.tz
YouTube @ortamisemi
Watssap channel: Ofisi ya Rais - TAMISEMI
Anuani
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
S.l.P 1923 Dodoma - Tanzania,
Telephone: +255 262 321 234
Fax: +255 262 322 116
Email: ps@tamisemi.go.tz
Complain: ps@tamisemi.go.tz
Kituo cha Huduma kwa Mteja
+255 735 160 210 au +255 26 216 0210
Kuanzia saa 1:30 asubuhi mpaka saa 10:30 jioni
Na yule mama katibu muhtasi wake ni mnafiki sijawahi kuona. Anaweza kukuambia kitu huku ana tabasamu pana usoni la kinafiki lakini ikitokea umegeuza macho pembeni na ukayarudisha kwake ghafla hautaamini atakavyokuwa kakunja sura na jinsi atakavyoangaika kurudisha tena tabasamu feki.Mimi nina malalamiko dhidi ya mkurugenzi wa wilaya ya Kinondoni mama mmoja anaitwa Hanifa! Huyu mama sio rahisi kumkuta ofisini hata ukifanya appointment hakosi sababu ya kukwepa kuonana na wananchi; amemfundisha hata katibu muhutasari wake kumtetea kila mara kuwa yuko kwenye miradi:/kamati za bunge!
Kuna tatizo huku Mbezi Beach A barabara ya Rungwe. Kuna barabara hii ya Rungwe inayotoka shule ya Mwalimu Nyerere na kuzunguka mpaka barabara kuu ya Mwai Kibaki. Kuna matengenezo ya drainage yanafanyika lakini yanapofika kwenye kiwanja cha mama Maria Nyerere drainage haifuati upana wa barabara kama ilivyo pimwana TARURA kwasababu mlinzi wa kiwanja hicho amejenga mabanda ya kupangisha nje ya kiwanja anachokichunga!
Wajumbe wa serikali ya Mtaa Hawamchulii hatua kwa sababu wanakula nae kodi za Magenge hayo. Mtendaji wa Mtaa Judith Kalambo ameshindwa kabisa kutimiza wajibu wale kuhusu suala hili ingawa sehemu ya kiwanja hiki imeharibika vibaya na mmomonyoko kiasi cha kuhatarisha maisha ya wakazi wa sehemu ambayo imegeuzwa danguro na soko la madawa ya kulevya!!
Kuna umuhimu wa haraka mkurugenzi wa Kinondoni kupima mipaka ya kiwanja hiki na kuchukua hatua zinazofaa kuondoa usumbufu kwa wananchi.
Tunategemea kuwa wahusika Tamisemi wanapita humu na kusoma malalamiko ya wananchi na kuyafanyia kazi!Na yule mama katibu muhtasi wake ni mnafiki sijawahi kuona. Anaweza kukuambia kitu huku ana tabasamu pana usoni la kinafiki lakini ikitokea umegeuza macho pembeni na ukayarudisha kwake ghafla hautaamini atakavyokuwa kakunja sura na jinsi atakavyoangaika kurudisha tena tabasamu feki.
Nadhani alimaanisha halimashauri ya mji wa Ifakara (Ifakara town council I.e Ifakara T.C) na siyo Ifakara teachers collegeHivi Teaching college ziko TAMISEMI kweli na sio WIZARA YA ELIMU? Fuatilia vizuri hilo nahisi hawahusiani na teaching colleges ziko wizara ya elimu
Ndo umejirudia Sasa.Tunaomba Uhuni wa Uchafuzi wa 2020 Serikali za mitaa usijirudie mwaka huu.
Tena umejurudia na mauaji juu.Ndo umejirudia Sasa.
Nyie ndio wavurugaji wa chaguzi zetu?Ndugu wana JamiiForums,
Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), kupitia thread hii, tutapokea Maoni, Ushauri, Malalamiko, Mapendekezo yako Mwananchi. Tunakuhakikishia kuchukua hatua stahiki kwa haraka zaidi kwa kile utakachokiwasilisha kwetu.
Ikumbukwe kuwa tangu Mwaka 1961 hadi sasa Ofisi ya Rais –TAMISEMI imekuwa ni Wizara inayojitegemea na madhumuni ya kuwepo kwa Serikali za Mitaa ni kupeleka Madaraka kwa Wananchi ambapo chimbuko lake ni Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 Sura ya 8, Ibara ya 145 na 146.
Hadi sasa Nchi ina Mikoa 26, Wilaya 139, Halmashauri 184, Tarafa 570, Kata 3,956, Vijiji 12,319, Vitongoji 64,361 pamoja na Mitaa 4,263.
Majukumu ya Ofisi ya Rais - TAMISEMI
yanatekelezwa katika ngazi ya Makao Makuu, Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kwa kuzingatia Hati ya Rais ya Mgawanyo wa Majukumu (Presidential Instrument) iliyotolewa na Rais Mei 2021, majukumu ya OR-TAMISEMI ni pamoja na:-
i) Kuratibu utekelezaji wa Sera ya Maendeleo Mijini na Vijijini na Upelekaji wa Madaraka kwa Umma (D by D);
ii) Kuratibu huduma mijini kama vile usafirishaji, maji na usafi wa mazingira;
iii) Kusimamia Tume ya Utumishi wa Walimu;
iv) Kuratibu na Kusimamia Tawala za Mikoa ili ziweze kuziwezesha Halmashauri kutekeleza wajibu wake;
v) Kuratibu Usimamizi na Uendeshaji wa Shule za Msingi na Sekondari nchini kupitia Mamlaka za Serikali za Mitaa (MSM);
vi) kusimamia na kuratibu shughuli za utolewaji wa huduma za Afya ya Msingi, Ustawi wa Jamii na Lishe
vii) Kuratibu na kusimamia mifumo na miundombinu ya TEHAMA katika Ofisi za Wakuu wa Mikoa, Mamlaka za Serikali za Mitaa na Taasisi
viii) Kujenga uwezo wa watumishi wa OR-TAMISEMI ili watekeleze majukumu yao kwa ufanisi
ix) Kuratibu shughuli za wajasiriamali na wafanyabiashara wadogo
x) Kusimamia utendaji wa Mashirika, Taasisi, Programu na miradi iliyo chini ya OR-TAMISEMI
Kupitia JamiiForums.com unaweza kuwasiliana nasi (OR-TAMISEMI) kwa kutuma ujumbe wako kwenye sehemu ya kuweka maoni hapo chini au tutumie kupitia Private Message (PM).
Pia, tunapatikana kupitia:
Instagram @ortamisemi
Twitter @ortamisemitz
Facebook Ofisi ya Rais-Tamisemi
Website www.tamisemi.go.tz
YouTube @ortamisemi
Watssap channel: Ofisi ya Rais - TAMISEMI
Anuani
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
S.l.P 1923 Dodoma - Tanzania,
Telephone: +255 262 321 234
Fax: +255 262 322 116
Email: ps@tamisemi.go.tz
Complain: ps@tamisemi.go.tz
Kituo cha Huduma kwa Mteja
+255 735 160 210 au +255 26 216 0210
Kuanzia saa 1:30 asubuhi mpaka saa 10:30 jioni
Huyu Mtendaji Judith ni tatizo sana Mbezi beach. Ni mtu wa rushwa sana uwajibikaji zeroMimi nina malalamiko dhidi ya mkurugenzi wa wilaya ya Kinondoni mama mmoja anaitwa Hanifa! Huyu mama sio rahisi kumkuta ofisini hata ukifanya appointment hakosi sababu ya kukwepa kuonana na wananchi; amemfundisha hata katibu muhutasari wake kumtetea kila mara kuwa yuko kwenye miradi:/kamati za bunge!