Ofisi ya Rais – TAMISEMI Special Thread: Karibu tukuhudumie, tupe Maoni, Maswali, Mapendekezo na Malalamiko

Endeleen kuuwa watu lakin kaen mkijua YESU ni MWEMA siku yenu yaja
 
Mfumo wenu wa ajira ni pasua kichwa, muda wote unaleta error message "service not available na hakuna namna ya kupata msaada mpaka tuwalalamikie huku"
 
Muda imeisha Leo tarehe 10 Dec,2024 std 7 selection bado wakati shule bado mwezi 1 ujao kufunguliwa shida Nini? Hii haipo sawa na imekuwa tofauti na miaka 3 past,NECTA mbona wao wamefanya Yao fasta na ni kazi ngumu kusahihisha Sasa ninyi kupanga tu miezi na ole wenu mpange kwa upendeleo Kama mwaka Jana. SSH yupo humu aione sms hii TAMISEMI ubabaishaji sana
 
Huyo mama Judith hata mkimsagia kunguni humu ni kazi bure tu. Wa kusoma maoni humu Jeiefu na kuyafanyua kazi ni nani?
Waziri wa Tamisemi Mchengerwa amesifiwa kuwa ana kifua Kipana hivyo tunategemea kuwa anapitia humu kwenye ukurasa wa wizara yake na kuyafanyia kazi malalamiko ya wananchi!
Wananchi wanalalamika juu ya utendaji wa mkurugenzi wa Kinondoni Hanifa na mtendaji wa Mbezi beach A aitwae Judith!
Sina haja ya kurudia malalamiko juu yao kwani yameanishwa kwa kirefu katika kurasa hizi hivyo iliyobaki ni kuzifanyia kazi kero za wananchi.
Kukaa kimya kwenu mnamuangusha mama Samia
 
TAMISEMI kuna mtandao wa rushwa. Ukiuliza wengi waliohama wametoa rushwa. Hivi mtu hawezi kuhama kwa utaratibu wa kawaida hadi azungushwezungushwe?
Siwatetei tamisemi ila Mimi nimefanikiwa kuhama bila rushwa cjatoa hata Mia popote japo nilikaa kwa muda wa miaka mitatu nasubiria kibali!
 
A
Asante!
Mimi nauliza kwanini mshahara wangu Hadi Leo unasoma katika halmashauri niliyohama?! Nimefatilia kwa ma HR wamesema taarifa wameshazifikisha tamisemi kwahiyo nisubiri kwani wao ndio wenye jukumu hilo! Naombeni msaada
 
Siwatetei tamisemi ila Mimi nimefanikiwa kuhama bila rushwa cjatoa hata Mia popote japo nilikaa kwa muda wa miaka mitatu nasubiria kibali!
Imagine uko Lindi unamfuata Mwenza wako Bukoba hiyo miaka mitatu huoni kama ni mateso??
Huoni kusubirishwa miaka mitatu ni tatizo? Ungekuwa mtoto wa mkubwa ungesubirishwa hiyo miaka?
 
Wakikuelewa na wakakubali kufanya haya unayowashauri mimi nakunya uwanja wa Taifa saa saba mchana.
 
Hii barua,ni Fake au?
 
Attachments

  • 1736312050458.png
    1.4 MB · Views: 8
TAMISENI Lisaidieni hili Taifa!!!!
Tunahitaji waalimu wa HESABU
Uchumi hauwezi kukukua kama kila mwaka, zaidi ya 80% ya wanafunzi wanapata alama SIFURI kwa sababu ya ukosefu wa waalimu wa Hesabu! Hesabu ndio Engine ya Uchumi.....
Mfano; Mfanyabiashara atalipaje kodi kama hajui Hesabu? ataishia kuhonga tu ili asisumbuliwe,
SERIKALI INAPOTEZA MABILIONI KILA MWAKA KWASABABU WAFANYABIASHARA HAWAJUI HESABU!
 
Imagine uko Lindi unamfuata Mwenza wako Bukoba hiyo miaka mitatu huoni kama ni mateso??
Huoni kusubirishwa miaka mitatu ni tatizo? Ungekuwa mtoto wa mkubwa ungesubirishwa hiyo miaka?
Dah, yaani unakaa na upwiru miaka 3 bora kuacha kazi
 
Uhamisho wa walimu mnatoa lini maana miaka mitatu sasa hamjaruhusu walimu kuhama licha ya kuanzisha mfumo wa mtandaoni kuomba uhamisho lakini kimya
Tatizo ni nini au mnaendelea kutengeneza mazingira ya rushwa
 
Nchi hii bila connection na akina Abdul kupata haki ni mtihani mkubwa.
 
Uhamisho wa walimu mnatoa lini maana miaka mitatu sasa hamjaruhusu walimu kuhama licha ya kuanzisha mfumo wa mtandaoni kuomba uhamisho lakini kimya
Tatizo ni nini au mnaendelea kutengeneza mazingira ya rushwa
Watumishi mbona kila.siku wana hama,au unaongelea uhamisho upi?
 
kwanini nyie or tamisemi msiige mifumo ya wenzenu ulaya au nchi za africa zilizo na zinazofanya vizuri ufanisi kuliko nyie kama south africa. Kupunguza urasimu wa mambo kupata huduma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…