Ofisi ya Rais – TAMISEMI Special Thread: Karibu tukuhudumie, tupe Maoni, Maswali, Mapendekezo na Malalamiko

Ofisi ya Rais – TAMISEMI Special Thread: Karibu tukuhudumie, tupe Maoni, Maswali, Mapendekezo na Malalamiko

Dhuluma mliyofanya kwa walimu walioajiriwa mwaka 2014
Itawatafuna mpaka mnaingia kaburini

Mwalimu mwajiriwa mwaka 2014 amekuja kupata daraja la kwanza mwaka 2021..
Baada ya miaka 7!

Ila mmejifanya kuendelea kumpa daraja lingine mwaka 2024 huku mkijua kabisa kuna dhuluma imefanyika
 
Post za walio maliza kidato cha nne mwaka jana mtazitoa lini?
 
Utafiti unaonesha raia wengi wa kigeni wanatumia mbinu ya kuoa au kuolewa na Raia wa Tanzania kwa lengo la kujipatia uhalali wa kumiliki ardhi.
Watu wengi wemepata tatizo
 
Nilini mtatoa vibari vya uhamisho Kwa watumishi walio chini yenu ? Maombi yanaonekana yapo tamisemi zaidi ya miezi 6, na yamefuata taratibu zote. Wahudumieni kupunguza hisia za "uhamisho ni mpaka utoe rushwa''
 
Malalamiko mfuko wa PSSSF

Kuna shida imejitokeza katika mfuko huu. Kuna watumishi wakidownlod SUMMARY CONTRIBUTION REPORT kupitia PSSSF Portal , kwa kule page ya mwisho kabisa chini unakutana na employer names zaidi ya moja

Kwa mfano, ameajiriwa halmashauri A lakini unakuta kuna halmashauri nyingine kama mbili hivi ambazo haujawahi hata kufanya kazi huko.

Majibu ya wahusika hayaridhishi kwani unaambiwa ni suala la tatizo la kimtandao lakini inaleta ukakasi sana kwani hakuna mabadiliko yoyote ya kuondoa huu utata.

Inawezekana vp employer names katika page ya CONTRIBUTION SUMMARY REPORT kuwe na employer names zaidi ya moja with employer ID ?

KAZI IENDELEE 🇹🇿
Hapa kwenye mfumo mkuu,tafdhali sana waziri mwenye dhamana,Tunaomba tuliowahi kufanya kazi kwenye sekta mbalimbali tukiwa tumetimiza vigezo vya kuchangia mfuko kwa miezi mia Moja na themanini(180)Bila kujali ulifukuzwa au uliachishwa.Tuwe nao wanufaika wa mafao ya Uzeeni!Kwani kufukuzwa kazi usiwe kigezo Cha kukosa mafao Hayo ya Kila mwezi Kwani nasi tumelitumikia Taifa Kwa viwango vyetu .Kufukuzwa mwingine kumetokana na majungu,fitina nk.Na mara Nyingi kesi zikifika mahakamani hushinda hao waliofukuzwa kazi .Namba sana kwa niaba ya wengine.
Ahsanteni na Mungu awabariki .
 
Or Tamisemi fanyieni kazi maombi ya uhamisho ambayo yapo kwenye mfumo wa ess, maombi ya uhamisho ya zaidi ya miezi sita (6) na hii ni kufanyiwa approval tuu.
 
Fanyieni waambieni wakurugenzi waruhusu maombi ya uhamisho mana wamekaanayo muda mrefu,watumishi wanakosa haki zao za msingi.
 
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
No reforms, No election
📌🔨
 
OR TAMISEMI tunaomba mutoe mwongozo kwa watendaji wa kata na vijiji namna ya kutoa usijali wa makazi kwa wanafunzi wanaotarajia kwenda chuo wakati huu wa kuomba mkopo kwani heslb wameweka kuwa hitaji la lazim wanita NaPa
 
OR TAMISEMI tunaomba mutoe mwongozo kwa watendaji wa kata na vijiji namna ya kutoa usijali wa makazi kwa wanafunzi wanaotarajia kwenda chuo wakati huu wa kuomba mkopo kwani heslb wameweka kuwa hitaji la lazim wanita NaPa
Hili kitu wakitoe kabisa kimefanya wengi TUMEKWAMA.Sio sawa kabisa kabisa.
 
Bodi ya mikopo ya elimu ya juu tuoneeni huruma watanzania jamani.Hiki kipengele Cha kuweka BARUA ya UTAMBULISHO tena kutoka huko kwenye app ya NaPA imekuwa ni changamoto sana.kwani;

1.Watu wengi hawana kumbukumbu za taarifa zao walizotumia kujaza wakati wa zoezi la anuani za makazi.Hata hivyo taarifa ziliwekwa za wenye nyumba na kama mtu ni mpangaji inakuwa ngumu kuzipata hizo taarifa hata akienda Kwa mtendaji wa Kijiji kufuatilia.

2.Watendaji nao hawaelewi kitu hata ukifika kuuliza.

3.Muda unaotumika ni mkubwa kuzunguka huko.

NB: Mambo ya postikodi,namba ya nyumba kulazimika kuwekwa ni usumbufu na changamoto pia.

Nadhani matumizi ya NIDA ndo yangekuwa kila kitu na suluhisho kwa waombaji,wazazi na wadhamini.kwani nida ina kila kitu na taarifa zote za wahusika.ingetumika hii na hayo mengine ondoeni yamekuwa kikwazo na ngumu kufanikisha uombaji.wengi tumekwama,tunaomba msaada tafadhari.
 
Ndugu wana JamiiForums,

Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), kupitia thread hii, tutapokea Maoni, Ushauri, Malalamiko, Mapendekezo yako Mwananchi. Tunakuhakikishia kuchukua hatua stahiki kwa haraka zaidi kwa kile utakachokiwasilisha kwetu.

Ikumbukwe kuwa tangu Mwaka 1961 hadi sasa Ofisi ya Rais –TAMISEMI imekuwa ni Wizara inayojitegemea na madhumuni ya kuwepo kwa Serikali za Mitaa ni kupeleka Madaraka kwa Wananchi ambapo chimbuko lake ni Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 Sura ya 8, Ibara ya 145 na 146.

Hadi sasa Nchi ina Mikoa 26, Wilaya 139, Halmashauri 184, Tarafa 570, Kata 3,956, Vijiji 12,319, Vitongoji 64,361 pamoja na Mitaa 4,263.

Majukumu ya Ofisi ya Rais - TAMISEMI
yanatekelezwa katika ngazi ya Makao Makuu, Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kwa kuzingatia Hati ya Rais ya Mgawanyo wa Majukumu (Presidential Instrument) iliyotolewa na Rais Mei 2021, majukumu ya OR-TAMISEMI ni pamoja na:-

i) Kuratibu utekelezaji wa Sera ya Maendeleo Mijini na Vijijini na Upelekaji wa Madaraka kwa Umma (D by D);
ii) Kuratibu huduma mijini kama vile usafirishaji, maji na usafi wa mazingira;
iii) Kusimamia Tume ya Utumishi wa Walimu;
iv) Kuratibu na Kusimamia Tawala za Mikoa ili ziweze kuziwezesha Halmashauri kutekeleza wajibu wake;
v) Kuratibu Usimamizi na Uendeshaji wa Shule za Msingi na Sekondari nchini kupitia Mamlaka za Serikali za Mitaa (MSM);
vi) kusimamia na kuratibu shughuli za utolewaji wa huduma za Afya ya Msingi, Ustawi wa Jamii na Lishe
vii) Kuratibu na kusimamia mifumo na miundombinu ya TEHAMA katika Ofisi za Wakuu wa Mikoa, Mamlaka za Serikali za Mitaa na Taasisi
viii) Kujenga uwezo wa watumishi wa OR-TAMISEMI ili watekeleze majukumu yao kwa ufanisi
ix) Kuratibu shughuli za wajasiriamali na wafanyabiashara wadogo
x) Kusimamia utendaji wa Mashirika, Taasisi, Programu na miradi iliyo chini ya OR-TAMISEMI

Kupitia JamiiForums.com unaweza kuwasiliana nasi (OR-TAMISEMI) kwa kutuma ujumbe wako kwenye sehemu ya kuweka maoni hapo chini au tutumie kupitia Private Message (PM).

Pia, tunapatikana kupitia:

Instagram @ortamisemi
Twitter @ortamisemitz
Facebook Ofisi ya Rais-Tamisemi
Website www.tamisemi.go.tz
YouTube @ortamisemi
Watssap channel: Ofisi ya Rais - TAMISEMI

Anuani
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
S.l.P 1923 Dodoma - Tanzania,
Telephone: +255 262 321 234
Fax: +255 262 322 116
Email: [email protected]
Complain: [email protected]

Kituo cha Huduma kwa Mteja
+255 735 160 210 au +255 26 216 0210
Kuanzia saa 1:30 asubuhi mpaka saa 10:30 jioni
Angalieni usawa katika ajira kwani mtu ana digrii ameanza kazi 2012 anakua Sawa na ajira ya 2015 usawa upo wap hapo?
 

Attachments

  • Screenshot_20250702-102604~3.png
    Screenshot_20250702-102604~3.png
    26.4 KB · Views: 38
  • Screenshot_20250702-103807~2.png
    Screenshot_20250702-103807~2.png
    27 KB · Views: 42
Kama mtoto hajasajiliwa baadhi ya masomo KIDATO CHA NNE 2025 prems mfumo unafunguliwa lini tena walimu tusaidieni hapa
 
Wapendwa bila shaka yoyote TAMISEMI ndo Wasimamizi wakuu wa Miji na Mitaa yote nchini..Swali langu kwenu kwanini mmeshindwa kusimamia usafi wa Mazingira ya mitaa hadi Mijini? Naamini kuanzia Kata kuna Maafisa afya wanaolipwa mishahara na marupurupu kwa ajili ya kusimamia usafi na Mazingira ya Mitaa na Miji lakini kinachongaza na kusikitisha sanaaaaaaaaa ni uchafu uliotapakaa kila Mtaa wa Miji yetu na wengi wachafuzi wa mni wafanyabiashara wa maeneo waliyopo lakini hawachukuliwi hatua..!Mifano halisi njoo stendi kuu Arusha ambapo wageni ni wengi sana sijui wanatali kutazama na hali uchafu wetu..!

Huwezi kuamiji Arusha ya utalii na ilivyo..! Nenda Dar-es-salaam huko ndo balaa kila kona chafu hata kama sehemu ya kutulia kula kwetu wengine hatuwezi..!Wana tamisemi tunashindwa hata kuwa na mkoa 1 tu wa mfano kwa usafi kama rwanda jamani?mbona ajira za kutosha zipo kwenye hili eneo la usafi na mazingira?basi hata arusha kivutio cha utalii iwe ya kipekee..watendaji bi/bw afya waone haya/aibu kupokea malipo yasiyostahili,miji yetu ni michafu sana jamani..!
 
Samahani sijui kama mipango miji wapo chini yenu
Ushauri wangu ni kuwa hiyo idara ifutwe kabisa pengine irudishwe tu kama kitengo kwa mkuu wa mkoa .
Sasa hivi miji imeharibiwa kwa mipango miji ya hovyo kabisa, Vituo vya mafuta vinachipuka kila pahala kama uyoga hata katikati ya makazi. Magorofa yanapewa kibali kujengwa karibu kabisa na barabara bila hata parking na ujue hizo barabara zinapanuka pengine ndani ya miaka 15/20 tuanze tena kulipa fidia.
Hata kwa mtu wa darasa la saba anaona hayo; iweje mipango miji wasione?
 
Asante kwa ukurasa huu,kuna mwenzangu anauliza et ajira zakujitolea zilizotangazwa na Tamisemi zinatoka lini?Naomba kuwasilisha
 
Back
Top Bottom