Ofisi ya Rais – TAMISEMI Special Thread: Karibu tukuhudumie, tupe Maoni, Maswali, Mapendekezo na Malalamiko

Ndugu wana JamiiForums,

Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), kupitia thread hii, tutapokea Maoni, Ushauri, Malalamiko, Mapendekezo yako Mwananchi. Tunakuhakikishia kuchukua hatua stahiki kwa haraka zaidi kwa kile utakachokiwasilisha kwetu.

Ikumbukwe kuwa tangu Mwaka 1961 hadi sasa Ofisi ya Rais –TAMISEMI imekuwa ni Wizara inayojitegemea na madhumuni ya kuwepo kwa Serikali za Mitaa ni kupeleka Madaraka kwa Wananchi ambapo chimbuko lake ni Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 Sura ya 8, Ibara ya 145 na 146.

Hadi sasa Nchi ina Mikoa 26, Wilaya 139, Halmashauri 184, Tarafa 570, Kata 3,956, Vijiji 12,319, Vitongoji 64,361 pamoja na Mitaa 4,263.

Majukumu ya Ofisi ya Rais - TAMISEMI
yanatekelezwa katika ngazi ya Makao Makuu, Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kwa kuzingatia Hati ya Rais ya Mgawanyo wa Majukumu (Presidential Instrument) iliyotolewa na Rais Mei 2021, majukumu ya OR-TAMISEMI ni pamoja na:-

i) Kuratibu utekelezaji wa Sera ya Maendeleo Mijini na Vijijini na Upelekaji wa Madaraka kwa Umma (D by D);
ii) Kuratibu huduma mijini kama vile usafirishaji, maji na usafi wa mazingira;
iii) Kusimamia Tume ya Utumishi wa Walimu;
iv) Kuratibu na Kusimamia Tawala za Mikoa ili ziweze kuziwezesha Halmashauri kutekeleza wajibu wake;
v) Kuratibu Usimamizi na Uendeshaji wa Shule za Msingi na Sekondari nchini kupitia Mamlaka za Serikali za Mitaa (MSM);
vi) kusimamia na kuratibu shughuli za utolewaji wa huduma za Afya ya Msingi, Ustawi wa Jamii na Lishe
vii) Kuratibu na kusimamia mifumo na miundombinu ya TEHAMA katika Ofisi za Wakuu wa Mikoa, Mamlaka za Serikali za Mitaa na Taasisi
viii) Kujenga uwezo wa watumishi wa OR-TAMISEMI ili watekeleze majukumu yao kwa ufanisi
ix) Kuratibu shughuli za wajasiriamali na wafanyabiashara wadogo
x) Kusimamia utendaji wa Mashirika, Taasisi, Programu na miradi iliyo chini ya OR-TAMISEMI

Kupitia JamiiForums.com unaweza kuwasiliana nasi (OR-TAMISEMI) kwa kutuma ujumbe wako kwenye sehemu ya kuweka maoni hapo chini au tutumie kupitia Private Message (PM).

Pia, tunapatikana kupitia:

Instagram @ortamisemi
Twitter @ortamisemitz
Facebook Ofisi ya Rais-Tamisemi
Website www.tamisemi.go.tz
YouTube @ortamisemi
Watssap channel: Ofisi ya Rais - TAMISEMI

Anuani
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
S.l.P 1923 Dodoma - Tanzania,
Telephone: +255 262 321 234
Fax: +255 262 322 116
Email: [email protected]
Complain: [email protected]

Kituo cha Huduma kwa Mteja
+255 735 160 210 au +255 26 216 0210
Kuanzia saa 1:30 asubuhi mpaka saa 10:30 jioni
Salamalleikhoom!
Kwa heshima na taadhima naomba niwezeshwe kuwasilisha maoni yangu ana kwa ana kuhusu muundo wa TAMISEMI yaani MFUMO na MAMLAKA ya ofisi ya Rais na MAMLAKA ya Serikali za Mikoa na Wilaya. Kwa kifupi nionavyo Ofisi ya Rais imepoka MAMLAKA ya Serikali za Mitaa (local government) kikatiba kupitia muundo na MFUMO mzima kiutendaji.
 
Kingine Hawa viongozi Huwa wanahisi walimu kma ndo chuo au uwanja wao wa mazoezi ya kujifunzia uongozi na mikwaraaaa

Badala aanze na uozo uliopo pale ofisini kwao TAMISEMI,
watu wavivu,wapiga deal za uhamisho na watoaji Vibali fake

Lkn anahisi uongozi Bora ni kuwatisha Walimu tu
 
Ndugu wana JamiiForums,

Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), kupitia thread hii, tutapokea Maoni, Ushauri, Malalamiko, Mapendekezo yako Mwananchi. Tunakuhakikishia kuchukua hatua stahiki kwa haraka zaidi kwa kile utakachokiwasilisha kwetu.

Ikumbukwe kuwa tangu Mwaka 1961 hadi sasa Ofisi ya Rais –TAMISEMI imekuwa ni Wizara inayojitegemea na madhumuni ya kuwepo kwa Serikali za Mitaa ni kupeleka Madaraka kwa Wananchi ambapo chimbuko lake ni Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 Sura ya 8, Ibara ya 145 na 146.

Hadi sasa Nchi ina Mikoa 26, Wilaya 139, Halmashauri 184, Tarafa 570, Kata 3,956, Vijiji 12,319, Vitongoji 64,361 pamoja na Mitaa 4,263.

Majukumu ya Ofisi ya Rais - TAMISEMI
yanatekelezwa katika ngazi ya Makao Makuu, Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kwa kuzingatia Hati ya Rais ya Mgawanyo wa Majukumu (Presidential Instrument) iliyotolewa na Rais Mei 2021, majukumu ya OR-TAMISEMI ni pamoja na:-

i) Kuratibu utekelezaji wa Sera ya Maendeleo Mijini na Vijijini na Upelekaji wa Madaraka kwa Umma (D by D);
ii) Kuratibu huduma mijini kama vile usafirishaji, maji na usafi wa mazingira;
iii) Kusimamia Tume ya Utumishi wa Walimu;
iv) Kuratibu na Kusimamia Tawala za Mikoa ili ziweze kuziwezesha Halmashauri kutekeleza wajibu wake;
v) Kuratibu Usimamizi na Uendeshaji wa Shule za Msingi na Sekondari nchini kupitia Mamlaka za Serikali za Mitaa (MSM);
vi) kusimamia na kuratibu shughuli za utolewaji wa huduma za Afya ya Msingi, Ustawi wa Jamii na Lishe
vii) Kuratibu na kusimamia mifumo na miundombinu ya TEHAMA katika Ofisi za Wakuu wa Mikoa, Mamlaka za Serikali za Mitaa na Taasisi
viii) Kujenga uwezo wa watumishi wa OR-TAMISEMI ili watekeleze majukumu yao kwa ufanisi
ix) Kuratibu shughuli za wajasiriamali na wafanyabiashara wadogo
x) Kusimamia utendaji wa Mashirika, Taasisi, Programu na miradi iliyo chini ya OR-TAMISEMI

Kupitia JamiiForums.com unaweza kuwasiliana nasi (OR-TAMISEMI) kwa kutuma ujumbe wako kwenye sehemu ya kuweka maoni hapo chini au tutumie kupitia Private Message (PM).

Pia, tunapatikana kupitia:

Instagram @ortamisemi
Twitter @ortamisemitz
Facebook Ofisi ya Rais-Tamisemi
Website www.tamisemi.go.tz
YouTube @ortamisemi
Watssap channel: Ofisi ya Rais - TAMISEMI

Anuani
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
S.l.P 1923 Dodoma - Tanzania,
Telephone: +255 262 321 234
Fax: +255 262 322 116
Email: [email protected]
Complain: [email protected]

Kituo cha Huduma kwa Mteja
+255 735 160 210 au +255 26 216 0210
Kuanzia saa 1:30 asubuhi mpaka saa 10:30 jioni
Kileo cheo cha Mwalimu mlichomuondolea kirejesheni.

Kwa kifupi, miaka Ile mtumishi atakuwa na sifa ya uafisa apatapo diploma na degree.

Walimu waliojariwa miaka ya nyumba walipewa Afisa elimu msaidizi na kiendelea.

Kwa kuwa adui wa Mwalimu ni Mwalimu mwenzie na kidhani aliitwa Mwalimu Daraja la kwanza ndio itamuondolea heshima na yule Mwalimu.

Ni kumdharau Mwalimu.
Yaani mtu nimemaliza nae chuo amepata cheo yeye sio mwl ni Afisa. Ili ajitenge na mimi yeye anakaa anabadilisha yeye aitwe Afisa Mimi nibaki na ualimu.

Rejesheni vyeo
 
Samahani mim Nina swali tu eti Kuna mfumo ambao watu Huwa wanabadilishiaga tahasusi kwa wahitimu kila mwaka eti dirisha linafunguliwa lini??
 
Form fiveeeeeee Wafuate instagram watakujibu huku utasubiri sana
 
Ndugu wana JamiiForums,

Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), kupitia thread hii, tutapokea Maoni, Ushauri, Malalamiko, Mapendekezo yako Mwananchi. Tunakuhakikishia kuchukua hatua stahiki kwa haraka zaidi kwa kile utakachokiwasilisha kwetu.

Ikumbukwe kuwa tangu Mwaka 1961 hadi sasa Ofisi ya Rais –TAMISEMI imekuwa ni Wizara inayojitegemea na madhumuni ya kuwepo kwa Serikali za Mitaa ni kupeleka Madaraka kwa Wananchi ambapo chimbuko lake ni Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 Sura ya 8, Ibara ya 145 na 146.

Hadi sasa Nchi ina Mikoa 26, Wilaya 139, Halmashauri 184, Tarafa 570, Kata 3,956, Vijiji 12,319, Vitongoji 64,361 pamoja na Mitaa 4,263.

Majukumu ya Ofisi ya Rais - TAMISEMI
yanatekelezwa katika ngazi ya Makao Makuu, Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kwa kuzingatia Hati ya Rais ya Mgawanyo wa Majukumu (Presidential Instrument) iliyotolewa na Rais Mei 2021, majukumu ya OR-TAMISEMI ni pamoja na:-

i) Kuratibu utekelezaji wa Sera ya Maendeleo Mijini na Vijijini na Upelekaji wa Madaraka kwa Umma (D by D);
ii) Kuratibu huduma mijini kama vile usafirishaji, maji na usafi wa mazingira;
iii) Kusimamia Tume ya Utumishi wa Walimu;
iv) Kuratibu na Kusimamia Tawala za Mikoa ili ziweze kuziwezesha Halmashauri kutekeleza wajibu wake;
v) Kuratibu Usimamizi na Uendeshaji wa Shule za Msingi na Sekondari nchini kupitia Mamlaka za Serikali za Mitaa (MSM);
vi) kusimamia na kuratibu shughuli za utolewaji wa huduma za Afya ya Msingi, Ustawi wa Jamii na Lishe
vii) Kuratibu na kusimamia mifumo na miundombinu ya TEHAMA katika Ofisi za Wakuu wa Mikoa, Mamlaka za Serikali za Mitaa na Taasisi
viii) Kujenga uwezo wa watumishi wa OR-TAMISEMI ili watekeleze majukumu yao kwa ufanisi
ix) Kuratibu shughuli za wajasiriamali na wafanyabiashara wadogo
x) Kusimamia utendaji wa Mashirika, Taasisi, Programu na miradi iliyo chini ya OR-TAMISEMI

Kupitia JamiiForums.com unaweza kuwasiliana nasi (OR-TAMISEMI) kwa kutuma ujumbe wako kwenye sehemu ya kuweka maoni hapo chini au tutumie kupitia Private Message (PM).

Pia, tunapatikana kupitia:

Instagram @ortamisemi
Twitter @ortamisemitz
Facebook Ofisi ya Rais-Tamisemi
Website www.tamisemi.go.tz
YouTube @ortamisemi
Watssap channel: Ofisi ya Rais - TAMISEMI

Anuani
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
S.l.P 1923 Dodoma - Tanzania,
Telephone: +255 262 321 234
Fax: +255 262 322 116
Email: [email protected]
Complain: [email protected]

Kituo cha Huduma kwa Mteja
+255 735 160 210 au +255 26 216 0210
Kuanzia saa 1:30 asubuhi mpaka saa 10:30 jioni
Tuanze na usafiri kwa wanafunzi wa shule za msingi za kata na shule za sekondari za serikali. Inawezekana bila ubishi wakapewa usafiri wa kwenda na kurudi, wakishushwa kwenye vituo vya kawaida. Ebu tuwalee, tuwalinde hawa kizazi cha kesho, uzalendo kwao utakomaa kwa dola kuwathamini hawa walipaji kodi wajawo.
 
Wakurugenzi wako Chini yenu maeneo ya Wazi ambayo hatimae ni kwa shuguli za Umma yanauzwa sana hasa kipindi hiki!! Mfano Open space Viwanja vya mabibo wameuza...

Sasa tunaambiwa Mkurugenzi huyo huyo wa Kinondoni wanauza eneo la Open space la Masaki pale jirani na Hotel ya Sea Cliff ambalo Mh Magufuli alizuia lisijengwe na ni Open Space ya siku nyingi sana...

Kwa wale mnaouza na kununua Open space iko siku hata miaka 100 mtarejesha hayo maenro ya umma msije kulaumu...
 
Umenena mkuu iponm siku
 
Mabasi ya mikoani usiku ni catamites

Trafiki shusheni abiria wasio na siti wanalala kwenye corridor warakufa wote basi ikipata ajali. Tafadhali ondoeni abiria wasio na siti hata gari ikipiga kwenye bumper kubwa kwa ukubwa wanaumia wanavunjika,ninyi hamjui tafadhali
 
Ni Bora Bora hata nail za usiku ziwe kubwa kuliko kuulishia kuwatia vilema watu
 
OR TAMISEMI
amepotea mazima, arudi kujibu maswali au hii thread ifutwe
 
Inawezekana mhusika ametumbuliwa, au kafa au amepandishwa cheo kaamua kupuuzia haya malalamiko ya mtandaoni, au amenyang'anywa kishikwambi na kubadilishiwa majukumu.

Amesahau nywila ya kuingilia JF
 
Ndugu wana JamiiForums,

Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), kupitia thread hii, tutapokea Maoni, Ushauri, Malalamiko, Mapendekezo yako Mwananchi. Tunakuhakikishia kuchukua hatua stahiki kwa haraka zaidi kwa kile utakachokiwasilisha kwetu.

Ikumbukwe kuwa tangu Mwaka 1961 hadi sasa Ofisi ya Rais –TAMISEMI imekuwa ni Wizara inayojitegemea na madhumuni ya kuwepo kwa Serikali za Mitaa ni kupeleka Madaraka kwa Wananchi ambapo chimbuko lake ni Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 Sura ya 8, Ibara ya 145 na 146.

Hadi sasa Nchi ina Mikoa 26, Wilaya 139, Halmashauri 184, Tarafa 570, Kata 3,956, Vijiji 12,319, Vitongoji 64,361 pamoja na Mitaa 4,263.

Majukumu ya Ofisi ya Rais - TAMISEMI
yanatekelezwa katika ngazi ya Makao Makuu, Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kwa kuzingatia Hati ya Rais ya Mgawanyo wa Majukumu (Presidential Instrument) iliyotolewa na Rais Mei 2021, majukumu ya OR-TAMISEMI ni pamoja na:-

i) Kuratibu utekelezaji wa Sera ya Maendeleo Mijini na Vijijini na Upelekaji wa Madaraka kwa Umma (D by D);
ii) Kuratibu huduma mijini kama vile usafirishaji, maji na usafi wa mazingira;
iii) Kusimamia Tume ya Utumishi wa Walimu;
iv) Kuratibu na Kusimamia Tawala za Mikoa ili ziweze kuziwezesha Halmashauri kutekeleza wajibu wake;
v) Kuratibu Usimamizi na Uendeshaji wa Shule za Msingi na Sekondari nchini kupitia Mamlaka za Serikali za Mitaa (MSM);
vi) kusimamia na kuratibu shughuli za utolewaji wa huduma za Afya ya Msingi, Ustawi wa Jamii na Lishe
vii) Kuratibu na kusimamia mifumo na miundombinu ya TEHAMA katika Ofisi za Wakuu wa Mikoa, Mamlaka za Serikali za Mitaa na Taasisi
viii) Kujenga uwezo wa watumishi wa OR-TAMISEMI ili watekeleze majukumu yao kwa ufanisi
ix) Kuratibu shughuli za wajasiriamali na wafanyabiashara wadogo
x) Kusimamia utendaji wa Mashirika, Taasisi, Programu na miradi iliyo chini ya OR-TAMISEMI

Kupitia JamiiForums.com unaweza kuwasiliana nasi (OR-TAMISEMI) kwa kutuma ujumbe wako kwenye sehemu ya kuweka maoni hapo chini au tutumie kupitia Private Message (PM).

Pia, tunapatikana kupitia:

Instagram @ortamisemi
Twitter @ortamisemitz
Facebook Ofisi ya Rais-Tamisemi
Website www.tamisemi.go.tz
YouTube @ortamisemi
Watssap channel: Ofisi ya Rais - TAMISEMI

Anuani
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
S.l.P 1923 Dodoma - Tanzania,
Telephone: +255 262 321 234
Fax: +255 262 322 116
Email: [email protected]
Complain: [email protected]

Kituo cha Huduma kwa Mteja
+255 735 160 210 au +255 26 216 0210
Kuanzia saa 1:30 asubuhi mpaka saa 10:30 jioni
Habari za kazi na hongera kwa majukumu ya kulijenga taifa. Naomba kuuliza kuhusu anwani za makazi NaPa. Kuna vijana waliohitimu kidato cha 6 wanaohitaji kujaza form kwa ajili ya mikopo ya kwenda chuo. Na wanaohitajika kupata barua ya utambulisho wa anwani ya makazi kutoka kwa mtendaji wa mtaa. Sintofahamu imetokea kwenye wanaohitajika kusajiliwa. Tunatambua wazazi w kijana watahitajika kusajiliwa kwenye NaPa. Naomba kuuliza Je,kijana aliyemaliza kidato cha 6 na ana umri wa Miaka 18 na amepata namba ya kitambulisho cha NIDA,atahitajika kusajiliwa kwenye anwani ya makazi kama mtegemezi au anahitajika kuwa na namba yake peke yake?
 
OR TAMISEMI
Mimi lalamiko langu ni juu ya Mtumishi kuhama?
Kwanini LGA imekuwa kama kifungo kwa Mtumishi Hasa Sisi Idara ya UJENZI,
Kwanza
1.Tunanyanyasika na madiwani
-Technically hakuna kitu tuna gain kwenye Elimu yetu tofauti na kuwa vibaraka wa walimu, madiwani n. k

Swali?
Kwanini tusijitegemee iwe wizara kamili ili
Mkurugenzi aje kutuomba kwa kazi zake za Ujenzi wa
-Miundombinu ndani ya wilaya?
 
Kuna swala la barabara, sinahakika kwakuwa ziko Tanroads basi Tamisemi hawahusiki na ni kweli basi iko shida TAMISEMI na hakuna budi swala linalo gusa TAMISEMI au athiri lazima sie kama wananchi mamlaka iliyokaribu na nasi ndio tuifikishie ushauri.
Malalamiko hasa ni TANROADS watu hawa wanavichwa vigumu na hawako flexible wenyewe ni mipango mkakati hata katika dharura. SWALA la MKARAMO (Mlandizi) Msufini - Mlandizi linataka mainjinia watoke huko waliko na watumie vichwa vyao barabara iongezwe upana au kuwe na njia mbadala. Hali ya sasa likipata hitilafu gari njiani manake mawasiliano ya Dar -Moro ndio yanakatika. Msongamano unakuwa mkubwa, wagonjwa hawapiti, mafuta yamepanda bei, na muda ndio rasilimali muhimu.
Tunajua Mwendazake hayupo lakini mwenye fikra zake kweli hampo. Atoke mtu mmoja afanye maamuzi magumu tupite. Hata wajeda, Halmashauri manake utaratibu wa sasa ukisikia barabara ya TANROADS hakuna wa kuigusa bora wenyewe wangekuwa flexibe basi. Kipande hiki kidogo mkumbukeni Mwendazake alikuwa kuna mfuko/budget ambao urasimu unakuwa mdogo achote. Mzee Magu kweli hakuacha hata mwanamume mmoja anayefanana nae katika barabara kote kaacha wamama na nice guys??? .
 
Back
Top Bottom