jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 22,569
- 43,614
Tamisemi wamekimbia uzi
Inawezekana mhusika ametumbuliwa, au kafa au amepandishwa cheo kaamua kupuuzia haya malalamiko ya mtandaoni, au amenyang'anywa kishikwambi na kubadilishiwa majukumu.Tamisemi wamekimbia uzi
Salamalleikhoom!Ndugu wana JamiiForums,
Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), kupitia thread hii, tutapokea Maoni, Ushauri, Malalamiko, Mapendekezo yako Mwananchi. Tunakuhakikishia kuchukua hatua stahiki kwa haraka zaidi kwa kile utakachokiwasilisha kwetu.
Ikumbukwe kuwa tangu Mwaka 1961 hadi sasa Ofisi ya Rais –TAMISEMI imekuwa ni Wizara inayojitegemea na madhumuni ya kuwepo kwa Serikali za Mitaa ni kupeleka Madaraka kwa Wananchi ambapo chimbuko lake ni Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 Sura ya 8, Ibara ya 145 na 146.
Hadi sasa Nchi ina Mikoa 26, Wilaya 139, Halmashauri 184, Tarafa 570, Kata 3,956, Vijiji 12,319, Vitongoji 64,361 pamoja na Mitaa 4,263.
Majukumu ya Ofisi ya Rais - TAMISEMI
yanatekelezwa katika ngazi ya Makao Makuu, Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kwa kuzingatia Hati ya Rais ya Mgawanyo wa Majukumu (Presidential Instrument) iliyotolewa na Rais Mei 2021, majukumu ya OR-TAMISEMI ni pamoja na:-
i) Kuratibu utekelezaji wa Sera ya Maendeleo Mijini na Vijijini na Upelekaji wa Madaraka kwa Umma (D by D);
ii) Kuratibu huduma mijini kama vile usafirishaji, maji na usafi wa mazingira;
iii) Kusimamia Tume ya Utumishi wa Walimu;
iv) Kuratibu na Kusimamia Tawala za Mikoa ili ziweze kuziwezesha Halmashauri kutekeleza wajibu wake;
v) Kuratibu Usimamizi na Uendeshaji wa Shule za Msingi na Sekondari nchini kupitia Mamlaka za Serikali za Mitaa (MSM);
vi) kusimamia na kuratibu shughuli za utolewaji wa huduma za Afya ya Msingi, Ustawi wa Jamii na Lishe
vii) Kuratibu na kusimamia mifumo na miundombinu ya TEHAMA katika Ofisi za Wakuu wa Mikoa, Mamlaka za Serikali za Mitaa na Taasisi
viii) Kujenga uwezo wa watumishi wa OR-TAMISEMI ili watekeleze majukumu yao kwa ufanisi
ix) Kuratibu shughuli za wajasiriamali na wafanyabiashara wadogo
x) Kusimamia utendaji wa Mashirika, Taasisi, Programu na miradi iliyo chini ya OR-TAMISEMI
Kupitia JamiiForums.com unaweza kuwasiliana nasi (OR-TAMISEMI) kwa kutuma ujumbe wako kwenye sehemu ya kuweka maoni hapo chini au tutumie kupitia Private Message (PM).
Pia, tunapatikana kupitia:
Instagram @ortamisemi
Twitter @ortamisemitz
Facebook Ofisi ya Rais-Tamisemi
Website www.tamisemi.go.tz
YouTube @ortamisemi
Watssap channel: Ofisi ya Rais - TAMISEMI
Anuani
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
S.l.P 1923 Dodoma - Tanzania,
Telephone: +255 262 321 234
Fax: +255 262 322 116
Email: [email protected]
Complain: [email protected]
Kituo cha Huduma kwa Mteja
+255 735 160 210 au +255 26 216 0210
Kuanzia saa 1:30 asubuhi mpaka saa 10:30 jioni
Kwamba wanatumia VPN ? Au wapo Saskatchewan ?Kwa kiasi gani mnashugulikia maadili ya watumishi wa umma
Kileo cheo cha Mwalimu mlichomuondolea kirejesheni.Ndugu wana JamiiForums,

Form fiveeeeeee Wafuate instagram watakujibu huku utasubiri sanaSamahani mim Nina swali tu eti Kuna mfumo ambao watu Huwa wanabadilishiaga tahasusi kwa wahitimu kila mwaka eti dirisha linafunguliwa lini??
Tuanze na usafiri kwa wanafunzi wa shule za msingi za kata na shule za sekondari za serikali. Inawezekana bila ubishi wakapewa usafiri wa kwenda na kurudi, wakishushwa kwenye vituo vya kawaida. Ebu tuwalee, tuwalinde hawa kizazi cha kesho, uzalendo kwao utakomaa kwa dola kuwathamini hawa walipaji kodi wajawo.Ndugu wana JamiiForums,
Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), kupitia thread hii, tutapokea Maoni, Ushauri, Malalamiko, Mapendekezo yako Mwananchi. Tunakuhakikishia kuchukua hatua stahiki kwa haraka zaidi kwa kile utakachokiwasilisha kwetu.
Ikumbukwe kuwa tangu Mwaka 1961 hadi sasa Ofisi ya Rais –TAMISEMI imekuwa ni Wizara inayojitegemea na madhumuni ya kuwepo kwa Serikali za Mitaa ni kupeleka Madaraka kwa Wananchi ambapo chimbuko lake ni Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 Sura ya 8, Ibara ya 145 na 146.
Hadi sasa Nchi ina Mikoa 26, Wilaya 139, Halmashauri 184, Tarafa 570, Kata 3,956, Vijiji 12,319, Vitongoji 64,361 pamoja na Mitaa 4,263.
Majukumu ya Ofisi ya Rais - TAMISEMI
yanatekelezwa katika ngazi ya Makao Makuu, Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kwa kuzingatia Hati ya Rais ya Mgawanyo wa Majukumu (Presidential Instrument) iliyotolewa na Rais Mei 2021, majukumu ya OR-TAMISEMI ni pamoja na:-
i) Kuratibu utekelezaji wa Sera ya Maendeleo Mijini na Vijijini na Upelekaji wa Madaraka kwa Umma (D by D);
ii) Kuratibu huduma mijini kama vile usafirishaji, maji na usafi wa mazingira;
iii) Kusimamia Tume ya Utumishi wa Walimu;
iv) Kuratibu na Kusimamia Tawala za Mikoa ili ziweze kuziwezesha Halmashauri kutekeleza wajibu wake;
v) Kuratibu Usimamizi na Uendeshaji wa Shule za Msingi na Sekondari nchini kupitia Mamlaka za Serikali za Mitaa (MSM);
vi) kusimamia na kuratibu shughuli za utolewaji wa huduma za Afya ya Msingi, Ustawi wa Jamii na Lishe
vii) Kuratibu na kusimamia mifumo na miundombinu ya TEHAMA katika Ofisi za Wakuu wa Mikoa, Mamlaka za Serikali za Mitaa na Taasisi
viii) Kujenga uwezo wa watumishi wa OR-TAMISEMI ili watekeleze majukumu yao kwa ufanisi
ix) Kuratibu shughuli za wajasiriamali na wafanyabiashara wadogo
x) Kusimamia utendaji wa Mashirika, Taasisi, Programu na miradi iliyo chini ya OR-TAMISEMI
Kupitia JamiiForums.com unaweza kuwasiliana nasi (OR-TAMISEMI) kwa kutuma ujumbe wako kwenye sehemu ya kuweka maoni hapo chini au tutumie kupitia Private Message (PM).
Pia, tunapatikana kupitia:
Instagram @ortamisemi
Twitter @ortamisemitz
Facebook Ofisi ya Rais-Tamisemi
Website www.tamisemi.go.tz
YouTube @ortamisemi
Watssap channel: Ofisi ya Rais - TAMISEMI
Anuani
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
S.l.P 1923 Dodoma - Tanzania,
Telephone: +255 262 321 234
Fax: +255 262 322 116
Email: [email protected]
Complain: [email protected]
Kituo cha Huduma kwa Mteja
+255 735 160 210 au +255 26 216 0210
Kuanzia saa 1:30 asubuhi mpaka saa 10:30 jioni
Umenena mkuu iponm sikuWakurugenzi wako Chini yenu maeneo ya Wazi ambayo hatimae ni kwa shuguli za Umma yanauzwa sana hasa kipindi hiki!! Mfano Open space Viwanja vya mabibo wameuza...
Sasa tunaambiwa Mkurugenzi huyo huyo wa Kinondoni wanauza eneo la Open space la Masaki pale jirani na Hotel ya Sea Cliff ambalo Mh Magufuli alizuia lisijengwe na ni Open Space ya siku nyingi sana...
Kwa wale mnaouza na kununua Open space iko siku hata miaka 100 mtarejesha hayo maenro ya umma msije kulaumu...
Inawezekana mhusika ametumbuliwa, au kafa au amepandishwa cheo kaamua kupuuzia haya malalamiko ya mtandaoni, au amenyang'anywa kishikwambi na kubadilishiwa majukumu.
Habari za kazi na hongera kwa majukumu ya kulijenga taifa. Naomba kuuliza kuhusu anwani za makazi NaPa. Kuna vijana waliohitimu kidato cha 6 wanaohitaji kujaza form kwa ajili ya mikopo ya kwenda chuo. Na wanaohitajika kupata barua ya utambulisho wa anwani ya makazi kutoka kwa mtendaji wa mtaa. Sintofahamu imetokea kwenye wanaohitajika kusajiliwa. Tunatambua wazazi w kijana watahitajika kusajiliwa kwenye NaPa. Naomba kuuliza Je,kijana aliyemaliza kidato cha 6 na ana umri wa Miaka 18 na amepata namba ya kitambulisho cha NIDA,atahitajika kusajiliwa kwenye anwani ya makazi kama mtegemezi au anahitajika kuwa na namba yake peke yake?Ndugu wana JamiiForums,