wasome hiiAjira ajira ajira, sisi waalimu tangu itangazwe kwamba rais ametoa kibali cha ajira 12,000 hadi leo ni kimya tena hiyo ilikuwa ni mwaka wa fedha 23/24
Nini kilikwamisha huu mchakato? Mbona kada ya ualimu ni miongoni mwa Kada yenye mishahara midogo sana inakuwaje inakuwa ngumu kuajiri?
Mimi naishi Dar es salaam ila kiukweli uhaba wa waalimu ni mkubwa sanaa sijajua huko vijijini hali ipoje, inakuwaje mnashndwa kuajiri waalimu wakutosha katika hali ya uhitaji kiasi hiki haliyakuwa waalimu wamejaa kibao mtaani?
Wengi wa waliosoma fani ya ualimu ni watanzania wakawaida sana kiuchumi, wamelazimika kusoma ualimu kwasababu tu ya uhakika wa kupata mkopo wa HESLB na sasa wapo mtaani watu hawa hawana namna ya kurudisha hiyo mikopo huku serikali ikihangaika namna ya kuwakopesha madogo mpaka wamekuja na hii program yao ya FICHUA
Hebu tupeni ajira jamani tuweze
1. KURUDISHA HELA ZA HESLB ILI WENGINE WAKOPESHWE
2.TUWEZE KUJIKIMU MAISHA
3. TUWEKE KULIPA KODI KUONGEZA MAPATO YA SERIKALI ie Paye nk.
4. TUWEZE KUIHUDUMIA JAMII YENYE UHITAJI MKUBWA WA NGUVU KAZI YETU MASHULENI
5. TUONGEZE MZUNGUKO WA FEDHA
Mwisho kabisa 😭😭😭😭😭😭
Asante tutafanya hivyoKaribuni, ila msikae kimya. Mjitahidi kujibu na kutolea ufafanuzi kwa wakati HOJA kutoka kwa wadau
Kibali cha Ajira kilishapatikana na hivi sasa tunaendelea kukamilisha taratibu zingine ili Tangazo la Ajira litolewe!wasome hii
Nilichoka mno siku moja namwona kiongozi nadhani ni naibu waziri au katibu toka Tamisemi anahojiwa TBC anasema kuhusiana na ajira huwa kunakuwa na nafasi za walemavu na hazijawahi kujazwa. Yaani wakitoa ajira elf kadhaa asilimia mbili au tatu ni za walemavu.Ajira ajira ajira, sisi waalimu tangu itangazwe kwamba rais ametoa kibali cha ajira 12,000 hadi leo ni kimya tena hiyo ilikuwa ni mwaka wa fedha 23/24
Nini kilikwamisha huu mchakato? Mbona kada ya ualimu ni miongoni mwa Kada yenye mishahara midogo sana inakuwaje inakuwa ngumu kuajiri?
Mimi naishi Dar es salaam ila kiukweli uhaba wa waalimu ni mkubwa sanaa sijajua huko vijijini hali ipoje, inakuwaje mnashndwa kuajiri waalimu wakutosha katika hali ya uhitaji kiasi hiki haliyakuwa waalimu wamejaa kibao mtaani?
Wengi wa waliosoma fani ya ualimu ni watanzania wakawaida sana kiuchumi, wamelazimika kusoma ualimu kwasababu tu ya uhakika wa kupata mkopo wa HESLB na sasa wapo mtaani watu hawa hawana namna ya kurudisha hiyo mikopo huku serikali ikihangaika namna ya kuwakopesha madogo mpaka wamekuja na hii program yao ya FICHUA
Hebu tupeni ajira jamani tuweze
1. KURUDISHA HELA ZA HESLB ILI WENGINE WAKOPESHWE
2.TUWEZE KUJIKIMU MAISHA
3. TUWEKE KULIPA KODI KUONGEZA MAPATO YA SERIKALI ie Paye nk.
4. TUWEZE KUIHUDUMIA JAMII YENYE UHITAJI MKUBWA WA NGUVU KAZI YETU MASHULENI
5. TUONGEZE MZUNGUKO WA FEDHA
Mwisho kabisa 😭😭😭😭😭😭
Ni sawa mlicho fanyaaa ,huku watu wanapewa vidonge vyao kama vilivoo ,muwe tayari kupokeaaa,pili hakutokuwa naa maana yoyote kuwa humu kama hamtojibu /kutolea ufafanuzi hoja zinazotolewa na wadau /sisi tuko mahali popoteeeeee ,ulipo tupoNdugu wana JamiiForums,
Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), kupitia thread hii, tutapokea Maoni, Ushauri, Malalamiko, Mapendekezo yako Mwananchi. Tunakuhakikishia kuchukua hatua stahiki kwa haraka zaidi kwa kile utakachokiwasilisha kwetu.
Ikumbukwe kuwa tangu Mwaka 1961 hadi sasa Ofisi ya Rais –TAMISEMI imekuwa ni Wizara inayojitegemea na madhumuni ya kuwepo kwa Serikali za Mitaa ni kupeleka Madaraka kwa Wananchi ambapo chimbuko lake ni Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 Sura ya 8, Ibara ya 145 na 146.
Inaumiza sana tena Sana mkuu,Nilichoka mno siku moja namwona kiongozi nadhani ni naibu waziri Tamisemi anasema kuhusiana na ajira huwa kunakuwa na nafasi za walemavu na hazijawahi kujazwa. Yaani wakitoa ajira elf kadhaa asilimia mbili au tatu ni za walemavu.
Sasa nilisafiri mwez ulipita kwenda msibani nikamkuta Jamaa mmoja amesoma Education na ni mlemavu wa mkono. Maana alipata ajali mkono mmoja ukawa mdogo unaoning'inia tuu.
Sasa tukiongea kama vijana ninamuuliza lkn si mbona haujapata kazi wakat nafas za walemavu zipo na huwa hazijazwi zote kila mwaka akasema ameomba na kuonyesha vithibitisho vyote miaka kadhaa lkn hapati. Nikasikitika kuona tunadanganywa kwenye majukwaa na watanzania wenzetu lkn kwenye Utekelezaji hali tofauti.
Pia napendekeza hizi ajira zizingatie na umri wa waombaji. Wewe unaajirije Fresh Graduates unaacha waombaji waliokaa au waliomaliza miaka 10 nyuma?
Hayo yakizingatiwa Tamisemi itakuwa imetakaswa kwa sehemu kubwa.
Kukamilisha taratibu tangu mwezi wa tano? Karibia kila kata imejengwa shule mpya pengine zaidi ya moja za msingi na sekondariKibali cha Ajira kilishapatikana na hivi sasa tunaendelea kukamilisha taratibu zingine ili Tangazo la Ajira litolewe!
Na hao fresh graduates wakiwapanga huko Pembezoni mwa nchi hawaendi maana bado vijana wabichi wanaona haina sababu kwenda vijijini mimi nafahamu kadhaa walipangwa nwaka jana na hawakwenda.Inaumiza sana tena Sana mkuu,