Ofisi ya Rais – TAMISEMI Special Thread: Karibu tukuhudumie, tupe Maoni, Maswali, Mapendekezo na Malalamiko

Tusaidieni kero hii, approver wa Ifakara TC kwenye madaraja anafanya kazi kwa kujivuta sana.

Wilaya nyingine watu wamekuwa approved tangu mapema sana ila Ifakara T.C waliokuwa approved ni wachache sana.

Shida iko kwa approver.

Tunaomba kero hii ishugulikiwe haraka sana.
 
Kituo cha afya Bulale - Buhongwa Mkoa mwa mwanza. Tunashukuru Kwa kutusogezea huduma ya Afya karibu. Asanteni Sana lakini changamoto kubwa ni Maji. Inafikia hatua mgonjwa anaenda chooni haja kubwa na kopo la maji ya kununua. Chimbeni kisima au hamasisheni watu wachangie kuchimba kisima. Mimi nitachangia.
 
Muwe mnatoa taarifa za Mapato ya ndani ya Halmashauri kama ilivyokuwa awamu ya Jafo
 
Kuna watumishi wanatakiwa kuwekwa kwenye kundi Rika walioajiriwa nao ili wawe sawa hii imefikia wapi?please jibu
 
Kuna watumishi wanatakiwa kupanda vyeo wanawekwa kwenye kundi Rika je hili jambo likoje?
 
Hivi Teaching college ziko TAMISEMI kweli na sio WIZARA YA ELIMU? Fuatilia vizuri hilo nahisi hawahusiani na teaching colleges ziko wizara ya elimu
 
Mweye nambar ya huduma Kwa wateja ya utumishi aiweke humu
 
Nyie tunaitaji ajira waalimu
 
Uchaguzi huooooo, kero yangu mimi ni babaangu + wazee wengine kadhaa mkoa wa tabora kaliua pesa zao za kustaafu mpka leo kimya
 
Pole sana kwa changamoto hii tafadhali naomba utume raarifa za kutosha ili tuweze kufuatilia suala hili
Niliwauliza kuhusu watumishi ambao wanatakiwa kupandishwa vyeo Kwa njia ya mserereko lakin hamkujibu,Iko hivi Kuna watumishi tangu waajiriwe wamepandishwa vyeo baada ya miaka 7 wengine 6kwenye waraka uliotolewa unawataja waliopokonywa vyeo tu ,kumbuka waliopokonywa vyeo changamoto zao zinafanya na walioajiriwa na wakakaa muda mrefu bila kupandishwa vyeo
Please hili jambo litolee ufafanuz na limeannza kuleta manunguniko makubwa sehemu ya kaz,hawa watu watarekebishiwa lini vyeo vyao?
 
Uhamisho wa watumishi waliomba kuhamishwa hamtoi majina mpaka sasa.
Mwaka huu mtatoa lini majina?
Uhamisho unatoka na Barua zimeshaanza kutumwa kwenye Halmashauri zenu! Tafadhali hakikisha kuwa Taarifa zako zilikamilika na ziliwasilishwa na Katibu Tawala Mkoa wako kama hilo lilikamilika utapokea barua yako hivi karibuni!
 
Uhamisho unatoka na Barua zimeshaanza kutumwa kwenye Halmashauri zenu! Tafadhali hakikisha kuwa Taarifa zako zilikamilika na ziliwasilishwa na Katibu Tawala Mkoa wako kama hilo lilikamilika utapokea barua yako hivi karibuni!
Kuna baadhi ya wakurugenzi wamekaa na maombi ya uhamisho Zaid ya miezi 2 na uhamisho umeanza kutoka. Ombi, kwa vile maombi ni kwenye mfumo naamini hata nyie mnaona ila hamuoni kama ni wajibu wenu kuwakumbusha kuhusu kukaa na maombi muda mrefu kwenye mfumo bila sababu ya msingi.

Mfano Halmashauri kama Ukerewe, Namtumbo na Lindi
 
Hili sawali kwanini Tamisemi hamlijibu ?changamoto ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…