Ajira ajira ajira, sisi waalimu tangu itangazwe kwamba rais ametoa kibali cha ajira 12,000 hadi leo ni kimya tena hiyo ilikuwa ni mwaka wa fedha 23/24
Nini kilikwamisha huu mchakato? Mbona kada ya ualimu ni miongoni mwa Kada yenye mishahara midogo sana inakuwaje inakuwa ngumu kuajiri?
Mimi naishi Dar es salaam ila kiukweli uhaba wa waalimu ni mkubwa sanaa sijajua huko vijijini hali ipoje, inakuwaje mnashndwa kuajiri waalimu wakutosha katika hali ya uhitaji kiasi hiki haliyakuwa waalimu wamejaa kibao mtaani?
Wengi wa waliosoma fani ya ualimu ni watanzania wakawaida sana kiuchumi, wamelazimika kusoma ualimu kwasababu tu ya uhakika wa kupata mkopo wa HESLB na sasa wapo mtaani watu hawa hawana namna ya kurudisha hiyo mikopo huku serikali ikihangaika namna ya kuwakopesha madogo mpaka wamekuja na hii program yao ya FICHUA
Hebu tupeni ajira jamani tuweze
1. KURUDISHA HELA ZA HESLB ILI WENGINE WAKOPESHWE
2.TUWEZE KUJIKIMU MAISHA
3. TUWEKE KULIPA KODI KUONGEZA MAPATO YA SERIKALI ie Paye nk.
4. TUWEZE KUIHUDUMIA JAMII YENYE UHITAJI MKUBWA WA NGUVU KAZI YETU MASHULENI
5. TUONGEZE MZUNGUKO WA FEDHA
Mwisho kabisa 😭😭😭😭😭😭