Iko Imara Kila sekta wapi wakati Kuna Ofisi ,za umma tunakuja kuzijulia Jamii Forum badala ya kukutana nazo Kazini..?? Huo ndo uikara,kikalia TU viti vya kuzunguka na kujipulizia hewa safi kutoka kwenye AC ?? Nina Miaka 28 Ila nilikuwa sijawahi Kusikia Wala kuona angalau hata Shughuli Moja ya hiyo Ofisi. Sasa huo ushauri wanapewa kina Nani au ni Special case..??Nenda pale jirani na ofisi za TFNC jirani na Ocean Road Hospital ugonge pale uulizie majukumu yao!!! Nchi hii iko imara kila sekta
Utumishi lakini kitengo chao Usalama. Mambo ni mengi MDA michache Ngoja tuishie hapo. Hata Ofisa wa TISS atakuambia niko utumishi ukiachilia wale ambao wako kwenye taasisi za umma na binafsi. Hawa ndiyo wasiojukikana haswaπ€£π€£π€£Mkuu hii ni tofauti na ya TISS. Hii ni taasisi nyingine kabisa nadhani iko chini ya wizara ya utumishi
Kwa hiyo wewe hujafanyiwa vetting. Kisheria wewe siyo Mtumishi wa umma kama hujafanyiwa vetting. Kiboko hiyo!!!Mimi pia ni mtumishi wa umma ila zikuwahi kuwa na taarifa zao kabisa.
Kwa taarifa yako tuu ofisi hii ina KAZI kubwa Sana na wako busy. Niishie hapo. Kifupi kama taasisi haikuhusu huwezi kuifahamu. GSO ndiyo yenyewe.Iko Imara Kila sekta wapi wakati Kuna Ofisi ,za umma tunakuja kuzijulia Jamii Forum badala ya kukutana nazo Kazini..?? Huo ndo uikara,kikalia TU viti vya kuzunguka na kujipulizia hewa safi kutoka kwenye AC ?? Nina Miaka 28 Ila nilikuwa sijawahi Kusikia Wala kuona angalau hata Shughuli Moja ya hiyo Ofisi. Sasa huo ushauri wanapewa kina Nani au ni Special case..??
Big UpWote ni TISS, GSO ni kitengo tu ndani ya TISS
Yap. Mambo ni mengi hapo mkuu. Tuishie hapo maana nazo ni mambo ya ndani kwa wasiohusika. Big upHawa kazi yao kubwa ni Kufanyia Vetting watumishi wa Umma na kutoa mafunzo ya namna ya kudeal na nyara za Serikali. Katika mafunzo yao huwa wanapenda kusema Ukiwa mtumishi wa Serikali/Umma utafuatiliwa mpaka siku unaingia kaburini
Inaitwa GSOHii nchi kumbe ina ofisi nyingi namna hii na hamsemi leo ndo nimejua kama kuna hii ofisi ya usalama Serikalini ambayo wajibu wake ni kutoa elimu kuhusu kanuni za usalama Serikalini kwa watumishi wa ngazi zote. Hii ni tofauti na taasisi ya TISS ambayo iko chini ya ofisi ya Rais wao nadhani wako chini ya wizara inayohusika na mambo ya utumishi.
Govt Security Office, hawa ndo wale wazee wa Mihuri Nyekundu... SIRI/CONFIDENTIALSasa kivipi madini yameibwa kwa miaka 20? Kivipi Tanzanite inapitishwa chini ya ukuta? Kivipi CCM mafisadi wapo madarakani kama kweli usalama wapo?
Hawana lolote ni kelele tu otherwise hata kifo cha JPM kisingevuja kirahisi vile.
ππΆπΆUna bahati mkuu... hongera sana
Security not safety nadhani.Usalama mahali pa kazi kama OSHA?
Unakuwa mjinga sasa ndo maana ukajiita mtoto wa shuleKwahiyo zamani kila kinachoandikwa JF mlikuwa mnakikubali tu! Basi sawa.
Lakini zama za sasa za Mtoto wa Shule kama mimi lazima nibishe mpaka nithibitishiwe pasi na shaka kwamba kilichoandikwa ni sahihi. Kama sio, basi hiyo ni chai!
Nchi hii unaweza kufikiri iko serious kinoma, kumbe takataka tu.Utumishi lakini kitengo chao Usalama. Mambo ni mengi MDA michache Ngoja tuishie hapo. Hata Ofisa wa TISS atakuambia niko utumishi ukiachilia wale ambao wako kwenye taasisi za umma na binafsi. Hawa ndiyo wasiojukikana haswaπ€£π€£π€£
Mimi ni mjinga na ninabisha ili nielewe, ila wengi humu ni wapumbavu na wanajifanya wanajua.Unakuwa mjinga sasa ndo maana ukajiita mtoto wa shule
Nilienda wasikiliza yaani ni ofisi isiyo na tija kabisa
Nilikuwa nacheza basket enzi zangu gymkhana nikagonga pale kuomba maji ya kunywa nikapewa juice
Kuna taasisi xyz lazima utajuana nao na kukutana kabla ya kuanza abc ili kuwa shapedMimi pia ni mtumishi wa umma ila zikuwahi kuwa na taarifa zao kabisa.
Mm nilikua napita nikakota hela paleπππππππππππNilikuwa nacheza basket enzi zangu gymkhana nikagonga pale kuomba maji ya kunywa nikapewa juice
Maybe ,maana Vitu vya Sirikali ni mtambuka.Kwa taarifa yako tuu ofisi hii ina KAZI kubwa Sana na wako busy. Niishie hapo. Kifupi kama taasisi haikuhusu huwezi kuifahamu. GSO ndiyo yenyewe.
AseeNa ndio wanaohusika na kufanya vetting ya watumishi wa serikali kuanzia ngazi ya principal officers kama sijakosea. Kama ulifanya usaili na kuitwa kwenye ajira jua kuwa wao wanakufahamu vizuri.