EddyC4
Senior Member
- Jul 19, 2021
- 122
- 96
Iko Imara Kila sekta wapi wakati Kuna Ofisi ,za umma tunakuja kuzijulia Jamii Forum badala ya kukutana nazo Kazini..?? Huo ndo uikara,kikalia TU viti vya kuzunguka na kujipulizia hewa safi kutoka kwenye AC ?? Nina Miaka 28 Ila nilikuwa sijawahi Kusikia Wala kuona angalau hata Shughuli Moja ya hiyo Ofisi. Sasa huo ushauri wanapewa kina Nani au ni Special case..??Nenda pale jirani na ofisi za TFNC jirani na Ocean Road Hospital ugonge pale uulizie majukumu yao!!! Nchi hii iko imara kila sekta