mlinzi mlalafofofo
JF-Expert Member
- Apr 20, 2008
- 725
- 1,282
sasa mnaoparamiana na kuingia kwenye ndoa kaeni mbali sana nje ya uzio hapo hamtakiwi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo step gani? Login au?Wakuu mbna mm nikijarb kutuma nikifika hii atua inaniandikia ivoView attachment 3173291
Password weka kwa mfumo huu hapa ....Machala2005@ itakubaliWakuu mbna mm nikijarb kutuma nikifika hii atua inaniandikia ivoView attachment 3173291
namba haipatikani hiiiAnayepata changamoto ya application nichek wasap 0622549862
Wasap nimesemanamba haipatikani hiii
ok unaweeza kunifahamisha anuwani ipi nisahihi kw maombi ya baruwaWasap nimesema
KAMISHINA JENERALI WA UHAMIAJIok unaweeza kunifahamisha anuwani ipi nisahihi kw maombi ya baruwa
KAMISHINA JENERALI WA UHAMIAJI
IDARA YA UHAMIAJI
S.L.P 1181
DODOMA-TANZANIA.hiii ni kkwaaaombaji waliopo pande zote ata zanzibar
asanteZanzibar ni 1354,
ZANIZABAR-MJINI MA
mkuu mimi inaniambia something goes wrong with system nikiweka cha kidato cha nneWasap nimesema
hebu tuma picha tukusaidie inavo andikamkuu mimi inaniambia something goes wrong with system nikiweka cha kidato cha nne
asante nilifanikiwa mkuuhebu tuma picha tukusaidie inavo andika
glad duwa ziwe nyingiasante nilifanikiwa mkuu
mkuuu aminia mungu atatusaidia inshallahNmeomba hatimae ila nahofia mno afya